mimi sijasema kuwa ustaarabu ni kuvaa kanzu na maninja.Ustaarabu hatuangalia uvaaji wa kanzu na protocol za kininja
Katika maadili ya kiustaraabu au jamii ambayo kweli imestaarabika haiwezi kukubaliana na ndoa hii ambayo mtume wenu aliifanya
Sio kwasababu maumbile hayaruhusu, ni kwasababu taratibu za kiustaarabu hazikubaliani na unyama huo kwa watoto
Kwani kuna taratibu gani na zimeandikwa wapi taratibu hizo za kiustaarabu ambazo dunia nzima imekubaliana kuwa hizo ndo ustaarabu bila kutofautiana hata kidogo ?Sio kwasababu maumbile hayaruhusu, ni kwasababu taratibu za kiustaarabu hazikubaliani na unyama huo kwa watoto
Ila?mimi sijasema kuwa ustaarabu ni kuvaa kanzu na maninja.
Jambo gani?Bali nimesema wastaarabu waarabu wanafanya hilo jambo.
Hiyo haiondoi maana kua sio wastaarabu. Kwadababu swala la ukatiri kwa mtoto mdogo katika maadili ya kistaarabu lazima liwe na uzito sana. Na pengine tungetegemea kuwaona wao ndio wako mstari wa mbele kulinda haki ya mtoto wa kike kwasababu mnawaita wastaraabu.Wakati wewe umeuliza kuwa jamii gani ya wastaarabu inafanya hivyo maana yake umekusudia kuwa mbali na hilo la kuoa mtoto wa miaka 6 hao watu ni wastaarabu.
Nawe mpaka hapa unaonesha jinsi gani hukubalini na ajenda yao ya kuoa mtoto wa miaka 6 na ndio maana unailelezea katika muktadha ambao sio rafiki na mazingira ya kiustaarabu.Kwa hiyo ulikusudia kuwa wawe wastaarabu mbali na hilo la kuoa kitoto cha miaka 6.
Hiyo haiondoi maana kwamba hawajastaarabika. Hata hitler aliua watu zaidi ya milioni kumi lakini hatuwezi kusema sio gaidi eti kwasababu kulikua na watu wawili aliokua anawapendaNa waarabu mbali na hili la kuoa kitoto cha miaka 6 wana ustaarabu mwingi tu.
Kusema wastaarabu hakuwafanyi wawe kweli wastaarabu ikiwa kama wanafanya ukatili kwa watoto wadogoNdo maana nikakuambia kuwa waarabu ni wastaarabu huwa wanafanya hivyo.
Sasa tena unaruka warukia kwingine.
Kwani kuna taratibu gani na zimeandikwa wapi taratibu hizo za kiustaarabu ambazo dunia nzima imekubaliana kuwa hizo ndo ustaarabu bila kutofautiana hata kidogo ?
Ustaarabu kwangu ni jambo la lazima kulitekeleza.Sasa wenzako wanajumlisha hili jambo kua nalo ni miongoni mwa ustaraabu
sijagusia Kabisa kuhusu ustaarabu ufanye jambo lipi kwa hiyo usitie ila kana k2amba kuna jambo nilizungumza kuelezea hiko kitu ustaarabu.Ila?
La kuoa binti wa miaka 6.Jambo gani?
Ndo mana nikakuuliza kuwa kuna marejeo mamoja ambayo jamii zote Inarejea hapo kujua kila aina ya ustaarabu kwa mujibu wa marejeo hayo ?Hiyo haiondoi maana kua sio wastaarabu. Kwadababu swala la ukatiri kwa mtoto mdogo katika maadili ya kistaarabu lazima liwe na uzito sana. Na pengine tungetegemea kuwaona wao ndio wako mstari wa mbele kulinda haki ya mtoto wa kike kwasababu mnawaita wastaraabu.
Katika jamii ambazo hazijinadi kua wastaarabu wameweka sheria kandamizi ambayo inamhukumu mwanaune kama mbakaji endapo atafanya ngono na binti mwenye umri chini ya maiaka 18
Kwani mimi wapi nimedai kuwa watu flani sio wastaarabu?Kama utaratibu unakua unamipaka utaanzaje kusema watu flani ni wastaarabu na watu wengine sio wastaarabu wakati ukijua hao ambao sio wastaraabu wanasheria zao ambazo zinawaruhusu wao kufanya hivyo?
