Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,650
- 218,105
Mungu ibariki Jamhuri ya watu wa Kenya .
Aiseeeee !!!!Angalia takwimu: uwekezaji 2015 - 28% vs 2018 - 4%; ukuaji wa utalii 2015 - 15% vs 2018 - 3.2%.
Sent using Jamii Forums mobile app
Angelia miradi ya reli, maji, barabara, umeme, afya vituo na hospitali vinajengwa almost nchi nzima, shule kongwe zinakarabatiwa na mpya zinajengwa, nk then compare.Angalia takwimu: uwekezaji 2015 - 28% vs 2018 - 4%; ukuaji wa utalii 2015 - 15% vs 2018 - 3.2%.
Sent using Jamii Forums mobile app
At least mimi nina mawazo yawe positive au negative kuliko kutokuwa na mawazo kabisa.Mawazo ya kijana wa kitanzania akiamka asubuhi!
Kwenye barabara, awamu ya 4 zilijengwa maelfu ya kilometers, pamoja na madaraja makubwa. Kwenye mashule, awamu ya 4 ndiyo wakati wa sekondari za kata na maabara, pamoja na UDOM. Kwenye afya, awamu ya nne ndipo zilipojengwa taasisi kubwa za afya pamoja na ukarabati mkubwa wa hospitali nyingi. Na mengine mengi.Angelia miradi ya reli, maji, barabara, umeme, afya vituo na hospitali vinajengwa almost nchi nzima, shule kongwe zinakarabatiwa na mpya zinajengwa, nk then compare.
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya leo usiku ameondoka kuelekea China kwenye China - Africa Summit, hii ni baada ya kutoka Marekani ambako alikutana na rais Trump wa Marekani, na juzi alitembelewa na Waziri Mkuu wa England Teresa May na kusaini mkataba wa kurudishwa pesa zote za Kenya zilizofichwa uingereza.
View attachment 853136
View attachment 853161
Wakati juhudi hizi zikifanywa na kiongozi wa Kenya sisi tumekalia malumbano ya makinikia na makontena, huku tukiteketeza pesa kurudia uchaguzi kila mwezi na kununua wapinzani.
Kwa hali hii tukubali tukatae Kenya itaendelea kutuzidi karibu kwa nyanja zote za kiuchumi, kidiplomasia, kidemokrasia, kiulinzi na kijamii.
Tushituke.
Aliyetoka tulisema hafai anasafir sana na aliyopo hafai asafiri kbsa! Sasa naanza kuilewa ile kaul ya trump kuhusu mtu mweus
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna tofauti kubwa sana ya kusafiri kwenda kubembea na kupiga picha na wasanii na safari za kwenda kwenye economic forums mbalimbali.Mbona kikwete aliyafanya sana haya na hakukuwa na faida yoyote?
Really?Ukiangalia sana Raisi Magufuli haitaji sana kwenda huko maana amekwishashughulikia mambo mengi kwa kipindi kifupi tayari.
Real?
et kubembea hahahaKuna tofauti kubwa sana ya kusafiri kwenda kubembea na kupiga picha na wasanii na safari za kwenda kwenye forums mbalimbali.
Mkuu unajua kuna wakati najiuliza JF ni kweli ni home of great thinker or home of bongo lala?Kuna tofauti kubwa sana ya kusafiri kwenda kubembea na kupiga picha na wasanii na safari za kwenda kwenye forums mbalimbali.
Hiyo ni Forum tu ambayo yaitwa Forum on China-Africa Cooperation (FOCAC) Summit, hivyo anaweza kwenda kiongozi yoyote na sio lazima aende raisi Magufuli.
Pili, raisi Kenyatta anakwenda kuzungumza na China juu ya masuala mbalimbali ya kibiashara au bilateral talks yakiwemo masuala kama biashara na uwekezaji, elimu na miundombinu.
Ukiangalia sana Raisi Magufuli haitaji sana kwenda huko maana amekwishashughulikia mambo mengi kwa kipindi kifupi tayari.
Miundombinu imekwishashughulikiwa hapahapa na Waturuki wanatusaidia kujenga reli na flyover ya KAMATA
Pia Wakorea Kusini walikuja kusaini mkataba wa kutujengea upya daraja la Selander.
Kwenye elimu tumeona waingereza walikuja wenyewe mwezi ulopita, kuleta pesa (bilioni 307.5) za kuboresha miradi
mbalimbali hasa elimu.
View attachment 853204
Waziri wa Uingereza anaeshughulikia maendeleo ya kimataifa Penny Mourdant akiongea na raisi John Magufuli Ikulu.
