Dili la Diamond Platinumz na Warmer Music Group ni dhahiri kuwa big thing is coming

Hakuna mwenye pesa asiepiga kelele, ndio maana lazima kuna watu watajua tu fulani pesa anayo, zinaweza kuwa kelele za mdomoni au vitendo, rejea Davido alipo mpa zawadi mwanae wa miaka 5, Gari la kifahari hii nayo ni kelele, hakuna tatizooo lolote mtu kutambia alichonacho
Kwaio awe anafanya kama wenzake hao Alina Davido hawalalamiki Ila wanaonyesha vitendo .sio kila siku kwenye media Mimi Nina pesa Mara ooooh sijui Google izo kelele hazina mantiki through investment watu wataona Ana ukwasi kiasi basi FORBES watamuinclude kwenye list ijayo
 
Kweli vile 🤣 mondi anunue ndege, magari ya kifahari, na sio moja, majumba ya kishua sehemu tofauti tofauti, apige collabo za kishua na wasani wa Afrika na nje ya Afrika kila baada ya mda kidogo yaani collabo moto moto, awekeze nchi za nje hadi ndani ya TZ.... Hapo hata forbes watamweka nambari Uno wenyewe bila kelele zake. Haya kazi kwake! 🤣 🤣 🤣
 
Kwaio awe anafanya kama wenzake hao Alina Davido hawalalamiki Ila wanaonyesha vitendo .sio kila siku kwenye media Mimi Nina pesa Mara ooooh sijui Google izo kelele hazina mantiki through investment watu wataona Ana ukwasi kiasi basi FORBES watamuinclude kwenye list ijayo
Ametoa msimamo wake baada ya list ya Forbes wala sio malalamiko, Forbes wametoa Data za uongo kuhusu yeye, anayo haki ya kusema, Ata akisema anazo hela kwani wewe kipi unapungukiwa?
 
Tuzo za grammy ziko wapi? Halafu shosti ni shing ngapi unapewa na sadala aka diamond kuwa chawa wake, mana sio kwa akili hizo za kipumbavu kua unataka kumlinganisha bakhresa na nasibu nyange, hahahah ngoja nikuache ..ila dah haya sio mahaba aisee , huu ni UCHIZI hahahaha
Angalia game diamond platinumz Ni genius and
 
Kwaio awe anafanya kama wenzake hao Alina Davido hawalalamiki Ila wanaonyesha vitendo .sio kila siku kwenye media Mimi Nina pesa Mara ooooh sijui Google izo kelele hazina mantiki through investment watu wataona Ana ukwasi kiasi basi FORBES watamuinclude kwenye list ijayo
FORBES NI YA MABEBERU HATUITAKI
 
Kweli vile mondi anunue ndege, magari ya kifahari, na sio moja, majumba ya kishua sehemu tofauti tofauti, apige collabo za kishua na wasani wa Afrika na nje ya Afrika kila baada ya mda kidogo yaani collabo moto moto, awekeze nchi za nje hadi ndani ya TZ.... Hapo hata forbes watamweka nambari Uno wenyewe bila kelele zake. Haya kazi kwake!
DIAMOND PLATINUMZ NI BILLIONAIRE
 
Back
Top Bottom