Dilemma!!!


Nakubaliana na wewe mkuu,

Ni kazi ya mwanamke kumpa confo mume au BF wake...Mwanamke akicheza ina emotions za uanamume wa mtu wake anakuwa kama kampiga nusu kaputi...

Bibi zetu waliyajua vizuri haya!!

hebu ielezee vizuri hii theory! iam impressed!

pili pili za aina gani?

Hata mimi ndo kwanza nasikia...

Kama ingekuwa kweli basi wahindi wangekuwa hawashikiki...

Apige pilipili kwa wingi, na ndizi mbivu...mshipa utakaa sawa na kazi utaiona!

Hebu tueleze vizuri basi mkuu....plus scientific evidence!!

Hapo kuna matatu aidha
  • Jamaa hana uwezo mkubwa wa kungongoka ka wewe kwasababu watu wana sexual desires tofauti
  • Au ni mgonjwa si mzima
  • Au kuna mtu anamridhisha na kumchosha akifika kwako ndo kama hivo!!!

Inawezekana kabisa....ila bado nina wasi wasi sana na misosi ya vijana wetu!!

au pia, mind set ziko kwingine kabisa!!

ushaona ile mtu wakati wa sex yeye anawaza test kesho! wallahi m.boo haisimami!

maandalizi nayo dada mabovu!! msirukiane kama kuku! japo nao wanajiandaa kwa kupeana mikiki mikiki ya riadha!

That's also another line of thinking...and may be many more!!

Mi nakushauri uache uzinzi na pia acha tabia ya kutangaza kwamba unafanya uzinzi.

Kwa dunia ya sasa unadhani hayo mafundisho yako yana wateja??




Nakubaliana na wewe mkuu zaidi ya 100 kwa 100...

Vijana wanakula marojo rojo utadhani wana ugonjwa wa koromeo??

Hii kitu inahitaji kupigwa vita kabisa!!

Wapo wenzio wanawakamua hadi wanameza dawa unafikiria kwako itafanya kitu kweli.

Nimeona dada mkubwa...no comment kwa sababu najua hayo ni matokeo ya mauzoefu toka 1947!!



Hahahahahahahahah....

Comments zako zinatisha mkuu!!


You have a point...the boy might be purely innocent ila dada naye ana katatizo!

Babu DC!!
 
Nguvu za kiume kwa vijana ni janga la taifa.
Huyo mwanaume hafai raha ya mwanamme akukoroge ukorogeke.
Piga chini wenzake siku ya kwanza wakipewa gemu hawalali.....

mwali punyeto imeharibu vijana wengi sana lkn ...............
mwali unajua kichwa nazi wewe??
KITALE JEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!
Basi huyu bi dada asione wenzie wanapaki magari coco bichi ya ile ya uswaz sijui unaijua??
siongelei ile inayouzaga madiko diko ya uzungu, hapana nazuimgumzia ile ya uswaz ambako watu wanakaulaga mihogo na mishkaki umenielewa?? SASA ASIFIKIRI WENZIE WANAKWENDA KULA ILE MIHOGO NA VITALE NA KICHWA NAZI kwamba ni washamba.....................wanatafuta kurudisha urijali.
oooooh!!!!!!!!!!!!!!!! aanze safari za kumpeleka kule halafu amlishe kitale akimaliza kipande cha buku lazima atakimbia chumba na chupi mkononi. mwambie akajaribu atakuja kutupa majibu.
 

Umenichekesha sana mkuu....

Hawa vijana wanahitaji demo kweli tena kwa amri na magwaride kama ya kule jeshini...

Tatizo ni kwamba wengine tumestaafu...

May Kaizer au Asprin wanaweza kutusaidia ku-draw master plan ya kuokoa hii species isijekuwa tunakabiliwa kasheshe kama iliyowapata dinosours..

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

Yote sawa ila na nyie muanze kuwalisha watoto wenu wa kiume vizuri..... Punguzeni kuwekeza sana kwa waume zenu na kuwasahau watoto (tena wa kiume). Vinginevyo msubiri extinction ambayo haiko mbali!!


