Dalali Mkombozi
Member
- Jun 26, 2015
- 56
- 21
Ata watu wanaofungua akaunti mpya wanapata tatizo kama ilo, tamisemi wapo kimya sijui lengo lao nini?Wakuu kuna Mdogo wangu namanyia hizi application lakini yeye alishafungua account kwa kutumia simu. Kwa bahati mbaya nikijaribu kulog in kwa kutumia computer au simu hiyo hiyo mfumo unaandika ' unauthorized user" hii changamoto inatatuliwa vipi?