Uislam unakusaidia nini?Mimi ni Muislam, tuoneshe huo "mchanganyo" kwenye Qur'an, a,bacho ndicho muongozo kwa dini ya Kiislam, ukishindwa tuombe radhi.
Uislam unakusaidia nini?Mimi ni Muislam, tuoneshe huo "mchanganyo" kwenye Qur'an, a,bacho ndicho muongozo kwa dini ya Kiislam, ukishindwa tuombe radhi.
Uislam ni mfumo kamili wa Mzisha yangu ninayoishi kila siku. Chochote nikifanyacho Uislam umeshanielekeza nikifanye vipi kwa ubora. Na chochote kisichofaa kwenye maisha Uislam unanielekeza niwachane nacho vipi.Uislam unakusaidia nini?
Sasa iweje utake wengine waishi kama uishivyo? Hujielewi,na wengine wafate mkumbo tuuuu?Uislam ni mfumo kamili wa Mzisha yangu ninayoishi kila siku. Chochote nikifanyacho Uislam umeshanielekeza nikifanye vipi kwa ubora. Na chochote kisichofaa kwenye maisha Uislam unanielekeza niwachane nacho vipi.
Uislam unanifundisha ukimuokowa mtu mmoja ni kama umeuokowa ulimwengu mzima, sasa nakuona kabisa mfumo wako unaoishi unaangamia, kwanini nisikutowe kizani nikakuleta kwenye nuru?Sasa iweje utake wengine waishi kama uishivyo? Hujielewi,na wengine wafate mkumbo tuuuu?
Tobaaaaaa. Yaani wewe? Uniwhaaat? Kuangamia ndo nini! Mtu mmoja=ulimwengu mzima! Mwalimu wako wa hisabati nae ovyoooUislam unanifundisha ukimuokowa mtu mmoja ni kama umeuokowa ulimwengu mzima, sasa nakuona kabisa mfumo wako unaoishi unaangamia, kwanini nisikutowe kizani nikakuleta kwenye nuru?
Dini imeweza?Hakumfanyi awe na akili napigilia msumari,,,,sayansi imeshindwa kutuambia chanzo cha binaadam afu porojo kibao
HahahahaAndiko lako Lina ukwasi wa kufuru dhidi ya waja Wa Mungu,jisahihishe kwa kuomba msamaha.
𝐔𝐤𝐢𝐰𝐚𝐳𝐚 𝐤𝐢𝐟𝐨 𝐡𝐮𝐰𝐞𝐳𝐢 𝐟𝐚𝐧𝐲𝐚 𝐦𝐚𝐞𝐧𝐝𝐞𝐥𝐞𝐨 𝐧𝐚 𝐧𝐝𝐢𝐩𝐨 𝐬𝐞𝐡𝐞𝐦𝐮 𝐯𝐢𝐨𝐧𝐠𝐨𝐳𝐢 𝐰𝐚 𝐝𝐢𝐧𝐢 𝐡𝐮𝐭𝐮𝐦𝐢𝐚 𝐮𝐝𝐡𝐚𝐢𝐟𝐮 𝐡𝐢𝐢 𝐤𝐮𝐭𝐮𝐭𝐢𝐬𝐡𝐚. 𝐊𝐢𝐟𝐨 𝐤𝐢𝐩𝐨 𝐡𝐚𝐝𝐢 𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐢𝐦𝐞𝐚.Kwanini kifo kiwe ending game? Do you believe that there is no chance of life after death?
