Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 16,101
- 24,350
There is something wrong somewhere!
Watu wengi huangalia juu juu tuu.
Shida kubwa duniani ni UNAFKI. Haswa unaotokana na imani. Imani ni kama kutu, inakula tuu!
Kuna vitu vilipaswa kuisha. Kama fujo za Palestine na Israel. Lakini, dini na watu wa dini ndio fujo..
Palestine ISSUE"
Fatah ndio legitimate ruling party. Fatah wana mandate ya kuongoza Palestine. Hawa ni Waislam wa Sunni wasio na msimamo mkali wa "KIDINI". Wanapofikia kupatana na Israel, Anaingia mtu anaitwa Iran. Hawa ni Waislam wa Shia, ni wenye msimamo mkali wa kidini na wanaamini Wassuni "sio Waislam vya kutosha". Wanawapa "Hamasa" vijana wa Kipalestina WAKATAE mapatano yoyote na "KAFIR". Wanaunda kundi la Hamasa kwa vijana, wanaliita "Hamas", yaani uhamasisho, AMA waite UAMSHO!...
Wanawapa silaha na mafunzo. Wanawatuma waingie na kuua ndani ya Israel! Lengo la Iran linakuwa KUIFUTA ISRAEL JUU YA USO wa dunia!
Kumbuka, shida siyo Iran, ni serikali iliyopo ya imani ya Kidini kali! Kumbuka, Iran kabla ya Washia kupindua serikali na kuochukua 1979, ilikuwa best rafiki mkubwa wa Israel.
Israel sasa inakujikuta ikivamiwa na kuteswa na Iran kupitia Hamas, Izbollah, Houthi nk.
Hapo utagundua kazi ya Israel ni kuhakikisha Serikali ya Kishia inaanguka na inakuja nyingine 'friendly'. Hata mimi ama wewe tungefanya hivyo hivyo! Israel inaitambua Iran na namheshimu uwepo wake na inataka Iran uenye amani na urafiki. Lakini Iran haitaki chochote zaidi ya Israel itokomezwe!
Wote wana haki ya kuwepo. Wote ni mataifa ya zamani sanaaaa! Kuna wakati Irani iliitawala Israel miaka ya 534 BC. Waliiita Madinat Yisrail. Lakini wakawatesa na Wayahudi wakatorokea Ulaya na Uarabuni. Wengine bado wako Iran waliopelekwa kama watumwa kabla ya Kristo. Kisha Iran hiyo hiyo, inawaandama Wayahudi wasiwepo pale walipowaondoa wakarudi! Duh!
Israel kama taifa na Jamii, inawapasa wapambane sana. Kuna Jamii zilijikuta hazina utaifa, kama Wakurdi. Wakurdi wao wanateswa sana. Wako Iran wanapigwa, Uturudi wanapigwa, Syria na Iraq wanapigwa.
The world is not fair at all! Usipopambana, unafutwa na historia yako INAVURUGWA in broad day light!... Amani na ije itawale watu waache kupigana!