Diploma

Diploma

Hahahahahaaaaaaaaa...........Aiseeeeee hiki ndo kilikufanya busy ukaadimika eeh? si mchezo.
 
Hahahahahaaaaaaaaa...........Aiseeeeee hiki ndo kilikufanya busy ukaadimika eeh? si mchezo.
tingekuwa hivi vitu vinanifanya busy mbona ingekuwa afadhali
 
Mke na mme walienda club,mara mme akaenda counter kuagiza bia,mara kahaba akamfuata mke wa jamaa na kumwambia.
Yaani huyo jamaa usifanye naye ngono mpaka alipe kwanza,mana ukishampa halipi.

otea kilichotokea jamaa aliporudi.
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ngumi kali
 
Aha nimerudi na kupokelewa na kicheko ha ha ha ha
 
Tehe teh teh ! Excellent is back. Ulikuwa umejipiga ban mwenyewe nini kamanda?!
 
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Welcome back
 
Back
Top Bottom