political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,950
- 6,390
mwenyezi mungu ameitelemsha Quran tukufu kwa lugha ya kiarabu kwa manufaa yetu sote sisi waislamu leo hii muislamu anaweza akaenda ata china akakuta msikiti na akafanya ibada na akaondoka bila ya kujifunza kichina kwasababu duniani kote misikiti yote iliyopo duniani aijalishi ni wapi lugha ni moja tu ya kufanyia ibadaKwa hiyo akileta mtume anaetumia kiswahili basi atalazimisha watu wote watumie kiswahili wakati anajua kabisa kuna makabila mengine, ama hajui kama kuna makabila ama lugh nyingine? Huyo mola ni mzima kichwani kweli? Huyo ni mola ama mura?
siku ya Qiyama wote tutazungumza lugha mojaUongo mtupu, huko peponi hakutakuwa na lugha hizi za kimwili, tutawasiliana kupitia lugha ya kiroho, hizi lugha za kimwili ni kwa ajili ya mawasiliano yetu ya shughuli za kimwili hapa duniani.
Siku ya Qiyama kutakuwa na lugha ya kiroho ambayo kwayo kila roho itawasiliana na Mungu.
Nitajie mtume au nabii ata mmoja ambaye akuwepo middle eastAnahoja gani..kama sio wenda wazimu umemjaa..atwambie neno mbona hicho kiswahili au kichina nacho kimetokana na kiarabu.
Uislamu ni utamaduni wa waarabu..yeye mmatumbi kaingizwa chaka..kwa kufanyiwa mental slave and brainwash.
#MaendeleoHayanaChama
umekalilishwa wewe kwenda hijja ni around 3500USD iyo pesa imebeba kila kitu mpaka unarudi home na ndio mahana mwenyez mungu akasema kwa wale wenye uwezo hijja ni nguzo katika uislamu cheki sasa Allah mwenye hekima alivyokuwa muadilifu yani wakati wenye uwezo wakiwa wanafanya ibada ya hijja na kwa wale wasiokuwa na uwezo nao wanapata kile kile kama mnachopata nyinyi ila kwa utaratibu maalumu aliouweka mwenyezi mungu kama ukiufuatishaLowassa alisema elimu, elimu, elimu nu tatizo la wa Tanzania. Kweli alikuwa sahihi
Embu bishana kwa fact kwamba serikali ya saudi arabia haipati mapato ama faida za kipesa kupitia Hija.. kama dini ni ya Mungu na Hijja sio biashara kwa nini wanachaji watu pesa nyingi kwenda kuhiji? Why nchi ya saudi arabia ipate mapato ya watu wa Mungu. Serikali ya Saudi inakusanya mapato ya watalii wanaokuja Hijja kisha inanunua silaha na kuua waislamu wenzenu yemen, syria , kashoggi etc
HAYA BISHANA NA ARTICLE HIYO NA FACTS ZA WAISLAM WENZAKO WALIOWAHI KWENDA HIJA
Pilgrimage is essential to Saudi Arabia’s economy and worth $12 billion annually. Currently, it makes up 20 percent of Saudi Arabia’s non-oil GDP, and is only expected to grow with the rise of more luxury hotels around the holy mosque.
Hajj pilgrims are also required to buy a Hajj package ranging anywhere from $1,000 to $20,000 or higher depending on hajj fees, accommodations, distance and the like.
Hajj packages used to cost three to four thousand dollars only five years ago,” says Issam Qaddoura from Canada.
“Now they cost at least $10,000. A flight from my city to Jeddah only costs a $1,000. Why is it so expensive? It would be cheaper to go on my own, but I can’t. Something is wrong with the pricing.
In late April 2019, Libya’s most prominent Muslim Sunni cleric, Grand Mufti Sadiq al Ghariani, called for all Muslims to boycott the Hajj—the obligatory pilgrimage of Muslims to Mecca.
In a minority view, he claimed that anyone who carried out a second pilgrimage was doing “an act of sin rather than a good deed”.
The reasoning was simple. Saudi Arabia’s economy supplies arms and militarily attacks Yemen, and is indirectly implicated in Syria, Libya, Sudan, and Iraq.
Ghariani emphasised that investing in the Hajj would “help Saudi rulers to carry out crimes against our fellow Muslims”.
But Ghariani isn’t the only cleric who’s taken a stance against the Hajj. Yusuf al Qaradawi, one of the most prominent and highly acclaimed Sunni scholars and a vocal critic of Saudi Arabia, made a fatwa in August 2018 which called for consciousness towards spending on the pilgrimage.
