Northern Eagle
Member
- Dec 9, 2018
- 66
- 52
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Serikali tajiri inafungua dirisha la rufani badala ya kutoa mikopo kwa wanafunzi wote waliopata admission
View attachment 1260495
Wanasema batch bado zinaendelea?alafu mbona ukiwapigia cm bodi abali za rufaa taree hyo wanakataa wanadai bach bado kwanza ndo nini asa hyo wandugu
umepiga simu board branch ya wapi? kwenye page yao ya instagram wamesema appeal window itafunguliwa trh 13 mpaka 23 novembereheeee tena wanakuhuliza vzur hyo habar umeipata wapiiiiiiiiiiiiiii wao awajasema wanachojua wao bach bado ila zinatoka lini na linihyo ndo siri kubwa naic wameamviwa wasiseme vibarua vitaota nyasi
Bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu (HELSB) inatarajia kufungua dirisha la rufaa kwa wanafunzi waliokosa mikopo pamoja na wale wanaohisi kupata asilimia kidogo kwenye awamu zilizopita.
Dirisha hilo linatarajiwa kufunguliwa kuanzia tarehe 13/11/2019 hadi tarehe 23/11/2019.
View attachment 1260482
Alafu hii sehemu ya appeal reason kama ya kwako haiko kwenye zile walizo zieka wao unasubmit tu auWanataka Registration number ya chuo ulichochaguliwa, kwa lugha rahisi maana yake lazima uwe umelipa nusu ada chuoni na direct cost,upate university registration number. Ili ufanye appeal. Bado hii appeal ni kaa la mawe kwa baadhi ya vijana
haiwezi ikakubaliAlafu hii sehemu ya appeal reason kama ya kwako haiko kwenye zile walizo zieka wao unasubmit tu au
Sehemu gan iyo wanayotaka reg number mbona mm sijaiyona ?Wanataka Registration number ya chuo ulichochaguliwa, kwa lugha rahisi maana yake lazima uwe umelipa nusu ada chuoni na direct cost,upate university registration number. Ili ufanye appeal. Bado hii appeal ni kaa la mawe kwa baadhi ya vijana
Kwenye admission detailsSehemu gan iyo wanayotaka reg number mbona mm sijaiyona ?
Mkuu hadi hapa nimesha give up kabisa.Mwaka Jana nilikosa mkopo nikaahirisha hadi this year but na mwaka huu batch zote vilevile zimeniacha.Sijawasili chuoni hadi sasa na sina kingine cha kufanya zaidi ya kubaki nyumbani hadi mwakani nijaribu tena.Mustakabali wangu wa elimu hadi sasa siuelewi,nyumbani life ngumu ela hakuna,yaani kila kitu naona kinageuka dhidi yangu.Siko happy na haya maisha kabisa.Kwenye admission details
Usikate tamaa mkuu, jaribu tu submit bila kujaza registration number inakubali. Mungu anaweza akafanyaMkuu hadi hapa nimesha give up kabisa.Mwaka Jana nilikosa mkopo nikaahirisha hadi this year but na mwaka huu batch zote vilevile zimeniacha.Sijawasili chuoni hadi sasa na sina kingine cha kufanya zaidi ya kubaki nyumbani hadi mwakani nijaribu tena.Mustakabali wangu wa elimu hadi sasa siuelewi,nyumbani life ngumu ela hakuna,yaani kila kitu naona kinageuka dhidi yangu.Siko happy na haya maisha kabisa.