Dini inaleta matabaka kwenye mahusiano

Mapenzi ni upofu bwana kwani hujui?
Najua ndio maana hata mimi nakupenda wewe![emoji39][emoji39][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Dah! Chief sijaelewa hata kidogo ulichojaribu kunielewesha!
 
Najua ndio maana hata mimi nakupenda wewe![emoji39][emoji39][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Sasa si unaona? [emoji12]
 
Ukishaishi na mwanamke zaidi ya miezi 6 kisheria ni mke wako. Weka imani pembeni zaeni watoto wakiwa watu wazima watachagua imani yao.
Weka hicho kifungu cha sheria kilichoweka wazi hayo, kuwa ukikaaa na mwanamke zaidi ya miezi 6 ni mke wako! Mnajibebesha dhima tupu!
 
Mimi nilikutana nayo, kwa kweli inaumiza yule msichana mwenye asili ya kiarabu amekataa kuolewa mpaka hii leo. Tujitafakari !!
 
Hiki kikwazo ni Kikubwa mnooo na kimeshanikuta..... Watu mnapendana inatokea changamoto ya dini mnaachana
 
Sasa si unaona? [emoji12]
Nakupenda hadi naumwa! Ila sio kwa kukuoa maana kwa utashi tulionao kila mmoja wetu atataka afuate upande wake kwa kuona ndio yuko sahihi zaidi, balaa litaanzia pale tutakapopata watoto, kila mmoja atapenda watoto wafuate upande wake, hii haiwi?! dhahiri bali kwa siri. Balaa zaidi ni pale tutakapoachana kila mmoja atang'ang'ania watoto ni wake na kutaka wafate upande wake kwa kuona ndio yuko sahihi, bado kwenye maswala ya mirathi na mambo mengine. Kwanini tu nisimpende mtu wa upande wangu, kiasi kwamba hata kama tukiachana watoto bado wako upande wetu, mirathi pia itafanyika kwa mujibu wa upande wetu pamoja na mambo mengine yote yatafanywa kwa mujibu wa imani yetu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…