Saudi Arabia’s King holds the honorary title of ‘Custodian of the Two Holy Mosques’, handed down for generations. In today’s times, some pilgrims see the title as less than honorary, and more an iron grip on profit at the expense of religious legitimacy.
peponi awaingii watu kwa rangi zao,elimu,mataifa wala pesa peponi wataingia watu mwenyezi mungu aliowaridhia kuingia kuzaliwa uarabuni na kuwa mwarabu siyo kigezo cha wewe kuingia peponiUna maana pamoja na ushetani wao, waarabu wote wataingia peponi? Walikufanya nini hadi uwaabudie hivi? Je unajua namna waarabu wanavyobagua waswahili? Kama unajua kimombo basi bonyeza hii Uncovering anti-Blackness in the Arab world
Hili linawachanganya wengi sana mwenyezi mungu anaposema tumekuumbeni msifikiri kuwa anaongelea yeye na miungu mingine no iyo ni sifa ya mwenyezi mungu mwenye hekima kwakuwa Qurani tukufu alishushiwa mtume muhamad s.a.w na jibril a.s ndio mahana mwenyezi mungu anatumia maneno ayo na apo mtume anaambiwa sema awaambie watu maneno ayo nakupa mfano mwingine leo hii mnasikia matangazo maybe ya Chanjo alafu baadae unasikia imeletwa kwa msaada wa watu wa marekani kwanini wasiseme imeletwa kwa msaada wa rais biden? waingereza wanaita majestic role ndio mwenyezi mungu alikuwa anaitumia kumshushia wahi mtume wake kupitia jibril.Hao allah waliotuumba wako wangapi ama ni allah na mke wake ama nini?
wanachoshindwa kuelewa ni kuwa hakuna mtume wala nabii aliyeenda ulaya wala america mitume wote walitokea middle eastWewe usiyejulikana hizi dini ni kwa ajili ya mwarabu na mwingereza? Inaelekea haujui kuwa hata huko uarabuni dini ya kikiristu ipo na ndiko ilikoanzia, siyo uingereza kama unavyodhani.
Unaonaje hekima ya Allah angeitumia Kuweka mawe mengi ata kila nchi muwe mnaenda kusujudia hayo mawe kirahisiumekalilishwa wewe kwenda hijja ni around 3500USD iyo pesa imebeba kila kitu mpaka unarudi home na ndio mahana mwenyez mungu akasema kwa wale wenye uwezo hijja ni nguzo katika uislamu cheki sasa Allah mwenye hekima alivyokuwa muadilifu yani wakati wenye uwezo wakiwa wanafanya ibada ya hijja na kwa wale wasiokuwa na uwezo nao wanapata kile kile kama mnachopata nyinyi ila kwa utaratibu maalumu aliouweka mwenyezi mungu kama ukiufuatisha
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa usichokielewa ni nini apo? ayo maneno anaambiwa mtume awaambie watuKisai unauhakika Aya maneno yote ni Allah au Kuna na ya muhammad
Allah anaongea alafu anasema "hakika mwenyezi Mungu ni mwenye kujua" kwa nini amehasahau yeye ndie anatakiwa kuwa mungu
Allah anatatizo Koran nzima anashindwa ku switch from 3rd person to 1st person
[emoji849][emoji849]Yupo sahihi.
Peponi wanaongea kiarabu.
Mbinguni wanaongea kiingereza.
Kwa hiyo sio Allah anaongea ni mtume anaongea kuwaambia watu , na Kwa Nini hakuna neno sema kama ameagizwa kusemasasa usichokielewa ni nini apo? ayo maneno anaambiwa mtume awaambie watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Dini ndio imeleta ustaarabu wote apa duniani na dini iyo siyo nyingine ni uislamu jaribu kuusoma uislamu trust me hutojuta uislamu umeelekeza binadamu uishije apa dunian njia zote uislamu aujaacha kitu uislamu umeelekeza mpaka jinsi ya kufanya biashara bila kuwadhurumu watuNa Wakristu nao tunajua historia ya Israeli na vizazi vyake kuliko hata historia ya mataifa yetu.
Tunalazimika kusheherekea eti mashujaa wa imani huku tunawadharau mababu zetu kwa kuwaita mashetani na kukataa majina yao.
Dini ni adui ya Muafrika.
Mimi sitaki dini kabisa.
