Wo shi niubi
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 1,268
- 1,652
Suala la kuvutia wawekezaji bila democracy, transparency and good government (Rule of law) sahau kabisa ndugu.
Yes tunaweza fanya mambo kwa awamu, lakini hili la serikali kujiingiza kwenye biashara moja kwa moja na ujenzi wa reli ya kisasa et kwa trn 7 nitakataa hadi kiama.... tunakwama sana tu, huhitaji shahada ya uchumi kujua kuwa uwekezaji mwingine serikali inapoteza mapato kiduchu inayoyapata bure, hivi kwanini tusiendeleze Barabara kwanza, at least 4 lanes highways kabla ya hiki kipande kidogo cha reli kwa trn 7?
Naona unasema Kenya watanunua mafuta kwa ksh 125, kwani sisi tunanunua kwa bei gani? ....Kenya inavuta big business moguls ambapo hata iweje wananchi wa kawaida watapata kwanza ajira kabla ya kodi.. vipi hapa bongo?
Mizigo ya kubambikiana kodi na orders za wanasiasa zisizoeleweka nani anataka kusikia?
Let me tell you we are in a serious mess! labda abadilike, i don't know when.
Tanzania siku hizi mnanunua petrol 2700/litre? , kazi kutuletea matango pori kutoka Kenya, biashara zipi wanazovutia Kenya ambapo Tanzania hawavutii? ,kwenye ajira kidogo nife na cheko, nahisi 60% ya wakenya hawana ajira, hizo biashara wanazo attracts zinatoa ajira kwa air?
Rule of law, mimi nimshirika wa rule of law pengine zaidi yako, huko viongozi wanakohudhuria china rule of law yao iko vipi? mbona bado wameendelea kuliko hata Tanzania ambapo tunaweza tukaishitaki serikali na tukashinda, mimi huwa najiuliza swali kila mwaka African presidents wanaitwa kwenye summit, lakini matokeo ni yale yale unaweza ukaniambia tatizo liko wapi? na hilo tatizo litaendelea kujirudia Africa miaka yote amini usiamini.