Dinasours special thead: unajua lolote kuhusu wanyama kale? Tupeane ujuzi.

Kuna picha moja ya kipindi cha gharika ilichorwa hao wanyama walikuwa nje ya safina
 
Hadithi za mababu wa kale wa kiyahudi
 
Ila mimi mpaka leo bado najiuliza, binadamu wa enzi hizo waliwezaje kuwamudu wanyama wakubwa hata kuliko miili yao?; Na ukiangalia hata maendeleo ya ubunifu silaha zenye nguvu kama za sasa kuwazuia teknologia jia hiyo haikuwepo.
Binadamu ameanza kuonekana duniani miaka milioni 2 tu iliyopita, ila hao viumbe waliishi takriban miaka milioni 200 iliyopita.
 
Tafiti na ushahidi mbalimbali havioneshi dunia kuwa na mamilioni ya miaka kiasi hiko.
_ Uso wa dunia umeudwa kwa miamba, moja kati ya mbinu ya kujua umri wa dunia ni kupima umri wa miamba katika uso wake. Mwamba mwenye umri mkubwa zaidi unapatikana kaskazini magharibi mwa canada na una umri wa miaka bilioni 4 (Acasta gneiss).

_ Na madini yenye umri mkubwa zaidi yanapatikana kwenye miamba ya huko australia (Zircon) yana umri wa miaka bilioni 4.4

Hii inaonyesha dunia haiwezi kuwa na umri pungufu ya billioni 4.4
 
Inasemekana kwamba walichanganya changanya mbegu za wanyama ndio maana wakazaana wanyama wa ajabu ajabu...

Ila hawa hawakuwepo wakati wa uumbaji ambao Mwenyezi Mungu aliumba wanyama
Evolution inabadilisha viumbe kulingana na mabadiliko ya mazingira. Viumbe waliokuwapo miaka milioni 200 iliyopita hawafanani na viumbe waliopo leo au waliokuwapo miaka bilioni 2 iliyopita.
 
Yaah, labda na sisi tutakuja kusomwa kama viumbe vya zamani vilivyopotea.
Mass extinctions katika historia ya dunia are not uncommon. Maisha katika dunia hii is the game of chance chochote kinaweza tokea katika muda wowote na kikapelekea systems za duniani kuvurugika kabisa (na bilioni ya specie za viumbe kupotea kabisa katika uso wa dunia). Ilitokea mara kadhaa na itatokea tena.
 
Hapana. Ila ujanijibu bado kwaiyo samaki walikuwa wanatoka majini kuja kufata mimea nchi kavu?
Namaanisha viumbe wote wa nchi kavu wametokana na samaki. Na hii inaelezea kwanini mamba anaishi kati ya nchi kavu na maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…