Mimi nasema watu fulani wastaarabu kwa mujibu wa marejeo yangu na wala sio kwa mujibu wa marejeo ya dunia nzima,kwa sababu dunia nzima natambua haina marejeo moja.Unajua ukishasema kua hakuna sheria maalumu kwa dunia nzima inayotumika kuonyesha yupi mstaarabu, vile vile hupaswi kusema watu flani ni wastaarabu kwasababu vigezo hivyo unakua umevitoa kwenye sheria ya wapi?
Aya uliyoitoa ipo wazi! Mungu ametuma Mitume na Manabii kila umma. Hiyo aya inajitosheleza. Atakayehitaji kuikubali maana yake aikubali na atakayehitaji kuikataa maana yake na aikatae.Na wewe kiokote kutoka kwa huyo mwanazuoni wako, thibitisha usahihi wa hayo uliyoyaokota kutoka kwake.
Quran (Allah) anatutaka tutumie akili katika kutafakari maudhui aya zake, wewe kwa ujinga na ububusa wako unadhani akili ulizopewa ni kwa ajili ya kukariri aya za Quran na kuvukia barabara tu, akili uliyonayo ni ya "Majini-paka" na "Majini- nyoka", akili yako imelala doro.
QUR'AN inahitaji wetu wenye akili na sio Mabubusa.
Eti kwa mawazo yako ya hovyo; kipindi nyimati za mashariki ya kati wamepewa manabii kuwaongoza kumcha Allah huku Africa na sehemu zingine za dunia hakukuwa na watu waliohitaji Muongozo kutoka kwa Allah!!!??--- a shere stupid imbecility, sisi waafrika tulikuwa na laana gani kipindi hicho tukakosa neema ya manabii???, je tulikuwa kama wanyama au zama hizo huku hakukuwepo na watu ??!!.
Mjinga hawezi kujiuliza hayo maswali bali mwenye akili ya kutafakari maneno ya Allah.
Allah akuongize, akuondolee kibri cha "ujuaji" unyenyekee kwake ukilia kwa machozi huku ukiomba dua hii; "Ee mola wangu mimi sijui kitu nawe ndiye mjuzi wa kila kitu nizidishie elimu na uniruzuku ufahamu".
[emoji16][emoji16][emoji16]Unadhani kuna jamii gani ya ustaarabu inayoweza kukubaliana na ndoa ya mtoto wa maiaka 6 kuolewa na mzee wa 50+?
Ustaarabu ni nini?sijagusia Kabisa kuhusu ustaarabu ufanye jambo lipi kwa hiyo usitie ila kana k2amba kuna jambo nilizungumza kuelezea hiko kitu ustaarabu.
La kuoa binti wa miaka 6.
Ndo mana nikakuuliza kuwa kuna marejeo mamoja ambayo jamii zote Inarejea hapo kujua kila aina ya ustaarabu kwa mujibu wa marejeo hayo ?
Kama yapo ni yapi ?
Au ustaarabu unajulikana kwa vipimo gani ambavyo jamii zote duniani zimekubaliana katika vipimo hivyo ?
Kwa sababu kupinga kwako hili jambo nakubali kuwa unapinga ila je kwa hoja zipi,jibu hayo niliyokuuliza.
Kwani mimi wapi nimedai kuwa watu flani sio wastaarabu?
Hayo umeyadai wewe kuwa wale wanaooa watoto wa miaka 6 kuwa sio wastaarabu,ndo mana mimi nakuhoji hapa.
Mimi ninachokuelimisha hapa uone kuwa kwa mujibu wa tamaduni zao na mazingira yao hilo jambo sio baya kwao.wewe ndo upo hapa kuwatoa hao waarabu katika wastaarabu na wala sio mimi.
Mimi nasema watu fulani wastaarabu kwa mujibu wa marejeo yangu na wala sio kwa mujibu wa marejeo ya dunia nzima,kwa sababu dunia nzima natambua haina marejeo moja.
Wewe unaeshadidia kuwa watu fulani sio wastaarabu ndio unatakiwa kujiuliza hapa kwa nini ushadidie hivyo bila hata kusema kuwa kwa mujibu wa taratibu zao hilo sio jambo baya ?
Umeahindwa hivyo bali unalazimisha kana kwamba wewe ndio unaratibu nani awe mstraabu na nani asiwe.
