Dini tofauti ila nampenda

Dini tofauti ila nampenda

Habari Wakuu,

Najua wengi wamekutana na jambo hili nina mpenzi wangu mwaka wa tatu sasa ila dini tofauti na nikimuuliza kuhusiana na dini anawaka anasema itakua namtafutia sababu tuachane.

Nifahaishane faida na hasara za kuishi kwa dini tofauti ndani ya ndoa.

Mimi Christian binti Islamic

Mmhhhhmm ... dear hata sijui nisemeje .. Binafsi nakushauri Fanya Funga na maombi ili Mungu akufunilie yaliyo sirini.... Hivi vitu vinasumbua sana Baadae .. I speak from my experience .. For what I went through I wouldn't want any of my children to go through this again.. Wazazi wangu hawakuwa Dini moja ..nililelewa Kiislam full na Madrasah niliisoma . Ilinichanganya nilipokuwa nikiona huku nalelelewa na kufunzwa Kiislam but kule watu wanakwenda Church kumshangilia Yesu kwa furaha nikitaka kwenda nakatazwa niliimbiwa kule hakunifai.. Kuna kipindi kulikuwa na mikutano Tanga High School , Makorora , Mkwakwani na Mabawa mtoto Mimi nimo si nilikuwa napagawa na miujiza niliyokuwa nikihadithiwa na watoto wenzangu.. Dear Siku ilifika nikasema hata na Mimi nataka nishuhudie kwa macho yangu.. Nilipoanza kushuhudia kwa macho hata Madrasah nikawa mtoro nilikuwa nashangazwa na nguvu za Huyu Yesu anayetoa mapepo , kufufua watu, na kufungua watu.. nikitoroka madrasah nikirudi home ni viboko tena vya nguvu .. pamoja nimechapwa leo kesho yake nilirudia tena .( mwili wote una makovu kwa fimbo sababu ? Ya Yesu) Hebu niambie je haya maisha unataka aje kupitia uzao wako.? Najua for now kila mtu atataka umuoe huyo mpenzio .. But what about your heart says? Beside the love you have for her..

Ndugu nakushauri kaa chini na mwenzio Fanya nae maongezi kwa utaratibu tuu na kwa Upendo .. Na usichoke kumuombea na kumuhubiria Habari Njema za Yesu .. Kwa maana sio waislamu wote wasiopenda kibadilisha Dini . Wengine ni waaoga. Wanaogopa kukataliwa na kupewa laana na wazazi ( Haya yalinikuta Mimi lakini hadi sasa bado Niko hai Nasonga na Yesu na anazidi kunipigania. Na mzazi amejirudi na wengine wanafuata mmoja mmoja ) . Dear maisha ya ndoa si kama ya Ku date or ya Uchumba. For now kila kitu unaona its okay because hamjaoana dear .. Mkishaooana maisha huwa yanabadilika ... Na katika hayo mabadiliko kunakuwa na mapito . Katika kipindi hicho chote mtamuhitaji Mungu sana na mtataka kuwa na ukaribu nae. Sasa sijui mtamuitaje huyo Mungu. Mtamuita as Jesus or as Allah.? Na maombi ya wanandoa yana Nguvu sana.. Kazi kwako .. Funga na Maombi Mungu akuongoze vyema.. Samahani nilipokukwaza. Good Luck.. Thanks..
 
Im imppresed ubarikiwe
 
kuna ndoa mseto,mnachagua mfungie wapi ndoa(msikitini au kanisani) baada ya hapo kila mtu anaendelea na utaratibu wake

Hatujui mtoa mada ni mkirstu wa madhehebu gani ila ndoa mseto hufungwa katika kanisa Katoliki tu, yaani mkatoliki anaweza kufunga ndoa yake kanisani na mtu wa imani yoyote ile na kila mmoja akabaki na imani yake.
Ndoa mseto ina masharti kadhaa mfano yule wa imani tofauti anatakiwa asimshurutishe mwenzake ambaye ni mkatoliki kubadili imani yake wakati wote wa maisha yao ya ndoa.

