Dilemma!!!

Nimependa vitu kadhaa kutoka kwa mtoa mada.tafadhali naomba nivitaje.
Firstly mtoa mada is faithful to his man,mtoa mada is a family woman/wife material.
Back to topic.
Pengine ni matatizo ya masturbation na porne(pengine)
anachoweza kufanya mpe vyakula vilivyojaa protein kwa wingi eg karanga,korosho,etc pia afanye mazoezi aongeze pumzi na stamina,fanya hivyo then leta feedback!fanya the needful mdada,dont give on your man dont give up on love at least not yet!

Chips + Mayai...tena bila hata mazoezi ya kupiga push ups (hapa siongelei kunyanyua chuma) vinamaliza watoto wetu...

Nahisi kwamba akina mama wanatakiwa kuwatendea haki watoto wao ili wajihakikishie kupata wajukuu na pia wakwe zao wapate huduma kama wanayopata!

Babu DC!!
 
Katika age hii ni mchovu kiivyo! akifika 40 si atakuwa mdebwedo kabisa? Na wewe hapo bado mbichi hata hujazaa...... ukizaa watoto wawili ndo hamu inaongezeka mara elfu!
Fanya maamuzi mapema kabla ya kuingia kwenye ndoa yenye majuto!
Uking'ang'aniza ukaolewa naye lazima utafanya mechi za mchangani penda usipende!.... Cheaters.com itakuhusu my dear! Usikubali kuolewa na mwanaume asiyekuridhisha kwa bed! Ina frustrate sana bora kukosa hela!
 
Chips + Mayai...tena bila hata mazoezi ya kupiga push ups (hapa siongelei kunyanyua chuma) vinamaliza watoto wetu...

Nahisi kwamba akina mama wanatakiwa kuwatendea haki watoto wao ili wajihakikishie kupata wajukuu na pia wakwe zao wapate huduma kama wanayopata!

Babu DC!!

Babu kula gwala!! Ndo waelewe wazikimbie chipsi rojo sasa!
 
!
!
mh!pole sana kwa kweli......vunja ukimya, usikute akiwa anapiga nyeto anatupia hat trick na anaondoka na mpira

Hii biashara nayo ni hatari sana kwa afya ya vitoto vyetu...

Na bahati mbaya vingine vinakutana na vibinti ambavyo navyo vilishazoea michezo ya vidole...... Inakuwa ni hatari kabisa kwani ni sawa na kuchukua mtu mchovu (jeshini tuliita serure) halafu unampanga kwenye mraba wa mashindano na mpambanaji....Hapa lazima mtu atoke povu la kuazima!!

Babu DC!!
 
"if you don't like where you
are ,move !!! ...you are not a tree"
 
Ngoja kwanza hasira zangu zitulie kwanza nitamrudia huyu

Na hii ni taarifa kwa wale wanaosema eti hakuna game kabla ya ndoa,mmeona sasa?
Hebu fikiri huyo angekuwa ndoani ingekuwaje?

CC: Mtambuzi !!!!!!

Inasikitisha sana kaka,

Wakati wenzie tulikuwa na kibarua cha kuzuia mtu asipilize huyo kijana anakimbia match??

Mie ninachojua ni kwamba enzi zetu ilikuwa mechi za mchangani au baada ya ukame wa muda mrefu zinakuwa na hatari ya kuanza kupepea mtu au kummwagia maji baada ya kukaribia kupoteza fahamu....

Eti sasa vivulana vyetu ndiyo vinapepewa??

Tusipokuwa makini tutalazimika kurudi kibaruani wenyewe kutoa demo kama yanayomkutana Sir Alex Ferguson...lol!!

Babu DC!!
 
"if you don't like where you
are ,move !!! ...you are not a tree"

Ataenda wapi wakati vijana wate wamekuwa milegezo kama suruali zao??

Labda kama unamshauri aanze kusumbua wastaafu wa 1947....

Babu DC!!
 
"if you don't like where you
are ,move !!! ...you are not a tree"
Some things are easier said than done. I wish it was as simple as you put it,unfortunately my heart has fallen for him and regardless of his shortcomings i don't love him less. Nimeomba ushauri coz i want to make this relationship work.
 
