Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,959
- 828,684
Katika hali ya kushangaza siku ya Jumamosi, sherehe ya harusi iliyotangazwa sana mpaka mitandaoni ilizua tafrani kubwa patashika nguo kuchanika.. huku bibi na bwana wakirushiana makonde ngumi na mateke ya kichina china tai chi na kung fu baada ya bwana harusi kugundua kuwa bibi harusi alikuwa na watoto watatu, si mmoja kama alivyokuwa ameeleza hapo awali