Sharti jingine watoto wote watakaozaliwa kwenye ndoa hiyo lazima wabatizwe na walelewe katika maadili ya kikristu.

Hizi ndoa ni nyingi ila zina matatizo sana nazo.
 
Ni kazi kumbadilisha mwislamu awe mkristo, achana nae
 
Je wasipopata watoto? Maana watoto ni matokeo na majaaliwa.
wasiopata watoto ni malaliwa kweli... lakini kama kuna wasiwasi wa hilo mnaweza kwenda hospital kuangalia je kama mnauwezo wa kupata mtoto na kama haiwezekani mnakuwa aware kabla ya ndoa ... mkiingia huko huku mkijua hatuzai mtakuwa na namana ya kuishi... ila mkiingia bila kupima mkayakuta humo ndani kiukweli ni wachache wenye hekima wataweza ishi wengi huishia malumbano..
 
duuu tuko wengi hata mimi nadate na mtu wa dini tofauti sijui itakuaje mbeleni nijitahidi kumwacha lakini inashidikana
 
Habari Wakuu,

Najua wengi wamekutana na jambo hili nina mpenzi wangu mwaka wa tatu sasa ila dini tofauti na nikimuuliza kuhusiana na dini anawaka anasema itakua namtafutia sababu tuachane.

Nifahaishane faida na hasara za kuishi kwa dini tofauti ndani ya ndoa.

Mimi Christian binti Islamic

Ni kuachana nae japo itaumiza ila utazoea ,suala LA iman usilichukulie simple kias hiko esp kwa kipind hiki cha vuta nkuvute, mwishon itakua shida zaidi,polee
 
Je wasipopata watoto? Maana watoto ni matokeo na majaaliwa.

Watoto ni matokeo na majaaliwa?
Mungu amesema nendeni duniani mkaujaze ulimwengu.
Hakuna majaaliwa hapo. Mungu ashaweka huo uwezo aliposema nendeni mkaujaze ulimwengu.
Hivi kwa mfano home kwako baba ako akikupa hela akakwambia nenda dukani ukalete mkate tunywe chai bado utabaki unamuuliza tena maswali?
Si ameshakuwezesha ukanunue huo mkate kwa hela aliyokupa?
 
kafungeni ya mahakamani ile sio ya dini ni ya chama tawala
Habari Wakuu,

Najua wengi wamekutana na jambo hili nina mpenzi wangu mwaka wa tatu sasa ila dini tofauti na nikimuuliza kuhusiana na dini anawaka anasema itakua namtafutia sababu tuachane.

Nifahaishane faida na hasara za kuishi kwa dini tofauti ndani ya ndoa.

Mimi Christian binti Islamic

kafungeni ya mahakamani ile sio ya dini ni ya chama tawala mnavalishwa nguo za ccm mnaimba ile nyimbo ya ccm mbele kwa mbele mchezo unaungua
 
Mmhhhhmm ... dear hata sijui nisemeje .. Binafsi nakushauri Fanya Funga na maombi ili Mungu akufunilie yaliyo sirini.... Hivi vitu vinasumbua sana Baadae .. I speak from my experience .. For what I went through I wouldn't want any of my children to go through this again.. Wazazi wangu hawakuwa Dini moja ..nililelewa Kiislam full na Madrasah niliisoma . Ilinichanganya nilipokuwa nikiona huku nalelelewa na kufunzwa Kiislam but kule watu wanakwenda Church kumshangilia Yesu kwa furaha nikitaka kwenda nakatazwa niliimbiwa kule hakunifai.. Kuna kipindi kulikuwa na mikutano Tanga High School , Makorora , Mkwakwani na Mabawa mtoto Mimi nimo si nilikuwa napagawa na miujiza niliyokuwa nikihadithiwa na watoto wenzangu.. Dear Siku ilifika nikasema hata na Mimi nataka nishuhudie kwa macho yangu.. Nilipoanza kushuhudia kwa macho hata Madrasah nikawa mtoro nilikuwa nashangazwa na nguvu za Huyu Yesu anayetoa mapepo , kufufua watu, na kufungua watu.. nikitoroka madrasah nikirudi home ni viboko tena vya nguvu .. pamoja nimechapwa leo kesho yake nilirudia tena .( mwili wote una makovu kwa fimbo sababu ? Ya Yesu) Hebu niambie je haya maisha unataka aje kupitia uzao wako.? Najua for now kila mtu atataka umuoe huyo mpenzio .. But what about your heart says? Beside the love you have for her..

