Dini vs Ushirikina: Kwanini ningechagua ushirikina

Nimepata revelation nyingi sana juu wa watu waliofanikiwa kiuchumi kwa kutumia ushirikina lakini sijaambiwa kuhusu madhara/ athari zake kwa mhusika
Hata hao viongozi wa dini wanatumia ushirikina kwa sababu hiihii ya ku-secure ugali wao sasa ushirikina unaonekana kuwa effective sana kwenye maswala ya hela. Naombeni hoja zenu wadau
 
Kwa mala ya kwanza nakutana na uzi wako wenye mawazo mgando kabisa.

Washirikina kujificha kwenye kichaka cha dini.
Hakuleti maana kwamba dini ni mbaya na ushirikina ndio mzuri.
Isitoshe kuna uwezekano mkubwa tu wakumjua mshirikina hata akijificha vipi.
 
Waganga wengi san wanatoa utajiri wa kichawi.

Nenda kapewe, unasubr nn 😂😂
 
Safi sana, ebu eleza hio process nzima ikoje then nifanye analysis zangu kabla ya kuchukua uamuzi
Wewe nenda kila mganga ana mbinu zake.

Example :
-Kafala kila mwezi (kutengeneza ajari) na kutoa watoto wako wote pindi wakizaliwa.
  • kuku kudonoa mahindi, atakayo donoa ndo miaka yako ya kuishi na utajr.
  • kutolewa uzazi.
  • hakuna kusex wala kulala kitandani.

Kila kuzimu na masharti yake
 
Duh! Hakuna jema hapo, Kwaheri mkuu 🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️
 
1Yohana 1:9 "Tukiziungama dhambi zetu, yeye ni mwaminifu na wa haki hata atuondolee dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote."

Je unaishi maisha yenye kuruhusu kupokea baraka? hauwezi zuia sumu kwa kuweka majani kwenye maziwa (kuchanganya Mungu na ushirikina)..... Mungu wetu ni mwema ukiwa unaenenda katika njia sahihi yeye hatakuacha na atakufanikisha.....

Huwezi taka ufanikiwe kwenye biashara wakati unahusisha ushirikina, unafanyia uzinzi kwenye biashara na hela ya biashara inalipia uzinzi....huwezi pokea uponyaji kama hata biblia huwezi soma hata dakika 2 na hata kwenye biblia imeeleza wazi sababu zinazotunyima mafanikio.....
 
Definitely naked truth
 
[emoji16][emoji1545][emoji1545][emoji2827][emoji2827]
 
Kutoa watoto wote pindi wanapozaliwa sio kweli kabisa... Hilo ni kafara la juu mno na huja baadae mno
 
Definitely naked truth
Mdau Surya amenieleza hapo juu kuhusu masharti yake lakini nadhani kuna zaidi ya hayo aliyoyaeleza.
Ninaowaona/wafahamu hawajafall kabisa kwenye hizo categories, wanaishi normal life kama raia wengine ila wako financially strong
Bado nahisi kuna mengi siyajui, ningependa kuyafahamu mkuu Mshana Jr
 
Kutoa watoto wote pindi wanapozaliwa sio kweli kabisa... Hilo ni kafara la juu mno na huja baadae mno
Ma agent wa shetani wa jinga sana.

Kuna jamaa yeye alipewa sharti moja tu la kutoa kafala za ajari.

Lakini ilikua ikitokea mistake yoyote ile kafala ikashindikana tarehe husika, adhabu ni ndugu yake awe mbadala.

Na huwa tu kuna mashart yanaibuka pindi ukipata utajiri na ukakukolea, watoto wa michepuko wote wakizaliwa ni kafala tu.
 
Heshima yako mkuu! Je wewe ni mfanyabiashara? Kama ndio ni ipi?
Karibu sana utumegee hio Aya inayozungumzia mafanikio ya kiuchumi kwenye biblia
 
Vyote ni sawa kwani ushirikina ni dini na dini ni ushirikina. Vyote vinatumia mizimu, mapicha, hadithi na damu kama kawa.
 
Nijuavyo,USHIRIKINA, UGANGA NA UCHAWI NI VITU VI 3 TOFAUTI
Kuna wale wanaoji-protect dhidi ya uizi especially wa pesa, chuma ulete, position ofisini na vitu kama hivyo. Hawa wanaangukia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…