Mchanganyo wa Quran unaanzia pale aliposhushiwa Muhammad ili aje atusambazie Dunia nzima! Harafu humohumo kwenye Quran imeandikwa Kwa kumsifia Mungu Ni mwenye haki na usawa asiye na ubaguzi right?sasa ilikuwaje ampe mtu mmoja habari muhimu kama hizi za kumjua yeye na Sheria zake ili aje atusambazie na sie !inashangaza Sana, hii Ni sawasawa uwe na watoto sita Kisha unaamua kumpenda na kumsomesha mtoto mmoja huku uwezo wa kuwasomesha wote unao huu ni ubaguzi ambao hata kibinadamu tu ni impossible! kitu kingine tutamuaminije Muhammad kama kweli alishushiwa na Mungu Hayo maandiko ya Quran pasi na Shaka?hii mikanganyiko ya kuhusu Dini aliyeileta Ni Mungu mwenyewe Kwa kuleta ubaguzi kwenye kufikisha taarifa utampaje mtu mmoja na duniani tuko billions of people?dini zote ni ujanja ujanja tu tupo kama tunapiga ramli Hakuna mwenye uhakika😁😁Mimi ni Muislam, tuoneshe huo "mchanganyo" kwenye Qur'an, a,bacho ndicho muongozo kwa dini ya Kiislam, ukishindwa tuombe radhi.
Kila kitu Kina limit, inapoishia sayansi ndio miujiza inaanza.Hakuna muujiza katika sayansi.
Unaelewa hilo?
Miracles ni nini na unajuaje hii ni miracle na si kitu kisicho miracle ambacho wewe hukifahamu tu?Kila kitu Kina limit, inapoishia sayansi ndio miujiza inaanza.
Ni kweli sayansi na miujiza haviwezi kukaa pamoja, lakini hili halizuii vitu hivi kuwepo katika ulimwengu.
In short, miracles si business ya sayansi, lakini miracles zipo na sayansi ipo.
Mkuu umeongea ukweli tupu lskini subiri wafia dini akina FaizaFoxy waje kukumwagia mapovu yao ya OMO.Yes, dini ni kwa ajili ya watu wasio na ufikiri sahihi. Dini ina vitu ambavyo ni vya watu wa akili za chini sana.
Vitabu vyote vya dini vina michanganyo isiyohitaji hata kutumia nguvu kujua kuwa "hapa tumepigwa na tunaendelea kupigwa"
Sayansi imejibu maswali mengi sana ambayo dini ilishindwa kuyajibu na kuishia kuwaambia wafuasi waamini tu bila kuona!
Sayansi imetibu magonjwa complex ambayo dini haijawahi hata kuyagusa, inaishia kujipenyeza kitapeli tu.
Mf katika mgogoro wa leo wa Gaza, dunia imegawanyika. Watu wasio na uelewa wanaishia kuchagua upande wa dini A na dini B. Wale wanaoiunga mkono Israel kwa kisa cha dini ya ukristo wajue kuwa % kubwa ya waisrael hawaamini ktk dini na Marekani 86% hawana dini. Pale kinachogombewa ni Maslahi tu!
Dini zetu tungeachana nazo tungekuwa na maendeleo makubwa. Mf China na Nchi za Ulimwengu wa kwanza, nyingi zimeachana na mambo ya dini na zinaendelea sana.
Watu wanavumbua issues za drones, AI na mirobotic machines kibao we unakesha kanisani eti uwe millionea, sijui upate mtoto real?
Unalala na vichupa vya maji sijui chumvi na mafuta ya upako upate gari, are u serious?
Nilikua namsikiliza Shehe/Maalim mmoja anasema wale kunguni wa Ufaransa ni jeshi la Allah limekuja kuwaangamiza kisa wana madhambi...are we real serious?
Dini zina mfumo ambao Unatufanya "tuwe limited" kwenye ufikiri na uvumbuzi.
Live your live, Death is the Ending game! Dini ni ulaji wao!
Atheists make sense than who are not
Mkuu umenikumbusha jambo. Hapo zamani kulikuwa na wajanja wanajiita rain makers. Walichokuwa wakifanya ni ujanjaujanja tu. Waliweza kufahamu dalili zote za kunyesha mvua kama vile dew on grass in the morning, singing of some birds (kama vile dudumizi), frog croaking, and high temperature at night.Miracles ni nini na unajuaje hii ni miracle na si kitu kisicho miracle ambacho wewe hukifahamu tu?
