Dilemma: Simu ipi itanifaa zaidi kati ya huawei p9 vs Nokia 6?

Niko na p9 mwezi wa 3 sasa. Technologia yake nzuri sana kuliko iphone (including 7). Apple wanauza brand sio capability za simu.
 
kila simu ina vitu vyake unique, mfano kwenye gpu na cpu iphone 7 ipo mbali sana, kati ya flagship za mwaka jana zenye gpu dhaifu p9 ilikuwa ni moja wapo, gpu yake ilikuwa ni kama ya note 4 (simu ya mwaka 2014).

ukija kwenye bands siku zote ukiwa na iphone huchagui line nchi yoyote unayokwenda iwe ni 2G, 3G au 4G inashika hio network tofauti na simu za android ambazo zinashika baadhi ya bands.
 
Ninatumia Note 5 Nougat, lakini haina hii feature. Au Samsung wenyewe hawakutaka kuiweka?
ila samsung wana secure folder ambayo ni kama simu ndani ya simu eneo lako private ambalo unaweka vitu, zamani ilikuwa ndani ya my knox.
 
kila simu ina vitu vyake unique, mfano kwenye gpu na cpu iphone 7 ipo mbali sana, kati ya flagship za mwaka jana zenye gpu dhaifu p9 ilikuwa ni moja wapo, gpu yake ilikuwa ni kama ya note 4 (simu ya mwaka 2014).

ukija kwenye bands siku zote ukiwa na iphone huchagui line nchi yoyote unayokwenda iwe ni 2G, 3G au 4G inashika hio network tofauti na simu za android ambazo zinashika baadhi ya bands.
Preference ya mtu 2, kweli. Sikatai hiyo.
 
Iphone zaidi kuliko huawei,p9 nzuri but iphone kuanzia six ni nzuri zaidi. Huawei p9 uzuri ni camera,ram na rear fingerprint ila iphone kila kitu chake kizuri zaidi sometime fuata reviews other times tumia zote utapata jibu,wanaosema iphone ni jela hapana sio kweli kwa utumiaji wa whatsapp,facebook,jf iphone iko poa na sasa hivi unaweza copy pictures direct kwenda kwenye pc bila kupitia iTunes
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom