Dini imekuwa manukato kila mahali inanukia

Dini imekuwa manukato kila mahali inanukia

Amocnolo

Member
Joined
Oct 16, 2023
Posts
23
Reaction score
26
Sasa hivi watu wanamuacha Mungu, wanabishana kuhusu dini ya kweli.

Kuishi Mungu anavyotaka ni rahisi sana, fuata amri 10 alizotupatia Musa hapo utaishi vizuri kabisa.

Achana na hizi dini maana dini ni biashara za watu, ukifuata sana dini utamuacha Mungu.

Vitabu vipo tusome tuelewe na sio tukariri, hata wasiojua kusoma zipo video watazame wajifunze

Asanteni.
 
Back
Top Bottom