Dili la Diamond Platinumz na Warmer Music Group ni dhahiri kuwa big thing is coming

Wewe unaona list iko sawa? Koffi Olomide ni wakupitwa na vile vitoto vya Nigeria
Diamond ameanza kuwa kichaa kama Kanye West.

Kanye West alizoa hadi risiti za mali zake zote akapeleka forbes kuwathibitishia kuwa yeye ni billionnaire.

Mimi naamini tunatafuta pesa ili tutimize ndoto zetu, familia zetu na jamii inayotuzunguka.

Hii hulka ya sasa hivi watu kupambana kwa kila hali kutaka jamii iwaone kuwa wana hela sana na ni matajiri ni ya kiuwendawazimu kabisa.

Watu wakishajua una pesa nyingi, then what ?

You got money, then just live your life.

Why unaumia eti kwasababu Forbes wametaja kiasi ambacho hujaridhika, kwani wamekupora pesa?

Yaani ni sawa leo umkute Bakhresa anabishana na Forbes kwamba pesa walizomkadiria siyo zenyewe. Huu ni utaahira.
 
Diamond ameanza kuwa kichaa kama Kanye West.

Kanye West alizoa hadi risiti za mali zake zote akapeleka forbes kuwathibitishia kuwa yeye ni billionnaire.

Mimi naamini tunatafuta pesa ili tutimize ndoto zetu, familia zetu na jamii inayotuzunguka.

Hii hulka ya sasa hivi watu kupbana kwa kila hali kutaka jamii iwaone kuwa wana hela ni matajiri ni ya kiuwendawazimu kabisa.

You got money, then just live your life.

Why unaumia eti kwasababu Forbes wametaja kiasi ambacho hujaridhika, kwani wamekupora pesa?

Yaani ni sawa leo umkute Bakhresa anabishana na Forbes kwamba pesa walizomkadiria siyo zenyewe. Huu ni utaahira.
Ni vema Forbes kama hawana taarifaaa kamili waulize au waache kumtaja mtu yeyote kwa kiwango kisicho rasmi, hapa Diamond anayo hoja wala hakuna tatizooo
 
Huyu jamaa anajua kutafuta hela kabla haja zindua album yake A boy from Tandale alingia mkataba Universal Music Group, Safari com na app moja hivi jina limenitoka kwa ajili tu ya kusimamia na kusambaza kazi zake na wasanii wake.

Leo hii kabla haja zindua album yake nyingine kishaingia mkataba na Ziiki na Warner kwa ajili ya kusambaza album yake mpya na wasanii wake.

Japo kuwa watu wanahate ila dogo yupo mbele ya muda,anajua nini anachokifanya.

Kuna wasanii wanazindua album mwaka huu lakini wameshindwa kufikiria kitu kama hichi ili wawe na kazi rahisi ya usambazaji wa album zao naona wengi wao bora liende.

Darrasa kipindi kile anaachia hit Songs yake ya Muziki mashabiki wa Kenya wakawa wanalalamika kazi yake hawaipati ITunes.
Habarini Wana Jf.

Taarifa nzuri kwa WCB fans pamoja na tasinia ya Muziki wa BONGO FLAVOR Ni dhahiri shauri kuwa diamond and ALBUM Yake itakuwa Ni ya kukata na shoka na hii inaweza ndio ikawa ALBUM ya kwanza kutuletea GRAMMY AWARD.

Maana WARMER MUSIC GROUP Ni kampuni kubwa ya usambazaji wa kazi za wasanii ulimwenguni na hii inaonyesha kuwa kutakuwa na nawe ya wamarekani Kama yote.

ALBUM itakuwa Ni ya kwenda na kuwafikia watu wengi kwa mda mchache kudos kwa WCB na wadau wote waownda Muziki mzuri.

BONGO FLAVOR TO THE WORLD.
 
Jamaa huwa anafosi sana, mpaka kwenye interviews mara nalipwa mamilioni kila mwezi.

Mara nina pesa, hata wasanii wa Nigeria nawazidi as if kaulizwa.

Una pesa kwaajili ya matumizi yako, hata kama watu wakisema tofauti wewe pesa zako zinapungua au kuongezeka?

Huo ni uwendawazimu.

Kuna watu wana pesa lakini hawataki kabisa kelele kama hizi.
 
Hakuna mwenye pesa asiepiga kelele, ndio maana lazima kuna watu watajua tu fulani pesa anayo, zinaweza kuwa kelele za mdomoni au vitendo, rejea Davido alipo mpa zawadi mwanae wa miaka 5, Gari la kifahari hii nayo ni kelele, hakuna tatizooo lolote mtu kutambia alichonacho
 
Huyu jamaa anajua kutafuta hela kabla haja zindua album yake A boy from Tandale alingia mkataba Universal Music Group, Safari com na app moja hivi jina limenitoka kwa ajili tu ya kusimamia na kusambaza kazi zake na wasanii wake.

Leo hii kabla haja zindua album yake nyingine kishaingia mkataba na Ziiki na Warner kwa ajili ya kusambaza album yake mpya na wasanii wake.

Japo kuwa watu wanahate ila dogo yupo mbele ya muda,anajua nini anachokifanya.

Kuna wasanii wanazindua album mwaka huu lakini wameshindwa kufikiria kitu kama hichi ili wawe na kazi rahisi ya usambazaji wa album zao naona wengi wao bora liende.

Darrasa kipindi kile anaachia hit Songs yake ya Muziki mashabiki wa Kenya wakawa wanalalamika kazi yake hawaipati ITunes.
Managers au hizo record labels zinafanya kazi kama brokers.

Inatakiwa kazi zako ziuze ndio wapate chao.

Hawana kazi yoyote ya kupush msanii mbele, kazi yao kusimamia mauzo tu ( kama yakiwepo )

Sony walianza kufanya kazi na Rose Mhando, Kiba, Ommy Dimpoz.

Huyo Dianond alijipekeleka Universal matunda yako wapi ?

Vanessa Mdee ?

Kwa tafsiri isiyo rasmi hao ni Ngomma au MxCarter waliochangamka tu.

Muziki wa Marekani hauingiliki kirahisi, ingekuwa rahisi wasanii wa kwanza kutusua wangekuwa Psquare ( hawa walibebwa kwa nguvu zote na Akon )

Vile vile soko la Nigeria ni gumu.

Hata soko la South Africa ni gumu. South wana Muziki wao tu, hata wananigeria hawapati shows South Africa.
 
Hakuna mwenye pesa asiepiga kelele, ndio maana lazima kuna watu watajua tu fulani pesa anayo, zinaweza kuwa kelele za mdomoni au vitendo, rejea Davido alipo mpa zawadi mwanae wa miaka 5, Gari la kifahari hii nayo ni kelele, hakuna tatizooo lolote mtu kutambia alichonacho
Davido ni toto la mwaka 1992 bado balehe inalisumbua.

Hivi ushawahi kumsikia msanii kama Akon, Olamide, Don Jazzy wanabishana kwamba wanapesa saaana?
 
Let me get this straight Jamaa katoka universal alafu kaenda warner? Mbona univerals ni multiple times bigger than warner?

Plus si ni deal la distribution tu? Kuna wasanii wadogo sana marekani wako warner. Yaani sioni utofauti wa warner na
Slide digital ya Mx Carter.

Okay. Nalog off
 
Davido ni toto la mwaka 1992 bado balehe inalisumbua.

Hivi ushawahi kumsikia msanii kama Akon, Olamide, Don Jazzy wanabishana kwamba wanapesa saaana?
Mbona wakina Dj Khalid, Rick Ross wanajisifia sanaaaaaaa, huyo Rick Ross anajiita Boss of Florida, haya mambo ni kawaida sana ukiwa na fedha , unasema Davido ni wa 1992 lakini kumbuka Davido katoka ukoo wa kichifu wenye pesa chafu, lakini bado ajazoea na kelele anapiga, itakuwa wakina Mondi waliopambana toka chini, waache wako huru kujitangaza sheria haziwabani
 
Mbna Kama Kapanic ... Kwamba Tuachane na Forbes Ila Tumgugo Ili Tupate Taarifa Za Utajiri Wake View attachment 1789549
Kwa hiyo FORBES hawajui namna ya kupata taarifa za utajiri wake ila Google wanajua...so kwake Google ndio chanzo sahihi...wakati uki google kuhusu utajiri wake...hiyo Google inakurudisha kwa FORBES ahahahaha! Bongo ni zaidi ya Uijuavyo!
 
