Dili la Diamond Platinumz na Warmer Music Group ni dhahiri kuwa big thing is coming

Ngoma ya Davido kuchezwa hot97 hakuna cha ajabu hapo maana wanaenzi culture ya African-American.

Muziki utapenya tutakapoingia kwenye billboard hot 100,American Top 40 za kina Ryan Seacrest na kuchezwa kwenye Media ambazo hazija-base kwenye african culture kama KIIS FM LA Carlifonia.

Wasanii wa UK wanalalamika ilivyongumu kupenya USA ije kuwa hawa wa kiafrica?..huko USA tutasikilizwa na diaspora tu na manigga wanaependa African culture.
Napenda the way una data! You are the first I've seen unamfahamu ryan sea crest

Uptop
 
Unataka show gani Justin bieber ile New Rolls Royce yake alionunua mwaka huu ni design ya peke yake, hakuna mwenye Gari kama ile kwa maana ya design, unataka show off gani ?
Wewe jamaa ni mpuuzi, mtu kununua gari la kutembelea ni show offs ?
 
Ok, ni ma G aka gangsters 😂wamekulia amongst black culture that's why wana floss hivyo. Iko kwa damu, sio kitu kimeletwa na pesa. Hata wale wa kule Bronx au Chiraq pahali utapata hata wasio na chitu yaani broke asf, bado wana floss, sababu ni culture.
Ahahahahahaha wale weusi wenzetu, hakuna ubaya kuishi kwenye hiyo culture boss
 
Nimekwambia DJ Khalid sio Niga, wala Justin Bieber sio Niga, lakini kwa show off hawajambo sana, kwahiyo kujitangaza sio jambo baya kama ambavyo unajaribu kulifanya liwe baya
Huyo mshamba mwambie , kwenye mziki bila show off huchomoki ,music is about fame , labda kama unafanya biashara na mziki unafanya for leisure .....!!!
 
Wewe jamaa ni mpuuzi, mtu kununua gari la kutembelea ni show offs ?
Nimekwambia kuna show off ya maneno na vitendo, Kuna mtu aongei lakini matumizi yake unajua kuwa huyu Mwamba pesa ipo, ndicho alichofanya Justin bieber kununua Gari ambayo hakuna mwenye nayo duniani zaidi yake kwenye design lengo tujue kuwa pesa anayo, wewe unafikiri angenunua Gari ya kawaida kuna mtu angeshtuka kama walivyoshtuka kusikia Justin kanunua Gari ya kipekee duniani? soma vizuri uelewe usikurupuke
 
Huna akili.
 
Huyo mshamba mwambie , kwenye mziki bila show off huchomoki ,music is about fame , labda kama unafanya biashara na mziki unafanya for leisure .....!!!
Sasa wale jamaa wa west kama Ross na Khaled, mziki kwao ni leisure. Yaani wanabonga utopolo wao, jioni kauza mamilioni kuanzia online hadi kila kona. Haya mondi afanye leisure sasa, hahaha! 🤣
 
Habarini Wana Jf.

Taarifa nzuri kwa WCB fans pamoja na tasinia ya Muziki wa BONGO FLAVOR Ni dhahiri shauri kuwa diamond and ALBUM Yake itakuwa Ni ya kukata na shoka na hii inaweza ndio ikawa ALBUM ya kwanza kutuletea GRAMMY AWARD.

Maana WARMER MUSIC GROUP Ni kampuni kubwa ya usambazaji wa kazi za wasanii ulimwenguni na hii inaonyesha kuwa kutakuwa na nawe ya wamarekani Kama yote.

ALBUM itakuwa Ni ya kwenda na kuwafikia watu wengi kwa mda mchache kudos kwa WCB na wadau wote waownda Muziki mzuri.

BONGO FLAVOR TO THE WORLD.
Mwanamziki analilia awekwe forbes
 
Back
Top Bottom