Diploma kwenda degree 2016

Diploma kwenda degree 2016

Mediocrist

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
1,709
Reaction score
993
Habari! Wana jamvi,
Kwa wale wanaotegemea kuomba shahada ya kwanza(degree) kutokea diploma kwa kozi mbalimbali hapo kesho dirisha linapo funguliwa kupitia TCU tukutane hapa wakuu kupeana taarifa zitakazo kuwa zinaendelea na hata kuhusu guide book mala baada itakapo toka.Ahsanteh
 
Wana discuss kushusha viwango vya GPA so sidhani kama kesho itakuwa hivyo
 
Hayo majadiliano ni kuhusu wale ambao walishakua wameomba vyuo tayari kupitia NACTE kabla ya utaratibu mpya wa wote kuomba kupitia TCU haujatangazwa.
Si nilisikia majina yao yatakuwa tranfered TCU kwa wale ambao wamekidhi vigezo mkuu!
 
Hayo majadiliano ni kuhusu wale ambao walishakua wameomba vyuo tayari kupitia NACTE kabla ya utaratibu mpya wa wote kuomba kupitia TCU haujatangazwa.
Vipi hiyo taarifa ni yakweli? Maana na mimi ni mmoja wa wahanga walioapply kwa tangazo la NACTE kabla TCU hawajatoa yao
 
Vipi hiyo taarifa ni yakweli? Maana na mimi ni mmoja wa wahanga walioapply kwa tangazo la nacte kabla tcu hawajatoa yao

Ni kweli, wacha tusubiri tuone. Vipi lakini kibubu kinajaa (3.5 ipo) ? au ndio uliliwahi dirisha dogo la usajili la 2.7 ?
 
Mdaa huu ni 31 July ila bado hawajafungua, uvumilivu unahitajika huenda wakapiga pasi ndefu had j3 maana Leo ni weekend.
 
Back
Top Bottom