Diva: Nimeshampata boyfriend mpya mwenye uwezo wa kulipa milioni 500

Huyu binti mtangazaji wa Clouds FM anaugua maradhi ya akili yanayoambatana na vitu vya kufikirika na kuvigeuza kuwa halisi.. Ni mojawapo ya magonjwa ya akili ya hallucinations
Akipigiwa chapuo na cheap Medias amejitambulisha na kujitangaza kama the most influential woman in Tanzania.... Mtangazaji mwenye mvuto zaidi, mtangazaji tajiri zaidi Tanzania
Sikuwahi kuona kazi zake mpaka pale ilipotokea kufanya mahojiano na kijana mmoja mdogo aliyesemakana ni mpenzi wake
Kwanza nikajiuliza inakuwaje unamwalika mpenzi wako umfanyie mahojiano? Aliishia kubwagwa palepale
Pili nikasema kama huyu ndio mtangazaji mahiri zaidi na mwenye mvuto zaidi Tanzania hao wa kawaida sijui watakuwaje
Tatu mahojiano ya moja kwa moja yakageuka kama hadithi za wapendanao wenye matatizo yao binafsi ya kimahusiano... Mhojaji hajitambui, mhojiwa hajitambui.... Kipindi kilifeli na Diva kuishia kuomba radhi
Ni baada ya hapo kikatengenezwa kipindi cha yeye kuhojiwa na akaeleza maisha yake ya kila siku na kwamba huwa anaenda kula chakula ya usiku sehemu kama Double Tree mara moja au mbili kwa mwezi na lazima bili ikija si chini ya sh. Elfu 30... Sawa na dola 15 tu...
Mpaka hapo nikapata picha kamili na kujiridhisha moja kwa moja kuwa huyu binti ana tatizo kubwa la kisaikolojia linalosababisha maradhi ya akili ya kujivisha kasha asiloendana nalo

Sasa akaja na hili la mahari ya MILIONI mia TANO.. Kwamba mwanaume aliye tayari kumuoa basi awe tayari kutoa kiwango hicho cha pesa kama mahari kwakuwa ndio thamani yake... Sijui kawaza nini lakini sasa ni wazi kuwa kwa mtazamo wake mahari ni manunuzi ya mtu...
Kwa wale wasiojua kuhusu mahari ni kwamba kile ni kiashiria tu cha comittiment na sadaka ya kiunganishi kati ya FAMILIA mbili... Na ndio maana...
. Mahari haitolewi yote kama cash vile unanua kitu dukani
. Mahari kamwe hailipwi yote hata siku moja kwakuwa yale sio manunuzi ya mtu
. Mahari hugawanywa kwenye vipengele tofauti vya mifugo, nguo chakula mapambo na fedha tasilimu
. Mahari hugawanywa kwa wanandugu kama mama bibi shangazi, wajomba kaka nk
. Mahari kiroho ni sadaka ya ibada ya kukutanisha jinsia mbili tofauti kwa muktadha wa mahusiano...
Taratibu na viwango vya mahari vinatofautina kulingana na makabila mila tamaduni na desturi zao...
Wafugaji wao hutoa wanyama pamoja na pesa tasilimu
Wahunzi hutoa kazi za mikono yao, tasilimu na vitu vingine
Wakulima wao hutoa ardhi, tasilimu na vitu vingine
Lakini yote juu ya yote mwanamke /binti kigoli ana nafasi ya kutolewa mahari kubwa zaidi kuliko yule ambaye sio kigoli tena.... (Gari mpya kabisa zero kilometer bei yake ni tofauti kabisa na second hand)
Dhana ya kitambaa cheupe chenye damu baada ya harusi huthibitisha ukigoli wa muolewaji na zile shangwe na vigelegele huchombeza uhalisia wa mahari iliyotakiwa
Je Diva ana habari ya haya yote?
Je Diva ni kigoli?
Je Diva ni second, third, five au fifteen hand!?
Je kwa muktadha wa mahari Diva ana thamani ya bei gani?
Hivi kweli ukimkurupusha kitandani na gagulo la kulalia tu bila mapambo make up na vipodozi vingine atatazamika!?
Kina Deo kisandu na Nabii Tito walianza mdogo mdogo watu wakawa wanawashangilia badala ya kuwapa msaada wa matibabu... Diva anahitaji msaada wa matibabu aweze kupona maradhi yake.. Akizidi kushangiliwa ndio anazidi kupotezwa... Siku akisema yeye ni sawa na malaika mbinguni kwa uzuri msije kuanza kumshangaa.. Kila kitu kina asili yake...

Hivi huyu dada huwa anapitapita jf kweli,naomba anaefahamiana nae amfikishie ujumbe wake kutoka kwa bro Mshana Jr na ajaribu kumweleza afanyie kazi hicho kipengele cha kwanza nilichoweka red
 
26335897_425087954578322_516944166417072128_n-1.jpg
Huyu dem sijawahi kujua sura yake halisi
 
Matakoless faken huyu, sura chafuuu na lugha chafuuu nani amuoe jinga hili.. Wanaume wajanja sana anaweza kwambia atakulipia mahari bilioni moja alafu anakupiga tigo kila siku bure anasepa anakuacha sbb anajua huyo ni pumbaf kwa kila kitu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom