Kweli it is very hard, hatumii dawa na ana CD4 za kutosha tu, na kwa muonekano yuko safi tu
Kweli it is very hard, hatumii dawa na ana CD4 za kutosha tu, na kwa muonekano yuko safi tu
in that case its hard kwa kweli. Maana mtu anayetumia arv anakuwa na low viral load chini sana hivyo kupunguza chance ya maambukizi. Do a thorough consultation to your doctor kwa case hiyo.
nashukuru sna dr wetu . nimeona hupatikani kabisa ila post ilivoletwa humu mmu fasta nimekuona online ...ahaaaSamahanini kwa kuchelewa kuitikia wito..Smile, Dr Riwa is single and searching, usiwe na wasi kuwepo kwangu kule nikisalandia dogo dogo!
Tuache utani, am serious now....kwanza pole da Laussane na hongera kwa ujasiri wako na mapenzi ya kweli kwa mumeo, si wanawake/wanaume wengi hubaki na wenzi wao pale mwenza anapokuwa ameambiukizwa VVU. Hongera sana. Nilishawahi kuongelea discordant couples humu, nimetafuta ule uzi wala sikukumbuki tena, sijauona. Ila naomba niwe specific kwa scenario hii yako.
Ni kweli discordant couple wanaweza pata mtoto hasiye na maambukizi ya VVU na pia bila mama kuambukizwa (kama Baba ndiye muathirika kama kwenye scenario hii). Tatizo ni kuwa, mwanamke kutokana na maumbile yake, ana risk kubwa zaidi ya kuambukizwa akikutana na mwanaume mwenye VVU, kiliko ambavyo mwanaume anaweza kuambukizwa akikutana na mwanamke mwenye VVU. Na hii ni sababu...uke una ngozi laini kulinganisha na na ngozi ya uume, hivyo ni rahisi kuchubuka. Pia Kutokana na maumbile, manii (shahawa) humwagwa ukeni, na VVU huwa kwenye majimaji ya shahawa, kama kuna mchubuko wa ngozi ya uke (ambayo ni delicate), then shahawa zina muda wa kutosha wa kupenya na kuinfect mwanamke. Condom huzuia shahawa kumwagwa ukeni na hivyo kumkinga kukukinga.
Utakapoacha kutumia Condom ili mzae, hiyo effect niliyoelezea hapo juu bado inahold. Kupewa dawa za kupevusha mayai ready for fertilization, inaongeza uwezekano wa wewe kushika mimba at first attempt, na hivyo kutapunguza ninyi kujaribu jaribu mara nyingi ili kupata ujauzito kwani kufanya hivyo kunakuongezea risk ya kuambukizwa....but still, dawa hizo hazikuzuii kuambukizwa katika hiyo first attempt. Bado kuna risk ya kuambukizwa iwapo utapata mchubuko na shahawa zikamwagwa ukeni na kubaki huko.
Nia salama kabisa ya kuzaa kwa discordant couples ambazo mwanaume ndio muathirika..ni kufanya in-vitro fertilization (IVF)...ambapo mwanaume atatoa shahawa kwa kujicua kwanye chombo maalum, na yai la mwanamke litakuwa harvested, kisha fertilization inafanyika nje...na fertilized egg inakuwa planted kwa mwanamke. Hii huwezi kabisa kupata maambukizi kwa kuwa...VVU wapo kwenye maji maji ya maniii/shahawa, na sio kwenye mbegu (sperm cell), na kwenye IVF wanavuna sperm cell, hivyo huwezi ambukizwa. Problem ni kuwa...IVF ni expensive (sijui economic status yenu, sio expensive sana kwamba its not affordable), lakini ndio salama kabisa...na hizo njia nyingine zilizobaki zinapunguza uwezekano wa kuambukizwa..but still the risk is there.
Karibu kwa maswali zaidi, au hata PM iwapo kuna amabayo hutapenda share jamvini.
