Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,747
Ni kwamba hiyo direct cost 974000/= kwa udsm lazima ulipie kwa ajili ya usajili upate id ya chuo ili uitumie kusain boomOK,nmepata taarifa kwamba chuoni aupokelew mpaka ulipie direct cost.na lazima ilipwe kwa kutumia pesa yako ya mfukon even if mkopo unao.
but nikijicheki APA naona mishe zinazingua hivyo basi itakuwa ngumu kwa Mimi kuilipa hiyo ela kwa awamu moja thus why nimeuliza ili niweze kujua kama inawezekan kulipa hyo direct cost nusu nusu
Bila kulipa direct cost huwez kupata hata huo mkopo uliopewa na loan Board, kutokana na utaratibu wa vyuo waliojiwekea
Mkuu kama unaweza tafuta pa kuazima iyo hela haraka iwezekanavyo usije kupata tabu bure chuoni, ili ukisha sain boom unairudisha,
Kiufupi hakuna njia ya mkato,