Hahahaha, manee! Hivyo vitabu tutasoma usiku kucha, na hivi nina uchu wa kusoma, sijasoma mdaaa! Khanga nyepesi inatosha sana, natokwa udenda sanaa!![emoji23][emoji23][emoji23]Asali inafukuza mashwetan..ikitumiwa ipasavyo[emoji23][emoji23][emoji23]!
khanga nyepesi/mtandio, na pipi kifua siwez acha kwa ajili ya kukamilisha package nzima...![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha, manee! Hivyo vitabu tutasoma usiku kucha, na hivi nina uchu wa kusoma, sijasoma mdaaa! Khanga nyepesi inatosha sana, natokwa udenda sanaa!!
Blue , nyekundu na nyeusiAna rangi 3 kwenye mwili wake
Hapa alikuwa anawadanganya followers wakeHii sio yy kbs hata km kuna photoshop dunianiView attachment 1161205
Amejikunja style zote mayai yamemgomea kabisaVp ni single maza au bado yupo sokoni?
Anaweka picha za watu wengineSio make up tu, huyu hana sura kabisa.. Kwenye instagram uko ni filters tupu.. Alafu anafake sana... Unajua kitu kinachoshangaza ukimuona instagram ni mzuri kidogo.. ila kutana nae live sasa...
Huyo sio shetani, ni kutimiza swala la upendo tu[emoji39][emoji39]Hahhhahaa...Shetani pita hvi
Huyo sio shetani, ni kutimiza swala la upendo tu[emoji39][emoji39]h
Hayo mayai anayo? Kuna wengine wakiwa kwenye soko wanawaka si tu hutoa mimba Bali pia huchomoa na kizazi na kutupia paka wale kizazi kikichochomolewa ili wale bata wakidhani watabaki navuzuri hewani au mawinguni milele Kama konki konkiAmejikunja style zote mayai yamemgomea kabisa
Halafu nimesahau, umependeza sana na pia una rangi moja matata. Sijawahipo na msukuma ujuwe[emoji39][emoji39][emoji125][emoji125][emoji23]Haya mtumishi
Halafu nimesahau, umependeza sana na pia una rangi moja matata. Sijawahipo na msukuma ujuwe[emoji39][emoji39][emoji125][emoji125][emoji23]
Usinidanganye shemasi [emoji39]Picha za mitandaoni hizi mtumishi mpendwa[emoji39]