Njia salama kabisa ya kuzaa kwa discordant couples ambazo mwanaume ndio muathirika..ni kufanya in-vitro fertilization (IVF)...ambapo mwanaume atatoa shahawa kwa kujicua kwanye chombo maalum, na yai la mwanamke litakuwa harvested, kisha fertilization inafanyika nje...na fertilized egg inakuwa planted kwa mwanamke. Hii huwezi kabisa kupata maambukizi kwa kuwa...VVU wapo kwenye maji maji ya maniii/shahawa, na sio kwenye mbegu (sperm cell), na kwenye IVF wanavuna sperm cell, hivyo huwezi ambukizwa. Problem ni kuwa...IVF ni expensive (sijui economic status yenu, sio expensive sana kwamba its not affordable), lakini ndio salama kabisa...na hizo njia nyingine zilizobaki zinapunguza uwezekano wa kuambukizwa..but still the risk is there.
Karibu kwa maswali zaidi, au hata PM iwapo kuna amabayo hutapenda share jamvini.
There are currently 22 users browsing this thread. (4 members and 18 guests)
back to topic mi nashauri abaki tu na huyo mtoto alieko nae maana katika kutafuta huko anaweza kukutana na mengine mazito!
by the way tuwe honest! hivi walipopima majibu yangekuwa mwanaume negative na mwanammke ndo yupo positive hii ndoa ingekuwepo kweli?
Mkuu Mentor Mimi bado ninasheherekea Happy Birthday yangu huku nimemuachia mkuu Dr.@Riwa afanye vitu vyake ..............I didn't know that aisee...!!!!
ok..maan mi nlikua nafikiria ni kitu simpo sana..wapige game kwa mpira akikaribia kufunga anavua gloves!!! kumbe ingekua balaaa.....
thnx dr. Riwa.
Naona dr. MziziMkavu yuko bize na hepi besidei!!!! au yy sio 'mtaaalamu wa magonjwa ya kina mama na watoto?:becky:'
kuhusu red shahidi ni Invisible hii thread imekaa jukwaa la jf dokta siku mbili hakuna cha ushauri wala nini na case yenyewe ni sensitive kama unavoiona hadi imeamishiwa huku mmu ndo umeonekana jamani maajabu!Smile ulivyon'shupalia leo...nakoma!
Tusiende huko kwenye red tafadhali...katika uDaktari wangu nimeona discordant couples nyingi, lakini hizi experience mbili zilinitoa chozi:
- Couple ya kwanza walikuwa walokole wawili, walikuwa wanataka kuoana, hivyo wakaja pima afya zao. Nikawapa ushuria nasaha na wakawa tayari kupokea majibu...mdada akawa positive, na kaka negative. But kaka akasema atamuoa huyo dada, na watasali ataponywa au atalindwa hasipate maambukizi. Nikwaelekeza jinsi ya kujilinda but kaka akasema no need, sala zitawalinda. Nikasikitika. Nikawa nawafuatilia, wakaoana, wakawa wanakutana kimwili bila kinga, na baada ya miezi ^ kaka akawa positive. Alilia sana lakini ndio hivyo, sasa wako wanatumia dawa, wana mtoto mmoja hasiye na maambuki kwani dada alipopata ujauzito alifuata mpango wa kuzuia maambukizi kwa mtoto!
- Couple ya pili walikuwa wanandoa, mdada alijifungua, lakini akaumwa sana baada ya kujifungua, nilipowaona alikuwa na dalili za HIV, nikawapa ushauri nasaha wakakubali kupima, na majibu ni kuwa dada ni positive, na kaka ni negative, dada aliendelea kuugua kwa muda lakini alifariki baadaye...lakini yule kaka wakati wote wa alimuuguza mkewe kwa mapenzi makubwa..nilikuwa nikimuona wodini nilikuwa natamani kama ndoa zote zingekuwa na upendo vile, bahati mbaya mtoto ameambukizwa (kwa kuwa hawakujua na hawakufuata mpango wa kuzuia maambukizi kwa mtoto)...baba yupo, bado negative anamlea na kumuuguza mwanae. Mtoto ana miaka 8 sasa, anasoma.