Diva na story za JF

Kabisa,sababu mpaka ameamua kuichukua ili watu kibao waisikie pia ,inabd iwe story iliyopangiliwa vizuri na mtu mwenye ability kubwa..Nawasilisha

Sawa, kama akili zako zinakwambia Diva ndiyo kipimo cha u-Great Thinker, achana nazo, bila kukaa bila akili kuliko kuwa na akili zinazokudanganya.
 
Sawa, kama akili zako zinakwambia Diva ndiyo kipimo cha u-Great Thinker, achana nazo, bila kukaa bila akili kuliko kuwa na akili zinazokudanganya.
Tatizo lako ww unajihisi una akili kuliko wengine akati kinyume chake ndo sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…