Ndugu nakushauri kaa chini na mwenzio Fanya nae maongezi kwa utaratibu tuu na kwa Upendo .. Na usichoke kumuombea na kumuhubiria Habari Njema za Yesu .. Kwa maana sio waislamu wote wasiopenda kibadilisha Dini . Wengine ni waaoga. Wanaogopa kukataliwa na kupewa laana na wazazi ( Haya yalinikuta Mimi lakini hadi sasa bado Niko hai Nasonga na Yesu na anazidi kunipigania. Na mzazi amejirudi na wengine wanafuata mmoja mmoja ) . Dear maisha ya ndoa si kama ya Ku date or ya Uchumba. For now kila kitu unaona its okay because hamjaoana dear .. Mkishaooana maisha huwa yanabadilika ... Na katika hayo mabadiliko kunakuwa na mapito . Katika kipindi hicho chote mtamuhitaji Mungu sana na mtataka kuwa na ukaribu nae. Sasa sijui mtamuitaje huyo Mungu. Mtamuita as Jesus or as Allah.? Na maombi ya wanandoa yana Nguvu sana.. Kazi kwako .. Funga na Maombi Mungu akuongoze vyema.. Samahani nilipokukwaza. Good Luck.. Thanks..
asante sana kwa ushauri wako nimeupitia kwa kila sentensi nimeelewa sana Ubarikiwe
 
Jaribu kujua ndugu wa pande zote mbili wanalichukuliaje hili ili ujue unakabiliana na changamoto zipi kabla ya kufanya maamuzi
upande wangu wanakubali hata serikalini ila upande wao hawataki kuelewa
 
ni k
Ushauri wa Kaboom nimeupenda kama hakuna kizingitu Kati yenu basii mnaweza kua pamoja ikiwa Tu mnapendana kidhat ILA mahusiano ya dizain kwa asilimia karibu zote hua hayadumu
ni kweli kabisa ulisemalo sio utani
 
Achana nae aisee, au kama mnapendana sana mwambie abadili dini . Kuna mzee wangu mkubwa allikuwa na situation kama hyo lakini mwanamke akabadili dini wakafunga ndoa , wakapata watoto maisha yakaenda, sasa mzee amestaafu mwanamke amebadili tena dini na amefunga hataki.kupika hataki kutoa game nk. Amemtimua home
ah haa haa duh kweli huko mbele kubaya
 
Habari Wakuu,

Najua wengi wamekutana na jambo hili nina mpenzi wangu mwaka wa tatu sasa ila dini tofauti na nikimuuliza kuhusiana na dini anawaka anasema itakua namtafutia sababu tuachane.

Nifahaishane faida na hasara za kuishi kwa dini tofauti ndani ya ndoa.

Mimi Christian binti Islamic
Mpe mimba Kwanza azae ndio zungumzia masuala ya dini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta thread Natamani kujua ulifikia wapi na mpenzi wako
 
Dini imekuwa shida sana kibongo hapa, ni heri mkaanza kufanya mipango ya maisha yenu sasa habari za kuishi huku hamjui kitachojiri mbeleni ni hatari mtajikuta mmeshapotezeana muda sana. Mmoja lazima abwage manyanga chini tn mapema ikajulikana sasa. Na siyo cjui kusubiria lini
 
Back
Top Bottom