Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 2,975
- 7,451
• Hatuwezi kuwa Matajiri kwa sababu Africa akili hamnaKwann tusiwe matajiri hali still utajiri tele umebakia hata robo hawakuumaliza.
Nchi ya kwanza Dunia kwa utajiri mali ni congo,tza ya kumi hapa shida ni sisi.
Dini imeleta ustaarabu na chanzo cha maendeleo ya ulaya na uarabuni
• congo, utajiri upo ardhini lakini siunaona wanavyo pelekeana moto, ( rangi nyeusi kwa nyeusi, wamekuwa vibaraka wa mzungu, ni tosha kabisa kusema Africa akili hamna)
• Aman gani dini imeleta! kwani kabla ya Dini, amani haikuwepo???
• Hao wazungu na waarabu walijuaje kuwa Africa hakuna Amani.??