Direct cost vyuoni zinalipwa zote kwa pamoja?

Direct cost vyuoni zinalipwa zote kwa pamoja?

Ni hivii ... Kulipa ada it depends na HESLB wamekupa asilimia ngapii
Naona jamaa anauliza koz mwaka huu wanarepot chuo mapema kabla hta ya heslb kutoa majina na asilimia naona ndo mana gharam nazo kubwa sana
 
Ahsante Sana mkuu....
Naomba nikuulize tena....Iyo hela nikisha ilipa ntatakiwa kulipa ada au itabidi nisubiri loans board watoe majina???
Kwa vyuo vingi kwa case kama hiyo,itatakiwa ulipe nusu ya ada then baada ya Heslb kutoa kama utakuwa umepata mkopo utaomba kurudishiwa mzigo wako.
Ila pia wanakuaga wagumu kurudisha wanakuambia itatumika kulipia deni la mwaka kesho.Ila Jiridhishe kwanza na utaratibu wa hapo
 
Daaah Sua utafikili private karibia laki 3 jamani
 
Pongezi sana kwenu waungwana kwa kuwajibu watoto vizuri. Nilisikitishwa na baadhi ya wahuni wenye Majibu machafu. Hapa JF ni msaada wa mambo mengi, burudani, elimu taarifa, na faraja. Sasa kuwabeza watu na kuwadharau maana yake nini?! Kama huna Majibu laa kimya.
 
haizd lak 3 RUCU 2likua 2nalipa 230000 up to 2015.
 
Habar. naomba mtueleweshe kuhusu direct cost vyuon zinalipwa zote kwa pamoja siku hyo hyo tutakapo ripot vyuoni . maana vyuo vingine direct cost wameandik mil. 2.8 kwengine mil. 3 nk . je zinalipwa zote siku hiyo hiyo. ahsante
mkuu mimi nimechaguliwa MUM course ya medical lab technology ww course gan?
 
Daaah Sua utafikili private karibia laki 3 jamani
Ni pesa ndogo sana mkuu, ila kwa mwaka wa kwanza mambo ni mengi kwa hiyo vumilia. Mwakani itakua ndogo sana.
 
Back
Top Bottom