Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,721
- 39,813
inaitwaje?Hata Huawei wanayo
inaitwaje?Hata Huawei wanayo
Kununua simu ya milioni kisa niingie wosapu na jf hapana, najinunulia itel, vodaphone, infix, tecno tena ina 4G kabisa. Kunua simu ya ghali huku huna matumizi ya maana ni kuchat tu ni uchizi
pengine hujaelewa, au pengine jina la secure folder limekuchanganya.Ya Huawei inaitwa SAFE
Tumepishana hapo nimechanganya hiyo safe ya Huawei na private mode ya Samsung ambazo zinafanya kazi karibu sawa. My Knox sijawahi kuitumia, nili root simu nikapoteza na access yake.pengine hujaelewa, au pengine jina la secure folder limekuchanganya.
myknox au secure folder sio folder
ambalo limelokiwa na password bali ni space yako private kwa kiswahili rahisi ni simu ndani ya simu.
mfano unaweza ukawa na whatsapp mbili moja ikakaa ndani ya myknox na nyengine ikawa ya kawaida, almsot app zote unaweza ukawa nazo mara mbili.
huawei safe ni folder lock la kawaida au kama app za vault ambazo zinaficha vitu vya media visionekane, unaweza eka app separate kwenye safe?
search playstore secure folder ipo, usipoiona sideload apk yake. nimeskia inakubali hata na root, sijaitest badoTumepishana hapo nimechanganya hiyo safe ya Huawei na private mode ya Samsung ambazo zinafanya kazi karibu sawa. My Knox sijawahi kuitumia, nili root simu nikapoteza na access yake.
Hapo kwenye safeinaitwaje?
kama nilivyosema hapo juu hilo ni folder tu ndani ya file manager, playstore kuna maelfu ya file managers yanafanya hiyo kazi.Hapo kwenye safe
Okay, nimekuelewa mkuukama nilivyosema hapo juu hilo ni folder tu ndani ya file manager, playstore kuna maelfu ya file managers yanafanya hiyo kazi.
secure folder au myknox ni simu kamili ina kila kitu chake inajitegemea, simu ndani ya simu.