Mbona wakina Dj Khalid, Rick Ross wanajisifia sanaaaaaaa, huyo Rick Ross anajiita Boss of Florida, haya mambo ni kawaida sana ukiwa na fedha , unasema Davido ni wa 1992 lakini kumbuka Davido katoka ukoo wa kichifu wenye pesa chafu, lakini bado ajazoea na kelele anapiga, itakuwa wakina Mondi waliopambana toka chini, waache wako huru kujitangaza sheria haziwabani
Hao Niggas ni maHip hop na wala siyo matajiri sana kuliko wasanii wengine.

Hizo show offs ni tamaduni tu za Hip hop huko majuu ndio maana mpaka kina 6ix9nine wanafanya.

Ulishawahi kuona msanii wa RnB au msanii Mzungu anafanya huo utaahira???
 
Managers au hizo record labels zinafanya kazi kama brokers.

Inatakiwa kazi zako ziuze ndio wapate chao.

Hawana kazi yoyote ya kuoush msanii mbele, kazi yao kusimamia mauzo tu ( kama yakiwepo )

Kwa tafsiri isiyo rasmi hao ni Ngomma au MxCarter wakiochangamka tu.

Muziki wa Marekani hauingiliki kirahisi, ingekuwa rahisi wasanii wa kwanza kutusua wangekuwa Psquare ( hawa walibebwa kwa nguvu zote na Akon )

Vile vile soko la Nigeria ni gumu.

Hata soko la South Africa ni gumu. South wana Muziki wao tu, hata wananigeria hawapati shows South Africa.
Sio mbaya kama dalali ana uwezo wa kupush mziki wako kiusambazi mpaka zile sehemu ambazo labda wanataka mziki wako ila hawajui jinsi ya kuupata.

Kwani unajiongezea mapato na mwisho wa siku unajitanulia wigo wa kupata show.

Ila kwa sasa hivi mziki wa Nigeria kiasi fulani ushapenya US Eg Wizkid,Burna na Davido na mambo haya anayo yafanya akina Diamond,wenzetu Nigeria kwa sababu ya mshikamano wao kwa washika dau wote,wana mifumo mizuri ya kusimamia na kusambaza kazi zao na kazi zao ni nzuri na BORA (production).

Mziki wetu wa bongo umejaa chuki,wivu,kubaguana na majungu ndio maana kila mtu anafanya vitu kimpango wake.Mwisho wa siku mwenye nguvu na connection ndiye atakaye tengeneza hela,hamna maswala ya kushare connection wala uweledi kama Nigeria.

South na Nigeria kweli hawa upromoti sana mziki wetu ila kuna watu ndani ya South , Nigeria na sehemu nyingine wana hitaji kununua mziki wa Diamond,sasa jinsi ya kufikia hilo soko ndipo unapo hitaji watu kama hawa Warner na Universal.
 
Habarini Wana Jf.

Taarifa nzuri kwa WCB fans pamoja na tasinia ya Muziki wa BONGO FLAVOR Ni dhahiri shauri kuwa diamond and ALBUM Yake itakuwa Ni ya kukata na shoka na hii inaweza ndio ikawa ALBUM ya kwanza kutuletea GRAMMY AWARD.

Maana WARMER MUSIC GROUP Ni kampuni kubwa ya usambazaji wa kazi za wasanii ulimwenguni na hii inaonyesha kuwa kutakuwa na nawe ya wamarekani Kama yote.

ALBUM itakuwa Ni ya kwenda na kuwafikia watu wengi kwa mda mchache kudos kwa WCB na wadau wote waownda Muziki mzuri.

BONGO FLAVOR TO THE WORLD.
Mzee wa private jet
 
Sio mbaya kama dalali ana uwezo wa kupush mziki wako kiusambazi mpaka zile sehemu ambazo labda wanataka mziki wako ila hawajui jinsi ya kuupata.

Kwani unajiongezea mapato na mwisho wa siku unajitanulia wigo wa kupata show.

