MD bado hawajarudishiwa, kuna Pharmacy na Lab. 3.8m labkwa anaefahamu ada za kampala university
kwa md na med lab atujuze pls
Unafikiri hiyo mwakani ndio simple? Siku hizi watu wanafaulu sana na kama anataka vyuo vya Serikali anaweza jikuta ndoto yake inaishia usingizini.Anaweza akasubir mpk mwakan aka apply tusiforce
shukrani mkuu,namfikishia hayoAchane na misifa ya kutaka Muhimbili. Tumewafanyia application vijana wenye two ya 10 na mwingine ya 11. raound ya kwanza tu wamepata vyuo. wa point kumi kapata Pharmacy St. John University Dodoma na Laboratory Health Science-Muhimbili. wa point 11 kapata Nursing Bugando. Mwambie aache mifisa ya kung'ang'ania Muhimbili. Aombe KCMC na Bugando.
Aombe na Pharmacy St. Johnshukrani mkuu,namfikishia hayo
Na usijiloge ukasubiri mwakani mkuu maana huwa wanaangalia Fresh kwanza wa mwaka huoo... Na ukisema labda mwakani ufaulu utashuka huwezi kujua. !! Kwani mkuu alikuwa ana apply chuo gani???? Round zote hizo One ya 9 ni ajabuu sanaaa...Ubaya ni kwamba tunaogopa mwakani ushindani utakuwa mkubwa sana kuliko hata muda huu.
Hapana aisee kuna tatizo labda kwenye Kuapply si Bure huyu alitakiwa aende awamu ya kwanza akichelewa sana ya pili.. Ther is something wrong somewhereFORM four alipata one ya tisa pia
physcis B
chemistry A
Biology A
Mathematics A
na mengineyo mkuu,
Alikazania sana MD na PHARMACY mkuu,sasa wamemtema kote hukoNa usijiloge ukasubiri mwakani mkuu maana huwa wanaangalia Fresh kwanza wa mwaka huoo... Na ukisema labda mwakani ufaulu utashuka huwezi kujua. !! Kwani mkuu alikuwa ana apply chuo gani???? Round zote hizo One ya 9 ni ajabuu sanaaa...
Mkuu kwa hizo course tajwa hapo juu ada huwa ina range dollar ngapi za marekani?Kama nyumbani mmechangamka mpeleke Ulaya bwana ada sio kubwa ila hela ya kujikimu!
Akizoea anakula vibarua!
Kuna vyuo huko Ukraine bei poa sana!
Achana na Bongo mnatesana tu na kuiharibu hiyo One!
Mrushe Ukraine!
Vidola vichangamke kidogo kwa mwaka wa kwanza,miaka inayofuata atakua anakula Euro za vibarua kama vipi!
Shukrani sana mkuu hili pia namfikishia aiseePole sana kwa dogo najua anayopitia. Kipindi ichi ana akili Fulani ya kitoto ama ya kianafunzi ndo mana anasumbuka.
Ila ushauri mzuri umeshatolewa naona.
1- Ku subiria mwakani pia ni probability mkuu. Kiukweli mwaka huu nimecheki matokeo madogo wamefauulu mno. So hatujui mwakani pia itakuwa je.
Akikaa Sana kumbuka wa mwakani anakuwa na kipaumbele zaidi chuoni pia na mkopo kuliko yeye.
2- pia mwambie asichague sana chuo ingawa kinamata mtaani mana MTU wa saint Joseph itabidi utumie nguvu ili umma umwamini yuko vizuri upstairs ila pia sio ndo maisha hayaendelei.
3- pia anaweza akabadili kozi na bado maisha yakaendelea kama mdau mmoja alivyosema kuwa alikuwa anapenda kozi ya afya ila saivi yupo kanda ya madini hujawahi juta.
4- binafsi mie nilipenda na nilichaguliwa mining ENG pale Coet ila saivi nipo Civil Engineer na bado maisha yanaenda na sijajuta kusoma civil.
5- dogo anaweza ends hata kilimo alichoshauriwa na bado akaja kupata shavu mpaka akasahau.
6- kuna jamaa Yangu alipenda sana tele miaka iyo ili uonekane sio kilaza ila six tokeo walikuwa Poa akaenda chemical engineer saivi yupo na makampuni ya mafuta anakata mawingu kila mwezi na hujawahi jutia.
Mkuu kwa hizo course tajwa hapo juu ada huwa ina range dollar ngapi za marekani?