Hujasema alikuwa ana apply Chuo gani???? PCB mwenye one hawezi pata shida kiasi hicho so check nao uone labda kuna Technical problems...Mkuu,sasa hawa wananisaidiaje kwa hili?
Au nawaambiaje mkuu?
Kampala hawana md...ila kama anahela ya kutosha,aapply kairukiaust joseph md ,huko anapata bila whida yoyotekwa anaefahamu ada za kampala university
kwa md na med lab atujuze pls
Unajua PCB kinachomatter ni Chem na Bio...so d ya phy sidhani kama ni mbaya sanaHiyo D ya phy ndo mchawi wa hapo wala usiumize kichwa sn bt aombe tena atapata.
Aombe Medical laboratory, MD, Pharmacy, Nursing.Alikazania sana MD na PHARMACY mkuu,sasa wamemtema kote huko
Duuuh miaka yetu hii ilkuwa unaomba chuo kimoja na uhakika debe na nusu ,siku iz vijana wanafaul sana ama?Habari wakuu
Kuna mdogo wangu hapa,ana grade zifuatavyo
PHYSICS. D
CHEMISTRY. C
BIOLOGY. B
Kenye round one na two zote alijaribu vyuo vyote vya afya hapa nchini,kwa kozi za MD, PHARMACY ,RADIOTHERAPY, DENTRISTY NA NURSING. Lakini hajaambulia chuo chochote kile mpaka muda huu,
Nikimuangalia hapa,ana mawazo mno na hana furaha kabisa
TCU hapo jana wamefungua dirisha la round ya tatu,hivyo nimekuja kwenu mmshauri huyu mdogo wetu,cha kuchagua ili abahatike kupata kozi ya afya.
Najua wengi humu mna experience na mmepitia vitu kama hivi kwa namna moja au nyingine.
Naombeni msaada wakuu,maana dirisha linafungwa ijumaa tu hapa.
SUA mlezi wa wanaAombe na sua bvm ,io lazima apate
Historia ya ufaulu wake ndio inampa kiburiFORM four alipata one ya tisa pia
physcis B
chemistry A
Biology A
Mathematics A
na mengineyo mkuu,
Mwakani kutakuwaa na ushindani aombe ardhi lmv ovaAnaweza akasubir mpk mwakan aka apply tusiforce