I hate to have someone a mother's job.....bibi zetu walitimiza makumu yao bwana!!

Huoni kwamba siku hizi hakuna akina Mandela, Nyerere, KK, Nkurumah n.k, na hata akina Milambo na Mkwawa?? Tunajiuliza kwa nini??

Babu DC!!
 
Babu Dark City kwenye hili naona kuna tatizo kwa pande zote mbili and the lady has to swallow the bitter part of it........... Binti anajukumu la kumfanya mpenzi wake awe na hamu ya kurudia game na sio kuboreka.

Yawezekana kabisa binti ana kasoro ama uchafu (of which sidhan kama ni kweli kwamba sio msafi) ama ni mvivu kiasi kwamba the guy has to do all alone, ama hana mautundu ya kuleta fleva kwenye game to the extent ya kufanya game iwe boredom. the best i can tell binti ajiangalie mapungufu yake ayarekebishe tena kwa kiwango kikubwa tu manake always ladies drive the game.

on the other hand the boy yawezekana kwamba hana upungufu wa nguvu ila amekimbizwa mbio ndefu pasi mazoez ya kutosha aND THATS WHY BAADA YA ROUND MBILI AKACHOKA SANA lkn kuchoka huku scientifically can be explained kama matokeo ya lack of physical exercises na hasa ugen unaotokana na game ya siku ya kwanza.

Kwa wale wenzangu na mimi performance ya siku ya kwanza always ni poor unless wote muwe ni maveteran ila kama wote ni mechi ya kwanza baada ya muda mrefu bas endurance itakuwa poor kwa mwanaume. hili sio kosa wala hawez kulaumiwa na najua kwa binti hii itamwia mbaya sana manake yeye she doesnt know how it feels like kumkimbiza mtu mbio ndefu halafu kesho yake ukamrudisha tena akimbie mbio hizo bila mazoez ya kujenga stamina na body physique.

however ni mapema sana ku prescribe kwamba kijana ana low libido as kwa ufanyaji wa mara mbili kwa mtu aliyekuwa ameabstain(boy) ila kama alikuwa haja abstain na akaperform chini ya kiwango basi hilo ni tatizo na anapaswa awaone madaktari ama akutafute mie ntakupatia MUNDEX wewe umpe.
 
Last edited by a moderator:
Babu leo umenigonga penyewe.........
but wait, tuliona hili kama ni tatizo na hubby akaamua tuwe na operation ya kuwafanya vijana wetu kuwa responsible as a man.

siku hizi nina menu spesho kwaajili ya boys wangu, na nina kazi ambazo wao ndo wafanyaji ili wawe responsible na wa feel kuwa responsible.

naumia sana kuona vijana wa kiume wameshindwa kabisa kua wanaume na ndo mana hata yale tu ya kiume ya kawaida siku hizi wanasaidiwa.
 

Kwa analysis zako za haya mambo huwa sina neno la kuongeza....

Ni kweli kwamba hawa vijana wote wanahitaji msaada.

Ila kitendo cha kijana cha kijana wa KIUME kukimbia mechi uwanjani tena kwenye viwanja vikubwa vikubwa kama Old Traford au Santiago Benarbeu ndiyo kinanatutisha sisi wastaafu...

Cc: Kaizer, The Boss, Mtambuzi, BAK, Eiyer, Asprin....

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

Mhhhhhhhhhhhhhh........

I hope I am still safe and retired....lol!!