Ila kwa sasa hivi mziki wa Nigeria kiasi fulani ushapenya US Eg Wizkid,Burna na Davido na mambo haya anayo yafanya akina Diamond,wenzetu Nigeria kwa sababu ya mshikamano wao kwa washika dau wote,wana mifumo mizuri ya kusimamia na kusambaza kazi zao na kazi zao ni nzuri na BORA (production).

Mziki wetu wa bongo umejaa chuki,wivu,kubaguana na majungu ndio maana kila mtu anafanya vitu kimpango wake.Mwisho wa siku mwenye nguvu na connection ndiye atakaye tengeneza hela,hamna maswala ya kushare connection wala uweledi kama Nigeria.

South na Nigeria kweli hawa upromoti sana mziki wetu ila kuna watu ndani ya South , Nigeria na sehemu nyingine wana hitaji kununua mziki wa Diamond,sasa jinsi ya kufikia hilo soko ndipo unapo hitaji watu kama hawa Warner na Universal.
Hao hawafanyi brokering kwa kukutafutia wateja. Ni sawa na wewe upeleke bidhaa zako supermarket.

Wamiliki wa supermarket hawawezi kulazimisha wateja wanunue bidhaa zako.

Muziki wa Nigeria uko Marekani kwa kiasi kikubwa kutokana na kwanza ukubwa wa production yao na pili wingi wa Diaspora huko majuu.

Wanigeria wameteka muziki wa Africa na Diaspora wengi sana nje.

Hata msanii wao akienda kufanya shows nje anapata watu wengi sana, Nigerians plus other Africans.

Juzi tu hapa kuna dogo Mnigeria aliuza album ya Wizkid kimagendo kupitia Apple Music na ndani ya muda mfupi alikuwa ameshapata zaidi ya 100M!

Sasa unadhani Wizkid huwa anakunja pesa kiazi gani.

Soko la bongo fleva bado liko nchi chache sana hasa Kenya, Rwanda, DRC, na nchi nyingine chache sana.
 
Sio mbaya kama dalali ana uwezo wa kupush mziki wako kiusambazi mpaka zile sehemu ambazo labda wanataka mziki wako ila hawajui jinsi ya kuupata.

Kwani unajiongezea mapato na mwisho wa siku unajitanulia wigo wa kupata show.

Ila kwa sasa hivi mziki wa Nigeria kiasi fulani ushapenya US Eg Wizkid,Burna na Davido na mambo haya anayo yafanya akina Diamond,wenzetu Nigeria kwa sababu ya mshikamano wao kwa washika dau wote,wana mifumo mizuri ya kusimamia na kusambaza kazi zao na kazi zao ni nzuri na BORA (production).

Mziki wetu wa bongo umejaa chuki,wivu,kubaguana na majungu ndio maana kila mtu anafanya vitu kimpango wake.Mwisho wa siku mwenye nguvu na connection ndiye atakaye tengeneza hela,hamna maswala ya kushare connection wala uweledi kama Nigeria.

South na Nigeria kweli hawa upromoti sana mziki wetu ila kuna watu ndani ya South , Nigeria na sehemu nyingine wana hitaji kununua mziki wa Diamond,sasa jinsi ya kufikia hilo soko ndipo unapo hitaji watu kama hawa Warner na Universal.
Ngoma ya Davido kuchezwa hot97 hakuna cha ajabu hapo maana wanaenzi culture ya African-American.

Muziki utapenya tutakapoingia kwenye billboard hot 100,American Top 40 za kina Ryan Seacrest na kuchezwa kwenye Media ambazo hazija-base kwenye african culture kama KIIS FM LA Carlifonia.

Wasanii wa UK wanalalamika ilivyongumu kupenya USA ije kuwa hawa wa kiafrica?..huko USA tutasikilizwa na diaspora tu na manigga wanaependa African culture.
 
Huyu jamaa anapiga kelele sana hamna kinachomuonyesha kuwa ana hela vibaya mno zaidi ya kumiliki nyumba mbili tatu na wasafi fm, gari zenyewe ananunua used hapa tanzania tena magari ya zamani anayayafanyia face-lift, anapoishi amepanga n.k hata kama unautajiri lakini hana utajiri wa bilioni 10 - 15, fujo tupu
 
Back
Top Bottom