Ila ukimfuata Muhammad aliyokuwa anafanya lazima upotokeDini ndio imeleta ustaarabu wote apa duniani na dini iyo siyo nyingine ni uislamu jaribu kuusoma uislamu trust me hutojuta uislamu umeelekeza binadamu uishije apa dunian njia zote uislamu aujaacha kitu uislamu umeelekeza mpaka jinsi ya kufanya biashara bila kuwadhurumu watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo quran ilishushwa na winchi kutoka mbinguni ama malaika alishuka akamkabidhi mtume kitabu kilichoandikwa?Hili linawachanganya wengi sana mwenyezi mungu anaposema tumekuumbeni msifikiri kuwa anaongelea yeye na miungu mingine no iyo ni sifa ya mwenyezi mungu mwenye hekima kwakuwa Qurani tukufu alishushiwa mtume muhamad s.a.w na jibril a.s ndio mahana mwenyezi mungu anatumia maneno ayo na apo mtume anaambiwa sema awaambie watu maneno ayo nakupa mfano mwingine leo hii mnasikia matangazo maybe ya Chanjo alafu baadae unasikia imeletwa kwa msaada wa watu wa marekani kwanini wasiseme imeletwa kwa msaada wa rais biden? waingereza wanaita majestic role ndio mwenyezi mungu alikuwa anaitumia kumshushia wahi mtume wake kupitia jibril.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu kitu kimoja unachochanganya wewe ni kutokufuata maandiko ukaangalia tabia za watu waislamu ni binadamu kama wewe ila aliyeuleta uislamu uyo ndio umfuate na umsikilize anasema nini usiwafuate watu kwakuwa umemuona muislamu anakula nguruwe na unguruwe ni nijasi amekatazwa tusimle basi wewe ndio unachukulia kuwa uislamu ndio upo ivyo kwa vitendo vya watuulisoma dini hukumsoma MUNGU..
Sasa kama ameziumba yeye kwa nini lazima aombwe kwa kiarabu? Jibu ni moja, hajui lugha nyingine zaidi ya kiarabu.Dahhh kijana unachekesha wewe eti allah ajifunze kijaruo uyo unayemkashifu ndiye aliyezileta lugha zote izi unazoona wewe za mahana na kama angeamua au akiamua duniani kote wote tuongee lugha moja anaweza lwa utukufu na nguvu alizonazo
Sent using Jamii Forums mobile app
lete ushaidi kwa aya unayoyasema.. nakula kiapo kwa allah tabaraka ukinitibitishia aya unayoyasema naungana na wewe na nitaukana adharani uislamu apa JFKwa hiyo wewe unamuamini Muhamma mtu asie muadilifu unakataa ushahidi wangu wa Mimi muadilifu
1 , Muhamma alikuwa na matatizo ya akili
2. Muhammad alioa mke wa mtoto wake wa kufikia mpaka akapiga marufuku ku adopt
3. Muhammad alimuoa mtoto Aisha miaka 6
4. Muhammad alikuwa anaua kikatili mfano yule bibi kizee alimfunga kwenye ngamia akamchana katikati
5. Muhammad aliua familia nzima na bwana harusi akachukua mke wa huyo bwana harusi akambaka
Na uchafu mwingi ambao Mimi ata ki nukta sina
Allah anajifananisha na wafalme 😂😂😂 Allah anaposema sisi anajiweka yeye na Malaika na hourisHili linawachanganya wengi sana mwenyezi mungu anaposema tumekuumbeni msifikiri kuwa anaongelea yeye na miungu mingine no iyo ni sifa ya mwenyezi mungu mwenye hekima kwakuwa Qurani tukufu alishushiwa mtume muhamad s.a.w na jibril a.s ndio mahana mwenyezi mungu anatumia maneno ayo na apo mtume anaambiwa sema awaambie watu maneno ayo nakupa mfano mwingine leo hii mnasikia matangazo maybe ya Chanjo alafu baadae unasikia imeletwa kwa msaada wa watu wa marekani kwanini wasiseme imeletwa kwa msaada wa rais biden? waingereza wanaita majestic role ndio mwenyezi mungu alikuwa anaitumia kumshushia wahi mtume wake kupitia jibril.
Sent using Jamii Forums mobile app
hii ndio dini ambayo aliyeileta amesema kuwa aina dosari hata kidogo toka kuondoka mtume duniani mpaka leo Qurani aijabadilika iko vile vile maneno yale yale na hakuna wa kuibadilisha alafu wewe unasema ni utahira leo hii angalia biblia zenyewe kwa wenyewe tu zinapishana kuanzia king james version mpaka implementor zote zimetofautiana lakini Qurani tukufu mpaka leo hii aina version wala muundo mwingine yote hii imetokea kutokana na mwenyewe aliyeileta duniani amesema atailinda na ni kweliHaya mambo yote unayoyasema hua mnafunsishwa msikitini tu, hakuna mahala pengine hua huu utaahira unasemwa. Mbaya zaidi huu ujinga unasemwa na watu wasioenda shule kabisa.
Sifa ya kwanza ya kua muumini wa hii dini ni kua mjinga ana punguani.
Unauhakika nitaweka moja baada ya nyingine naanza na mojalete ushaidi kwa aya unayoyasema.. nakula kiapo kwa allah tabaraka ukinitibitishia aya unayoyasema naungana na wewe na nitaukana adharani uislamu apa JF
Sent using Jamii Forums mobile app