Dilemma: Simu ipi itanifaa zaidi kati ya huawei p9 vs Nokia 6?

ndugu nimekuelewa sana tatizo naona kipenzi changu nokia naona anachelewa kuingia sokoni na pesa zetu hizi za kuungaunga itabidi nijibane nisubiri mwezi ujao na pia kumbuka nokia 6 ikitoka bei yake kibongobongo itafika hadi laki 7

Pia kwenye Nokia una advantage ya kupata software update support angalau hata miaka miwili maana wao wanatumia stock android ya Google
 
Chukua huawei maana zinakaribia kufanana kila kitu ila kama unaweza chukua p10 kabisa au lg g6 pia ni nzuri inaweza kufaa
 
Nadhani mwenyewe umesha ipenda huawei p9, chukua,

Uzuri wa simu za huawei naujua, battery zake zina dumu zaidi ukilinganisha na smart phone nyingine, camera na vitu vyake vingine ni bomba sana , aijawahi juta kutumia huawei products
 
nimesoma comment nyingi pale gsmareana.com kuhusu P9 wengi wameisifia,ninasubiri mwanzo wa wiki ya kwanza ya jully nifanye maamuzi sahihi
 
Nadhani tunafanana mitazamo binafsi sioni furaha yeyeto kwenye iPhone ukifananisha na androids iPhone ikiwa mkononi najihisi fahari mbele za watu ila Android ndio natumia zaidi, iPhone geresha tuu kwamba Mimi pia namiliki.
 
iphone ni kama jela tu bado ule uhuru kama android utaukosa
 
kila simu ina vitu vyake unique, mfano kwenye gpu na cpu iphone 7 ipo mbali sana, kati ya flagship za mwaka jana zenye gpu dhaifu p9 ilikuwa ni moja wapo, gpu yake ilikuwa ni kama ya note 4 (simu ya mwaka 2014).

ukija kwenye bands siku zote ukiwa na iphone huchagui line nchi yoyote unayokwenda iwe ni 2G, 3G au 4G inashika hio network tofauti na simu za android ambazo zinashika baadhi ya bands.
Nilikuwa nakusubili
 
Kununua simu ya milioni kisa niingie wosapu na jf hapana, najinunulia itel, vodaphone, infix, tecno tena ina 4G kabisa. Kunua simu ya ghali huku huna matumizi ya maana ni kuchat tu ni uchizi
 
kila simu ina vitu vyake unique, mfano kwenye gpu na cpu iphone 7 ipo mbali sana, kati ya flagship za mwaka jana zenye gpu dhaifu p9 ilikuwa ni moja wapo, gpu yake ilikuwa ni kama ya note 4 (simu ya mwaka 2014).

ukija kwenye bands siku zote ukiwa na iphone huchagui line nchi yoyote unayokwenda iwe ni 2G, 3G au 4G inashika hio network tofauti na simu za android ambazo zinashika baadhi ya bands.
Ndo utakuta mtu ana model ya simu labda samsung inayoanza na shv au sgh alafu anataka iperfom vzur katika network hata akiwa mabondeni wakat hz sio international version models.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom