Dilemma!!!

hebu ielezee vizuri hii theory! iam impressed!

pili pili za aina gani?

Pilipili inasaidia sana katika kuongeza uwezo wa kuperform, Madactor wanasema ili uume usimame vyema inategemea na mzunguko wa damu, na pilipli inasaidia sana katika kusafirisha damu!

Ndizi mbivu inasaidia sana kuimarisha mishipa, na misuli yote, hasa kwenye uume!

Pia, vanilla, parachichi...

Hili tatizo liliwahi kunikumba, nilikaa zaidi ya miezi 6, bila uume kusimama, sioa asbh, sio ucku..Nikawa namdanganya wife kuwa ni stress, mara nimechoka, mara naumwa..mwenyewe akaamua kwenda kwa doctor...

Ila siku moja katika kuperuse kwenye mitandao, ndio nikakutana na hiyo segment ya matumizi ya pilipil, ndizi mbivu, vanila n.k..Nilipotumia tu, kaka asikuambie mtu, nipo wima everytime, mpaka mamsapu anashangaa!

Jaribu, utaniambia!
 

Babu,
Kwenye hili uoga unakuwepo kwa wavulana na sio vijana na wanaume

Huwezi kuniambia Ronaldo anaweza kuogopa kukpiga kwenye uwanja wa Emaretes eti kisa ni mgeni wakati alikuwa anakipiga Santiago Bernabeu hiyo haiwezi kukubalika kabisa

Kama una siku nyingi hujaingia uwanjani huwezi kuwa chini ya kiwango siku ya kwanza ya kuingia kwenye gemu na ikawa hivyo hivyo kwenye siku zinazofuata na wakati mwingine kusingizia eti una mafua ili usiingie uwanjani

Huo ni uoga na utakuwa na tatizo lingine la kitoto na sio ugeni!
 
Nguvu za kiume kwa vijana ni janga la taifa.
Huyo mwanaume hafai raha ya mwanamme akukoroge ukorogeke.
Piga chini wenzake siku ya kwanza wakipewa gemu hawalali.....

teh teh, hv leo uliswaki kweli!!!!
 
relationship ina consist alot of things bana ongea nae pole pole if you real mean it, sio kuruka kwa kidumu bana .there's a saying goes like this '' women want relationship man want only sex , she will either not get it or else she will sleep with a lot of men before she gets the real relationship. kama umempenda take time to talk you can sort it out all the best mamie
 
Do we share the same men?

Hahahaahaaa! Sunshine umenifanya nicheke,lol! I guess i am not the only one facing such a problem,ila mwenzako nimeshajua cha kufanya. If you have the time plz go thru all the comments,wapo watu waliotoa ushauri wa kueleweka,its up to you kuchagua kipi kinakufaa. All the best darling!
 

Nashukuru kwa ushauri wako kaka,lazima nitaufanyia kazi and i'll come back with feedback.
 

Take a chill pill and get a life! Eeiish! Una joto hasira,dang!
 
Last edited by a moderator:
Do we share the same men?


Babu amepaona hapa....

Vijana wetu nyote (Me na Ke) mnahitaji msaada.....hapa watu wasijekunisingizia eti naongelea msaada wa kiroho. I am not a preacher... Ila mnahitahitaji demo na migwaride ili muweze kutimiza majukumu yenu.

cc: Eiyer et al!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

Babu mimi nimeshakuelewa na suala hili nimeshalipeleka mbele ya jopo la ushauri chini ya katibu wake snowhite na limekubaliwa kabisa

Tumekubaliana kuwa vibinti vyote kabla havijaamua kwenda kuvuliwa kyupi ni lazima vikaguliwe kwanza na babu Asprin ili vionekane kama vinafaa

Vivulana vyote ni lazima vipitie mafunzo maalum na mazoezi kwa muda wa miezi 6 ili tukomeshe hili janga
CC: Kaizer kwa utekelezaji!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Nyakati zile unakatumia sms ka dem kako halafu kana kujibu

"Poa"

Nilikuwa naudhika sana,nilikuwa naona kama ni kama dharau fulani hivi!!!!

ki ukweli inaboa sana aisee bora aongeze hapo na neno baby, honey au poa nimekuelewa.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…