Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,455
- 12,329
Unajua msanii anapopewa dili labda na kampuni flani kuwatangazia biashara na kulipwa either milioni tano na mwingine mil 800 wanaangalia vigezo gani?Diamond ameanza kuwa kichaa kama Kanye West.
Kanye West alizoa hadi risiti za mali zake zote akapeleka forbes kuwathibitishia kuwa yeye ni billionnaire.
Mimi naamini tunatafuta pesa ili tutimize ndoto zetu, familia zetu na jamii inayotuzunguka.
Hii hulka ya sasa hivi watu kupambana kwa kila hali kutaka jamii iwaone kuwa wana hela sana na ni matajiri ni ya kiuwendawazimu kabisa.
Watu wakishajua una pesa nyingi, then what ?
You got money, then just live your life.
Why unaumia eti kwasababu Forbes wametaja kiasi ambacho hujaridhika, kwani wamekupora pesa?
Yaani ni sawa leo umkute Bakhresa anabishana na Forbes kwamba pesa walizomkadiria siyo zenyewe. Huu ni utaahira.