Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,765
- 126,672
Pole sana, jikaze kisabuni.Lakini uhuru uwe na mipaka?? Ana raha me nakoma huku
Kwa mtu muelewa ukimcha awe huru atafanya mengine mazuri zaidi kwa uhuru huo
Pole sana, jikaze kisabuni.Lakini uhuru uwe na mipaka?? Ana raha me nakoma huku
Wala sio ya kunipa polePole sana, jikaze kisabuni.
Kwa mtu muelewa ukimcha awe huru atafanya mengine mazuri zaidi kwa uhuru huo
Mwanamke atakayemtii mumewe, ameahidiwa nini na Muumba wake eti.....Wala sio ya kunipa pole
Maana meridhia mwenyewe na moyo wangu, wajua ukipenda boga upende na ua lake na ukipenda waridi sharti uvumilie miiba, ni yangu yote meyabeba nafanya atakavyo sipendi kumkera
[emoji121]Habari Wakuu,
Najua wengi wamekutana na jambo hili nina mpenzi wangu mwaka wa tatu sasa ila dini tofauti na nikimuuliza kuhusiana na dini anawaka anasema itakua namtafutia sababu tuachane.
Nifahaishane faida na hasara za kuishi kwa dini tofauti ndani ya ndoa.
Mimi Christian binti Islamic
Pepo, ameahidiwa pepo hahahahMwanamke atakayemtii mumewe, ameahidiwa nini na Muumba wake eti.....
Kazi kwako sasa...Pepo, ameahidiwa pepo hahahah
Naona umepigiwa honi na umefika fast[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mwanamke wangu unaakili sana, haya ujumbe umenifikia
always honey, bora umekuja ningeliaje kama ungemutemwanamke wangu unaakili sana, haya ujumbe umenifikia
Me ndio najitahidi ila roho yaniuma menyimwa kwenda ktKazi kwako sasa...
Mtii bana hivyo hivyoMe ndio najitahidi ila roho yaniuma menyimwa kwenda kt
Lakini yeye kajaa hivo huko!!Mtii bana hivyo hivyo
wote tupo huku jf huko ukamfate nani?? hata me siendiMe ndio najitahidi ila roho yaniuma menyimwa kwenda kt
Hili la kukuteta ntakuficha hakuna namna usitake nikakosa umbea mwengine bure nna kifua ujue
Mpunguze kidogo asije akamwagika bure[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Lakini yeye kajaa hivo huko!!
Habar zako nnazo uko kt unachokitafta utakipata babelovewote tupo huku jf huko ukamfate nani?? hata me siendi
kaone kanavyopenda umbeaHahahaha naomba iwe baadae honey