Huyu mdada msimshangae sn huenda thinking capacity yake n ndogo ujue unaweza ukasoma mpaka master's still ukawa hujui jinsi ya kuishi,kusema na watu !!! Hata hvo c kila alieko kweny hii forum kasoma zas y even her comments has no fruits
Pole sana mpendwa wala usiwe na hofu digirii utakwenda tuu GPA kitu gani ndugu yangu? watu walikuaga na GPA 1 na wana digrii zao itakua nyie wenye 2.7 mmefaulu kwa kishindo kabisaaa?? Mungu yu mwema muujiza atawatendea tu wewe tcu wakifungua kalipie! fanya uchaguzi wa vyuo! subiria selection tu my dear....usikate tamaa pambana tu
Na kwa kukazia tu, Ushauri huu uchukuliwe kwa umakini mkubwa.
Wap wewe unaturushia stimu.Saaaana! GPA haina umuhimu maana hata panya anayo muapply tu vyuo mtapata
Wap wewe unaturushia stimu.
Maomb ya wote kwa pamoja yameshafunguliwa na mwisho ni tarehe 31/08/2016Kwan bdo hawajafungua maombi ya diploma kwenda chuo kikuu
Kwa wote wp fungunga wengine ni wa diploma na tunaona tar31 julyMaomb ya wote kwa pamoja yameshafunguliwa na mwisho ni tarehe 31/08/2016