Division 1.9 ya PCB ametemwa raundi zote mbili

ZIMBABWE

Senior Member
Joined
Sep 4, 2018
Posts
126
Reaction score
129
Habari wakuu

Kuna mdogo wangu hapa,ana grade zifuatavyo
PHYSICS. D
CHEMISTRY. C
BIOLOGY. B

Kenye round one na two zote alijaribu vyuo vyote vya afya hapa nchini,kwa kozi za MD, PHARMACY ,RADIOTHERAPY, DENTRISTY NA NURSING. Lakini hajaambulia chuo chochote kile mpaka muda huu,

Nikimuangalia hapa,ana mawazo mno na hana furaha kabisa

TCU hapo jana wamefungua dirisha la round ya tatu,hivyo nimekuja kwenu mmshauri huyu mdogo wetu,cha kuchagua ili abahatike kupata kozi ya afya.

Najua wengi humu mna experience na mmepitia vitu kama hivi kwa namna moja au nyingine.

Naombeni msaada wakuu,maana dirisha linafungwa ijumaa tu hapa.
 
Mwambie aombe Kampala University, wamefunguliwa tayari Pharmacy na Medical lab. Mshauri sana course zote hizo alizoomba asiombe Nursing popote, kwa ushauri wangu.
kweli kwa ufaulu huo akiweka tu nursing basi wanachukua moja kwa moja
akishindwa kupata anachokihitaji now mshauri asubiri mwakani asilazimishe tu kwenda chuo
 
kwa anaefahamu ada za kampala university
kwa md na med lab atujuze pls
 
Habari wakuu

Kuna mdogo wangu hapa,ana grade zifuatavyo
PHYSICS. D
CHEMISTRY. C
BIOLOGY. B

Kenye round one na two zote alijaribu vyuo vyote vya afya hapa nchini,kwa kozi za MD, PHARMACY ,RADIOTHERAPY, DENTRISTY NA NURSING. Lakini hajaambulia chuo chochote kile mpaka muda huu,

Nikimuangalia hapa,ana mawazo mno na hana furaha kabisa

TCU hapo jana wamefungua dirisha la round ya tatu,hivyo nimekuja kwenu mmshauri huyu mdogo wetu,cha kuchagua ili abahatike kupata kozi ya afya.

Najua wengi humu mna experience na mmepitia vitu kama hivi kwa namna moja au nyingine.

Naombeni msaada wakuu,maana dirisha linafungwa ijumaa tu hapa.
Download guide book fourth edition...kuna vyuo vimeongezewa course...hopefully atapata
 
Habari wakuu

Kuna mdogo wangu hapa,ana grade zifuatavyo
PHYSICS. D
CHEMISTRY. C
BIOLOGY. B

Kenye round one na two zote alijaribu vyuo vyote vya afya hapa nchini,kwa kozi za MD, PHARMACY ,RADIOTHERAPY, DENTRISTY NA NURSING. Lakini hajaambulia chuo chochote kile mpaka muda huu,

Nikimuangalia hapa,ana mawazo mno na hana furaha kabisa

TCU hapo jana wamefungua dirisha la round ya tatu,hivyo nimekuja kwenu mmshauri huyu mdogo wetu,cha kuchagua ili abahatike kupata kozi ya afya.

Najua wengi humu mna experience na mmepitia vitu kama hivi kwa namna moja au nyingine.

Naombeni msaada wakuu,maana dirisha linafungwa ijumaa tu hapa.

Kama nyumbani mmechangamka mpeleke Ulaya bwana ada sio kubwa ila hela ya kujikimu!

Akizoea anakula vibarua!

Kuna vyuo huko Ukraine bei poa sana!

Achana na Bongo mnatesana tu na kuiharibu hiyo One!

Mrushe Ukraine!

Vidola vichangamke kidogo kwa mwaka wa kwanza,miaka inayofuata atakua anakula Euro za vibarua kama vipi!
 
Mwambie aombe Kampala University, wamefunguliwa tayari Pharmacy na Medical lab. Mshauri sana course zote hizo alizoomba asiombe Nursing popote, kwa ushauri wangu.
shukrani mkuu
 
Kama nyumbani mmechangamka mpeleke Ulaya bwana ada sio kubwa ila hela ya kujikimu!

Akizoea anakula vibarua!

Kuna vyuo huko Ukraine bei poa sana!

Achana na Bongo mnatesana tu na kuiharibu hiyo One!

Mrushe Ukraine!

Vidola vichangamke kidogo kwa mwaka wa kwanza,miaka inayofuata atakua anakula Euro za vibarua kama vipi!
Aisee,shukrani sana mkuu sema pesa tatizo sana.
 
Back
Top Bottom