Kamanda wa ukweli. Mtoto wa sauti nyororo Diva. Aka kabinti kana akili sana na yupo uptadate yaani digital.
Na ataolewa hivi karibuni sababu kuwa kamanda inaongeza mvuto.
Kwani tatizo ni DIVA kuwa na kadi ya CDM au umekosa cha kuandika humu?!! Wanga wengine bwana wanajificha katika kundi la wenye nazo kumbe tayari ni wanachama wa kile kikundi kilichoomba ulezi wa mhe, rais!! Duh.