Nakutafakari kwa wakati tofauti tofauti....Sikuelewi mpendwa unajambo binafsi au tatizo lako nini haswaa??
Mydear hii ni jukwaa kila mtu ana haki ya kusema chochote ili mradi haendi kinyume cha sheria zilizowekwa.....
Comment yangu kwa huu uzi ni #Loading# imekukwaza nini ndugu yangu??
Hayo mengine ni maswali na majibu ya mimi na wapendwa wenzangu na hayakuhusu hataa
Si bure mpendwa embu ukapime wewe yawezekana kichwani umeme ni mdogo.