Babu DC!!
 
hapo red sioni sababu ya wewe na wastaafu wenzio kushangaa..............
ngoja nikuulize babu hivi mechi ya kwanza klabu ya ugenini inakuwaje?? halafu tena kwa mchezaj ambaye hajawah kucheza ligi kuu alikuwa ligi daraja la tatu tena sabu sio kikos cha kwanza??
lets talk facts kijana hata kuweza kupiga raund mbili namsifu manake kwa siku ya kwanza tena kwa mtu alokuwa amejaza kichupa lazima imshinde kabisa. hawez akaonyesha kiwango haroub othuman wakati anachezea ligi daraja la tatu na kila siku yuko benchi na kama akiingia basi ni kama substitution na sio kikos cha kwanza.
 
you have a big big point gfsonwin matatizo mengi yanamisingi yake toka kwa malezi mabovu ya wazazi. Mtoto anakuwa kimayai na ukubwani anashndwa hata kazoezi ka kukimbia tu. Sasa mtu kama huyu pumzi si lazima ikate mapema tu? Kwa kujidanganya wanawapenda watoto karibu kila leo chakula ni chipsi, buger n.k unadhani akikua atapenda ugali huyo?
 
Last edited by a moderator:
Nguvu za kiume kwa vijana ni janga la taifa.
Huyo mwanaume hafai raha ya mwanamme akukoroge ukorogeke.
Piga chini wenzake siku ya kwanza wakipewa gemu hawalali.....

post zingine zinaamsha maruhani.............
 
Uko na Elimu ya kutosha na unajua kujieleza

Kwa upole mweleze mwenza badala ya kulalamika humu

kisha ongozaneni kwa mtaalamu wa tiba.

Wakati mwingine tumo humu mijini lakini elimu ya mahaba hatuna.
 
yap kuna mambo ya msingi sana ya kujifunza................wazungu wengi wakionjeshwapo utamu na kaka zetu huwang'ang'ania sana sababu kubwa ni kwamba wao ma buger ma piza na viepe yamewaua nguvu kabisa wamebaki wabaridiii utafikiri reptilia.

sasa uje kwenye shughuli ya mswahili gemu la uhakika na muhogo wenyewe ni wa jang'ombe kweli kweli............

kama tukilea watoto kwa madeko watoto wa kupata menu subway, sijui watoto wa bugger na pizza, watoto wa kunywa coca cola na novida na ice cream msitegemee kupata watoto marijali tena hawa ambao shule kwa skul bus maji yanatoka kwenye shower misosi ndo hiyo junk foods unategemea nini??
 
Karibu Mkuu, umeniacha hoi na marojorojo. Vijana tumekuwa mno mayai bhana, sijafika miaka 30, nikiri rika letu ni tatizo, watu ni laini sana. wagumu wamebaki wachache mno. wengi wanajivunia tricks za kuwa na warembo wengi na kunyonya vikojoleo bhasi. physical performance ''poor''

Nimeona comment moja ya pilipili.
Pilipili ina kemicali inayoitwa 'capsaicin' ambayo huyeyusha kemikali flani (substance k au s,) ambayo huifanya damu kuwa nzito (sikumbuki ni s au ni k) kwa hiyo ikishayeyushwa damu inakuwa nyepesi sana. Ndio maana mtu akishakula pilipili hujishikia refreshed baadae. kumbuka pia erection huchagizwa sana na mzunguko mzuri wa damu, so unajua kama damu ikishakuwa nyepesi nini kitafuatia kwenye erection. so pilipili husaidia sana mwanaume. Pia pilipili husaidia kupunguza kolestro, huongeza apetite na ni kiburudisho pia. (nakula mno pilipili so ikanilazimu kujifunza faida zake)

Kuna wengine wanadai Mihogo mibichi inaongeza hio mambo lakini si kweli, mihogo mibichi inakuwa digested (broken down) kwa uharaka na kuzalisha nishati kwa uharaka, so kama mtu akiwa hana nguvu (stamina ya kutosha) akila hio simpo starch itampa nguvu kwa uharaka kuliko aliyekula ugali wa dona.

Wataalamu wa sayansi watasaidia hapa, mimi ni wa fani tofauti kabisa ila ni mdadisi kidogo

Tized.
Nakubaliana na wewe mkuu,

Nakubaliana na wewe mkuu zaidi ya 100 kwa 100...

Vijana wanakula marojo rojo utadhani wana ugonjwa wa koromeo??

Hii kitu inahitaji kupigwa vita kabisa!!


Babu DC!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…