Bukondamoyo
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 458
- 490
Atakuwa jamii ya wale wanaochomoa betteryWewe ndio mavi. Yaani watu wote duniani tunaoamini katika dini unapata wapi upavu wa kutuambia tunaamini mavi, kama wewe siyo mavi? Au usikute najibishana na kichaa!!!
Bado hujathibitisha labda maana ya tamko "Uthibitisho" hujui.Uislamu kaujenga Mohamed SAW!
Hilo ni agano LA kale au jipya hayo maelezo yameandikwa??
Sasa kama ni hivyo kwanini wengi kati ya walalamikaji ni kutoka upande wenu? Ambao wanalalamikia kuhusu wadada wa kutoka upande wetu?! Hivi wanawapenda kweli au wanaendeshwa na tamaa tu kwa kuona dada zetu wametulia na wao akili zao za uovu Inawatuma kuwaharibia future zao???Kuna mkristo asiyeijuia stori ya Samson?
Sorry sikujua kama nawasiliana na mwendawazimu. Pole Mungu ni mwema atakusaidia upone haraka. Ningekuwa nakufahamu ningesaidia kukupeleka hospitali. Pole sana.Scientifically duniani asimilia 85% ni wapumbavu!
Then 10% wanajua ukweli ila hawesemi,wanautumia kunyonya wale 85%!
Then finally inakuja 5% ambao tunajua ukweli then tunajitahidi kuwaelimisha wale 85% ambao ninakina nyie kua ile 10% inawayeyusha ila kwavile nyie ni mapumbavu sana,hua hamsikii na mnaendelea kufuata upumbavu wenu!
Kusema dini ni mavi naona nimekufanyia heshima sana!
Cha maana nakutukania huyo Mungu wenu kabisa ambae ndie boss wenu,yeye ni mpumbavu na jinga kabisa,kamwambie anifate kama anaweza!
Unapenda kutimiza wajibu au unapenda upendo wa dhatiNa kwanini umpende wa upande wa pili wakati wa upande wako wapo? Je ni wabaya au nini hukipendi toka kwao wakati ndio unaotakiwa uwe nao?
Kwani ndoa ni wajibu? Napenda upendo wa dhati, wengi huwa hawaangalii mbeleni itakuwaje na ndio maana wanajidai wana upendo wa dhati lakini baadae kidogo wakigombana na maelewano yakipotea basi watakashifiana vibaya sana, na mzozo kama huu ni mgumu sana kuusuluhisha kutokana na imani za wahusika, kwani kila mmoja wao anataka usuluhishwe kupitia imani yake! Tunayaona kila leo.Unapenda kutimiza wajibu au unapenda upendo wa dhati
hii itatufaa sana kichuna wangu πππMbona utaratibu upo? Mnafunga ndoa ya serikali mnaanza kutotoa
Atakuwa haelewi, kupenda inatokea uncontrollably tu. Hatuchagui saa na wakati ila unajikuta ushapenda tu.Mapenzi ni upofu bwana kwani hujui?
Oa mseto mzee baba, au bomani. Mbona haina kwere kila mtu abaki na dini yake.Mm kuna binti wa kislamu nimemkubali kweli kweli lakini sasa nikianza kufikiria kuwa tupo dini tofauti nachoka kabisa!!
Hahahah haya andaa million 30 uoe kikristo mzee baba.Ndoa za kiserikali haizina ladha kabisa!![emoji16][emoji16][emoji16]
Uzinifu wakati ni ndoa halali kabisa. Mie sijawahi kuwaza kama dini itakuwa kikwazo kwangu kuoa.Inasemekana hicho ni kibali cha UZINIFU.
Mzazi wako mwisho wake wa kukupangia ni 18+ years. Kuanzia hapo unaweza jitegemea kiakili.Watu wengi hawapendi ndoa za kiserikali halafu mzazi hayupo tayar mfunge ndoa ya hivyo au ndo ile anakuambia ukifanya hivyo ujue mm sio mzazi wako kuanzia sasa, kwa kauli kama hiyo unafikiri ni sahihi??
π€£π€£π€£π€£π€£ hasa kwa wafia dini, i do believe in God...I do pray alot though i don't have any ties with the man made religions. Sizipingi dini ila pia siziruhusu kupinga rational thinking capacity nilionayo.Dini ni mavi
Ukipiga mimba watakuwa tayari tu πππ . Anyways, mi ni fan wa ndoa ya mseto tu. Watu mnaoana na kila mmoja kuendelea na dini yake. Kama ikitokea wote ni wa dini moja basi inakuwa simple zaidi.Changamoto inakuja wakati mwingine nani atakaye kubali kubadilisha dini?? Na unakuta ilivyozoeleka ni kwamba mwnamke atamfuata mwanaume na ukute upande wa mwanamke hawapo tayar kwa hilo swala
Hahah committment my ass, ndoa ni nyie wawili hata mkioana ya kanisani au msikitini mkikosa hekima tu mwaka unaweza usiishe. Cha msingi amani ipatikane baina yenu.Ndoa za kiserikalini nasikia eti huwa zinavunjika anytime kisa haizina strong force of commitment
Huhuhu we utakuwa na wazazi wenye itikadi kali na hasa kama wote ni dini moja mambo huwa magumu zaidi.Hiki kikwazo ni Kikubwa mnooo na kimeshanikuta..... Watu mnapendana inatokea changamoto ya dini mnaachana