Kwa hiyo tunakubaliana kuwa kwa mujibu wa waarabu wenyewe hilo jambo la kuoa mtoto wa miaka 6 n.k sio jambo baya kwao na limefanyika tangu na tangu ila kwako wewe na jamii zingine sio ustaarabu ,tunakubaliana hivyo ama ?
unasemaje juu ya maswaa ambayo nimekuuliza mimi hko juu,unakuwa kama hujayaona alafu unataka nikujibu wakati na wewe hujibu.Ustaarabu ni nini?
Kipi kipimo cha kujua huu ni ustaarabu na huu siyo?
Mkuu umeandika kwa tahadhari kubwa ,unaweza kufunguka zaidi mkuu juu ya haya mas'ala tunyoyajadili hapa.Aya uliyoitoa ipo wazi! Mungu ametuma Mitume na Manabii kila umma. Hiyo aya inajitosheleza. Atakayehitaji kuikubali maana yake aikubali na atakayehitaji kuikataa maana yake na aikatae.
Ipo Mitume ambayo haikutajwa kwenye Quran mfano Nabii Shiith A.S, Nabii Hizqiil (Ezikiel) A.S. n.k
Muhimu ni kwamba inabidi mtu afahamu elimu ni pana! Ila siku hizi kwenye Uislamu kuna wanaonyeshwa itikadi na kuna wanaonyeshwa elimu.
Ndiyo maana wenye kutafakari kama Mungu alivyowaita walikuwa wanazungukasehemu tofauti tofauti ya dunia. Walichokikuta ni kuwa sehemu nyingi zenye tamaduni tofauti kuna msingi mmoja wa Tawhiid nao yupo Mungu mmoja aliyetuumba na ni mwenye nguvu ila walichochanganya ni shirk. Kuwa Mungu ana washirikakwenye kuabudiwa. Walisahau ya kuwa Mungu anatosheka na shirika la peke yake.
Mwenye kutafakari ndipo anapotafakari inakuwaje licha ya shirk yao lakini bado wanaamini yupo mwenye nguvu mmoja aliyetuumba. Bila shaka kuna ujumbe ulifika hapa tangu awali. Kwa hiyo Quran msingi wake ni ule ule lakini kuna aya nyengine zinakutaka utafakari.
Ndiyo maana kwa kutafakari huku zama za dola za Kiislam zilizopita zilipiga hatua kubwa ya kidunia na akhera. Kipindi hicho kabla ya elimu haijafika kwa Bara Ulaya wa magharibi. Kwenye Fizikia Maulamaa wapo wameandika vitabu, Kemia Maulamaa wapo wameandika vitabu na fani zote.
Naishia hapa!
mkuu umeongea jambo kubwa sana hasa katika hiyo dua.Na wewe kiokote kutoka kwa huyo mwanazuoni wako, thibitisha usahihi wa hayo uliyoyaokota kutoka kwake.
Quran (Allah) anatutaka tutumie akili katika kutafakari maudhui aya zake, wewe kwa ujinga na ububusa wako unadhani akili ulizopewa ni kwa ajili ya kukariri aya za Quran na kuvukia barabara tu, akili uliyonayo ni ya "Majini-paka" na "Majini- nyoka", akili yako imelala doro.
QUR'AN inahitaji wetu wenye akili na sio Mabubusa.
Eti kwa mawazo yako ya hovyo; kipindi nyimati za mashariki ya kati wamepewa manabii kuwaongoza kumcha Allah huku Africa na sehemu zingine za dunia hakukuwa na watu waliohitaji Muongozo kutoka kwa Allah!!!??--- a shere stupid imbecility, sisi waafrika tulikuwa na laana gani kipindi hicho tukakosa neema ya manabii???, je tulikuwa kama wanyama au zama hizo huku hakukuwepo na watu ??!!.
Mjinga hawezi kujiuliza hayo maswali bali mwenye akili ya kutafakari maneno ya Allah.
Allah akuongize, akuondolee kibri cha "ujuaji" unyenyekee kwake ukilia kwa machozi huku ukiomba dua hii; "Ee mola wangu mimi sijui kitu nawe ndiye mjuzi wa kila kitu nizidishie elimu na uniruzuku ufahamu".
Wanazuoni wanawaweka watu hao katika makundi matatu, kama ifuatavyo, pale wanapo wazungumzia "ahlul fatrah"Mfano baba yake mtume katika hadithi mtume anasema baba yake Mtume yuko motoni.
Ssasa kama yuko motoni na kafa mtume hata hajapeawa utume wala ujumbe unadhani kwa nini aende motoni na wakati yeye anakufa hapakuwa na mtume wala ujumbe wowote kwa wakati ule ?
