Dini zinavyoharibu watu akili

"Lengo kuu la dini ni kujidhibiti, na si kukosoa wengine."

Dalai Lama XVI
 
Jiulize Mungu gani mbaguzi. Akupe lugha yako ya
Humu naona mnaendelea kuonyesha ujinga wenu ulivyo. Ulizaliwa unajua kusoma na kuandika ?

Hujui kama kuna Waafrika wanao wafundisha Waarabu Kiarabu ?

Allah si mbaguzi, Mola wetu sote ametupa uwezo wa kutaka kufanya jambo na kulijua tunalijua ni juhudi tu.

Mola angeamua kuleta Mtume anaye tumia lugha ya Kiswahili basi neno lake kadhalika lingekuwa Kiswahili sababu ujumbe huanzia kwa watu kisha uasambaa kwa wengine kupitia kujifunza. Muwe mnatuliza akili vijana, haya mambo mnaishi nayo ila linaoo kuja suala hili katika Uislamu akili zinawatoka na kusahau ya kuwa hata nyinyi mnayafanya katika namna zenu.
 
Hivi sifa ya kwanza ya kua muislamu ni kusifia kiarabu ama ni nini?

Naona kama uislamu na ujinga ni kama samaki na maji.

Unasema hakuna kabila wala dini yoyote ambayo haitumii maneno ya kiarabu, unaweza kunionyesha mameno ya kiarabu kwenye lugha ya kichina ama kijapani? Ama unaweza kunipa maneo ya kiarabu kwenye kigiriki?

Unasema lugha ya kiarabu iko kwenye lugha zote Duniani halafu unatolea mfano kiswahili na kingereza, hizo ndio lugha za Dunia?

Wewe taahira hujui kua china ina namba zake mona hadi kumi ama kwa kua umekaririshwa msikitini na wajinga wenzako basi unakuja kuleta huo ujinga hapa.

Cha kukushauri, mwambieni allah ajifunze lugha nyingine, Dunia imebadilika sana abadilike, ajifunze hata kijaluo ama hata kisambaa au kijerumani.
 
Kwa hiyo akileta mtume anaetumia kiswahili basi atalazimisha watu wote watumie kiswahili wakati anajua kabisa kuna makabila mengine, ama hajui kama kuna makabila ama lugh nyingine? Huyo mola ni mzima kichwani kweli? Huyo ni mola ama mura?
 
Akili

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ukiwa mjinga utaelimishwa..ila ukiwa mpumbafu ni tatizo kwa jamii..shida huna akili na uliyonayo kidogo imevurugwa nanwaarabu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Muislamu, Jifunze Kiarabu Achana na Kiingereza. Peponi Lugha ni Kiarabu tu

View attachment 2309809


Uongo mtupu, huko peponi hakutakuwa na lugha hizi za kimwili, tutawasiliana kupitia lugha ya kiroho, hizi lugha za kimwili ni kwa ajili ya mawasiliano yetu ya shughuli za kimwili hapa duniani.

Siku ya Qiyama kutakuwa na lugha ya kiroho ambayo kwayo kila roho itawasiliana na Mungu.
 
Mwenye kuweza kujibu hoja za Kikwajuni One tafadhali ajitokeze ili mjadala undelete na siye wengine tuendelee kujifunza.......
Anahoja gani..kama sio wenda wazimu umemjaa..atwambie neno mbona hicho kiswahili au kichina nacho kimetokana na kiarabu.

Uislamu ni utamaduni wa waarabu..yeye mmatumbi kaingizwa chaka..kwa kufanyiwa mental slave and brainwash.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwa hiyo akileta mtume anaetumia kiswahili basi atalazimisha watu wote watumie kiswahili wakati anajua kabisa kuna makabila mengine, ama hajui kama kuna makabila ama lugh nyingine? Huyo mola ni mzima kichwani kweli? Huyo ni mola ama mura?
Uwe unasoma na kuelewa hoja siyo unakurupuka kujibu. Soma nilichokiandika kisha ujenge hoja.

Kingine uonyeshe wapi Mtu amelazimishwa kujifunza lugha ya Kiarabu ?

Kisha Allah anasema :

13. Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari. (al-Hujuurat : 13)
 
Tuwekee ushahidi wa haya tupate faida.
 


Na ndio maana muisilamu anayetakiwa kwenda Hijja ni lazima awe na uwezo wa pesa,, kwa maneno mengine, mbali na nauli, akifika huko aweze kujikimu katika huduma zote za ibada ya Hijja, kwa zile huduma zinazohitaji pesa, Muisilamu safi kutoa pesa kwa ajili ya Mungu ni jambo la fahari na thawabu, kumbuka huko wanakwenda watu milioni kadhaa katika hali hiyo ni serikali gani inaweza kuweka huduma zote za bure kuhudumia watu wengi kiasi hicho??!!--- juu ya yote kuna ubaya gani wa watu wa huko kuuza bidhaa kwa ajili ya Mahujaji??!! au umesahau kauli; Mgeni njoo mwenyeji apone??!.

Acha chuki na wivu usiokuwa na msingi.
 

Achana na bidhaa za kuuzwa. Kuna fee inalipiwa ya utalii kwenye hija packages. Ni sawa na mgeni anavyokuja serengeti ama mlima kilimanjaro
 
Ningeweza kupata kuishi sehemu ambayo hakuna dini ningefurahi sana. Dini ni ukichaa wa hali ya juu.
 
Hii ni sawa na taikon wa fasihi Robert heriel ahimize kwa kuwaambia kiswahili ni lugha ya peponi af badaye aweze kuwauzia riwaya zake[emoji1][emoji1]
 

Acha kujifanya mjuaji na kuaminisha watu uongo, na hilo jina Mohamed ni kubwa na ni zuri pia, so, haliendani na hiki unachokiandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…