Sasa ukiona nchi zilizoendelea zinakuja zenyewe hadi Afrika ama kuleta pesa au kujipendekeza zenyewe basi utambue kwamba zimemkubali raisi Magufuli.
Na ukiona raisi Kenyatta ameanza kusafirisafiri kila mara basi tambua kuwa kuna mazungumzo ya aina mbili na hapo ndipi tunawachia watu wa diplomasia watafsiri mambo hayo.
Diplomasia ni eneo kubwa sana na kwa mtu wa kawaida kama hufahamu inabidi ukae tu na kuangalia.
Tusubiri huko baadae raisi Magufuli naweza kusema anataka kwenda London kwa hata siku moja, lakini nadhani kwa sasa hana sababu.
Ngoja na sisi tukimaliza biashara ya manunuzi na chaguzi ndipo nao watajua sisi ni nani kwani uchumi wetu utapaa kwa kasi ya ajabu Afrika. Huyo mnayemsifu hata suti na tai hana, reli ya umeme hawana hata viwanda tumewazidi vyao vya zamani.Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya leo usiku ameondoka kuelekea China kwenye China - Africa Summit, hii ni baada ya kutoka Marekani ambako alikutana na rais Trump wa Marekani, na juzi alitembelewa na Waziri Mkuu wa England Teresa May na kusaini mkataba wa kurudishwa pesa zote za Kenya zilizofichwa uingereza.
View attachment 853136
View attachment 853161
Wakati juhudi hizi zikifanywa na kiongozi wa Kenya sisi tumekalia malumbano ya makinikia na makontena, huku tukiteketeza pesa kurudia uchaguzi kila mwezi na kununua wapinzani.
Kwa hali hii tukubali tukatae Kenya itaendelea kutuzidi karibu kwa nyanja zote za kiuchumi, kidiplomasia, kidemokrasia, kiulinzi na kijamii.
Tushituke.
Natamani UVCCM wote wangesoma na kuelewa hili jibu lako. Tatizo ni kuwa hawana muda wa kuelewaKuna tofauti kubwa sana ya kusafiri kwenda kubembea na kupiga picha na wasanii na safari za kwenda kwenye forums mbalimbali.
Kwani ukijifungia ndani bila kusafiri nje ndio utapata viwanda?Kenya ina madeni mengi sana, wameshakopa mno hadi watu wa IMF wameshawaambia ili kulipa madeni yao lazima waongeze kodi kwenye mafuta, juzi nilikuwa naongea na Mkenya anasema kuanzia September petrol walikuwa wananunua 114/litre ,sasa wataanza kununua 125/litre, kila kitu kimepanda ili wapate pesa za kuendesha miradi na kulipa madeni, sasa option aliyonayo uhuru kwa sasa ni kukimbilia china kuomba misaada.
Sikatai kuwa Rais Mgufuli asisafiri ,ila asafiri kwa mpango maalum, sio kila summit anakwenda, baadhi ya mikutano haina tija, ni ya kujenga uhusiano tu, hivyo waziri wa nje anaweza akafanya, kama nu kutafuta pesa Dk Mpango a.k.a Jembe anatosha, kikubwa ni kuandaa mazingira mazuru ya uwekezaji, kukusanya mapato ya ndani vizuri na kutekeleza miradi kwa wakati.
Mimi nashauri hivi, tumalizie hii miradi ya stiegler gorge, mwendo kasi phase 1&2, bonde la msimbazi, barabara ya njia sita kimara kwa mwaka huu, halafu mwakani tuweke nguvu zaidi katika kilimo na viwanda( General tyre & mchuchuma kazi ianze), maana tatizo kubwa miaka yote ya nchi za Africa sio kusafiri kwenda kwenye summit bali serikali hazina viwanda , hivyo hawauzi, mapato yanakuwa madogo ,miradi inasimama maana hakuna pesa ,njia wanazotumia ni kwenda nje kuomba misaada which is wrong.
Suala la kuvutia wawekezaji bila democracy, transparency and good government (Rule of law) sahau kabisa ndugu.Kenya ina madeni mengi sana, wameshakopa mno hadi watu wa IMF wameshawaambia ili kulipa madeni yao lazima waongeze kodi kwenye mafuta, juzi nilikuwa naongea na Mkenya anasema kuanzia September petrol walikuwa wananunua 114/litre ,sasa wataanza kununua 125/litre, kila kitu kimepanda ili wapate pesa za kuendesha miradi na kulipa madeni, sasa option aliyonayo uhuru kwa sasa ni kukimbilia china kuomba misaada.