Unao ushahidi kuonyesha ya kuwa ahlul fatrah ni kikundi kidogo cha watu ?Hapo najifunza kuwa ahlul fitra ni kikundi kidogo cha watu ambacho kipo ndani ya kundi kubwa la watu (ummah)kundi ambalo lilifikiwa na Mtume na ujumbe pia.
Ukisoma katika sahihi al Bukhari, imaam Al Bukhari anapo ongelea maana ya Ahlul Fatrah ni kaumu ambayo baina ya nabii Issa na mtume Muhammad, hii ndiyo ahlul Fatrah sasa utaniambia kitambo hiki ni ulimwengu mzima au kitongoji kimoja au ni kikundi cha watu wachache.Sasa ukidai kuwa ahlul fitrah hawakupewa utume kwani hapo tafsiri yake si ni watu wa fitrah tafsiri ambayo ni ndogo ambayo inatoa idadi ndogo kuzidi ile ya ummah
Sasa ndivyo hivyo vyote ambavyo kuna zama havikuwepo, na hakuna ujumbe pasi na mtume.Tukisema mtume tunakusudia na ule ujumbe.
Nadhani umefahamu hoja yangu ilipo ndio maana nikakupa hiyo mifano yote,buko kugawa baadaye kunarud pale pale kuwa hao wazazi wa Mtume sio katika ahlul fitrah.Wanazuoni wanawaweka watu hao katika makundi matatu, kama ifuatavyo, pale wanapo wazungumzia "ahlul fatrah"
1. Wale ambao wamekiri na kuukubali upweke wa Allah kwa msaada wa neema ya akili waliyo pewa kwa kuhoji na kujiuliza, kama vile Qus bin Saida na Zayd bin Amr, baba wa Said bin Zayd ambao walitabiriwa kheri.
2. Wale ambao walibadilisha imani ya Mungu mmoja na kuelekea masanamu, wale walio leta dini zao na kujifanyia miungu wao kinyume na Allah, kama vile Amr bin Luhay, na hapa wanaingia wazaziwa mtume.
3. Wale ambao walikuwa baina ya wawili hao, hawaku kana wala hawakuwa washirikina, yaani maisha yao yote waliishi katika ujinga, yawni muda ambao hapakuwa na mtume, na kundi hili ndilo litakuja kupewa mtihani siku ya Qiyama, kama ilivyo kuja hadithi ambayo pia ameisimulia Imaam Ibn Hibban na Tabarani kadhalika.
Baada ya nabii Issa mpaka mtume Muhammad,kuna mtume gani au nabii gani alikuwepo hapa ulimwenguni ?Aya haikusema kila mtu alipewa mtumr aya imesema kila ummah ulipewa Mtume .
Hao wote walikuwa ni ahlul fatrah ndiyo maana imaam al Bukhari anaposema ahlul Fatrah ana maanisha watu ambao waliishi kipindi ambacho ni baina ya nabii Issa na Mtume Muhammad, ila kwa juhudi za wanazuoni na kuangalia mambo kiundani wakaweka mgawanyo huo.Kama ni sahihi kuwatia hao basi utuambie kuwa kabla ya Mtume muhammad kuzaliwa watu wote wa kabla yake kabla ya kupewa utume walikuwa ni katika alul fitra kwa sababu nao ni watu kama wazazi wa Mtume pia.
kwa hiyo baada ya nabii issa kufa kuna watu ambao walikuwa wakazaliwa na kuishi.hilo mosi.Ukisoma katika sahihi al Bukhari, imaam Al Bukhari anapo ongelea maana ya Ahlul Fatrah ni kaumu ambayo baina ya nabii Issa na mtume Muhammad, hii ndiyo ahlul Fatrah sasa utaniambia kitambo hiki ni ulimwengu mzima au kitongoji kimoja au ni kikundi cha watu wachache.
Hapa nimecheka sana, halafu muda huo huo unanad ya kuwa umeelewa nilicho kiandika, ajabu ajabu ajabu ajabu.Hoja zako hazijajengeka madhubuti,mgawanyo ulioufanya hauna maana yeyote katika
Tuchukue baada ya nabii issa mpaka kabla ya mtume huu ummah wa baada ya nabii issa tuwape jina la watanzania.Baada ya nabii Issa mpaka mtume Muhammad,kuna mtume gani au nabii gani alikuwepo hapa ulimwenguni ?