Nitakupa mfano, mababu zetu ambao hawakujua sayansi ya wazungu, walipoletewa vitu vya umeme kama redio, wakaona hiki kiboksi kinatoa sauti ya mtu, waliona miracle.
Walivyoona magari yanakwenda bila kusukumwa na wanyama, waliona miracle.
Walipoona watu wanaweza kutabiri kupatwa kwa jua, waliona miracle.
Lakini, kiukweli, hakuna miracle hapo, ni sayansi tu inafanya kazi. Hakuna supernatural power, zote ni natural power.
Ni wao tu walikuwa hawajui hizo natural powers zinafanya kazi vipi.
Sasa, na wewe utakaposema hii ni miracle, hata kama hakuna mtu yeyote duniani anayejua hicho kitu kikoje, utajuaje hiyo ni miracle kweli, na si sayansi/natural power tu ambayo wewe bado hujaijua?
Yani unaweza kuona kitu ukafikiri ni miracle/supernatural power, kumbe ni natural science tu, ila wewe hujaijua.
Sasa, utajuaje kuwa, chochote unachokiita miracle ni miracle kweli, na si kitu kisicho na miracle ambacho wewe hujakijua tu?
Unaweza kuambiwa na mtu kuwa "mimi ni mchawi, ninaweza kumuua mtu bila kumgusa". Halafu huyo anayejiita mchawi akapita sehemu, akaua mtu kweli bila kumgusa.
Ukasema hiyo ni miracle, ni supernatural powers.
Kumbe huyo jamaa unayemuita mchawi ni mtu anayejua Chemistry tu, kaangalia upepo unaenda wapi, kanyunyuzia sumu ya hewani ya Cyanide, sumu ikampata mlengwa, mlengwa akafa bila kuguswa.
Wewe usiyejua Chemistry, ukiangalia unaona miracle. Unaona uchawi. Unaona supernatural power. Unaona this is beyond science, mtu kauawa bila kuguswa.
Kumbe hamna miracle yoyote, hakuna uchawi, hakuna supernatural power, ni Chemistry tu.
Sasa, wewe unaposema hii ni miracle, utajuaje ni miracle kweli na si natural power usiyoijua tu?
Tangu lini sayansi ikashindwa kutuambia chanzo cha binadamu na ulimwengu mkuu? Sayansi ina maelelezo ya kutosha kuhusu hili. Kasome topic ya evolution katika biology ya kidato cha nne.....imeweka wazi kila kitu kuhusu origin of man and the world.Hakumfanyi awe na akili napigilia msumari,,,,sayansi imeshindwa kutuambia chanzo cha binaadam afu porojo kibao
Hayo uliyoyaandika ndiyo "mchanganyo" wa Qur'an?Mchanganyo wa Quran unaanzia pale aliposhushiwa Muhammad ili aje atusambazie Dunia nzima! Harafu humohumo kwenye Quran imeandikwa Kwa kumsifia Mungu Ni mwenye haki na usawa asiye na ubaguzi right?sasa ilikuwaje ampe mtu mmoja habari muhimu kama hizi za kumjua yeye na Sheria zake ili aje atusambazie na sie !inashangaza Sana, hii Ni sawasawa uwe na watoto sita Kisha unaamua kumpenda na kumsomesha mtoto mmoja huku uwezo wa kuwasomesha wote unao huu ni ubaguzi ambao hata kibinadamu tu ni impossible! kitu kingine tutamuaminije Muhammad kama kweli alishushiwa na Mungu Hayo maandiko ya Quran pasi na Shaka?hii mikanganyiko ya kuhusu Dini aliyeileta Ni Mungu mwenyewe Kwa kuleta ubaguzi kwenye kufikisha taarifa utampaje mtu mmoja na duniani tuko billions of people?dini zote ni ujanja ujanja tu tupo kama tunapiga ramli Hakuna mwenye uhakika😁😁
Hebu moderate basi, sentensi yako haijaeleweka.Newton aikuwa mkrito
We unaonaje? Hujajibu badoHayo uliyoyaandika ndiyo "mchanganyo" wa Qur'an?