Wewe embu acha mambo yako miezi 3 mingi sana.Mambo yenu ya mwaka 47 hukohuko tena mkome kutuletea vizazi vya .com
Heeee siku hizi mambo haya yakoje jamani?Mmejuana ndani ya miezi 3 umeishamvulia c.h.u.p!!Enzi zetu ulikuwa unasota zaidi ya mwaka ndo uipate papuchi!
Inawezekana mwenzio ni tatizo la kisaikolojia linamsumbua,inawezekana alitegemea mkae walau miezi 6 hivi ya kufahamiana ndo muanze kumegana,lakini mwenzetu siku ya kwanza tu inaonekana ukataka ugegeduliwe!Kwa hiyo mnapokuwa kwenye gemu,mawazo hayo yanamuijia kuwa labda wewe ni maharage ya Mbeya,hapo mashine lazima ilale!Mchukulie taratibu,siku ya mechi mpikie chakula kizuri,then take it easy sio umuonyeshe kama unataka kushindana,mpe matumaini,raundi ya kwanza mpe juisi then fanya kazi msaidie kuisimamisha mashine,piga mzigo!Kwa mwanamke anayejua kazi yake vizuri mashine ya mwanaume haiwezi kupiga usingizi,itapiga kazi mpaka itatoa povu!Uwezo wako wa kuhamasisha ni mdogo,uboreshe.

Samahani lakini ehee!
 
Nguvu za kiume kwa vijana ni janga la taifa.
Huyo mwanaume hafai raha ya mwanamme akukoroge ukorogeke.
Piga chini wenzake siku ya kwanza wakipewa gemu hawalali.....

Really? Ataimarika tuu ila nguvu ya huyu dada kudai game inashangaza, kapitisha kavu two yrz then sasa usiku mmoja anashindwa vumilia, nani kasema lazima uende more than 2times? Mbona zikitumika vizuri zinatosha?
 
Ataenda wapi wakati vijana wate wamekuwa milegezo kama suruali zao??

Labda kama unamshauri aanze kusumbua wastaafu wa 1947....

Babu DC!!
Babu DC sina shaka utalipia hili tangazo. By da way wanakuja wenye changamoto zao, wachache sana wanashare furaha zao jamvini, tutakosea sana tukisema picha ya tatizo hili ni halisi na kuakisi jamii zetu moja kwa moja.
 
Some things are easier said than done. I wish it was as simple as you put it,unfortunately my heart has fallen for him and regardless of his shortcomings i don't love him less. Nimeomba ushauri coz i want to make this relationship work.
Now I get ua point, chakula na mazoezi kama ulivyoshauriwa,then sikilizia gwaride.
 
Babu DC sina shaka utalipia hili tangazo. By da way wanakuja wenye changamoto zao, wachache sana wanashare furaha zao jamvini, tutakosea sana tukisema picha ya tatizo hili ni halisi na kuakisi jamii zetu moja kwa moja.

Wambie wanaotaka kupima mafuriko kwa kutumbukiza miguu yote waje.....Babu ana timu nzuri ya vijana wa kazi...

Kwani wewe huamini kwamba kwenye jamii yetu kuna tatizo kubwa kwa sasa?

Babu DC!!
 
pole best..inawezekana huyo mtu wako ana psychological or physical problems.kitu kinachomfanya ashindwe kuendelea au kufanya vitu adim...
 
Some things are easier said than done. I wish it was as simple as you put it,unfortunately my heart has fallen for him and regardless of his shortcomings i don't love him less. Nimeomba ushauri coz i want to make this relationship work.

Kuna watu wameshauri kwamba umpe msosi ili awe na stamina....nakubalina nao ila siyo kazi yako kumpa msosi. Mwambie aende kwa mama yake mzazi ale na kushiba....Kazi ya kulisha watoto ili washibe ni ya mama zao na si kazi ye GFs.....Unaweza kumshibisha hlafu akaenda kufanya mazoezi nje...akashibie kwa mama yake ila kwako kupiga zoezi!!

Kama unahisi ana njaa mwambie kwako asikanyage. Mambo ya kuchefuana na kuchafuana siyo tija kabisa...

Huo ni ushauri wa Babu...

Babu DC!!
 
Wewe embu acha mambo yako miezi 3 mingi sana.Mambo yenu ya mwaka 47 hukohuko tena mkome kutuletea vizazi vya .com

Nakubaliana na wewe amu...

Wengine wanaanza kuchunguliana toka chekekechea wakati wenzenu tuliona mapaja kwa mara ya kwanza jeshini....

Dunia yetu na yeni ni tofauti kabisa....ila msiuane kwa kupeanza over dose..lol!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Yawezekana jamaa ana mtazamo tofauti kuhusiana na Tendo la Ndoa, kabla haujafanya maamuzi magumu mueleze kiu ya roho yako maana hicho ndicho kiunganishi cheni katika hiyo ndoa tarajiwa, kama ana misingi yange kajiwekea perhaps kutoshiriki tendo mpaka muwe katika ndoa aseme otherwise atajiweka katika nafasi mbaya ya kutolewa moyoni kwako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom