Digrii ya kwanza nchini china | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Digrii ya kwanza nchini china

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mhalisi, Sep 10, 2011.

 1. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Wadau naomba kuuliza kama nchini china kuna vyuo vikuu vinavyofundisha degree ya kwanza kwa miaka mitatu na inatambulika? Nauliza kwasababu nimeona vyuo vikuu karibu vyote vya china vinatoa degree za kwanza kwa miaka minne.
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Sa hapo cha ajabu ni nin mkuu?
   
 3. saadmad

  saadmad JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  huna uhakika kijana kutokana namaelezo yako No comment!
   
 4. N

  Ngereja JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2011
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 796
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Kama unataka kusaidiwa toa maelezo yanayojitosheleza, kwa mfano, wewe unataka kusoma fani gani? kwa sababu muda wa masomo haulingani unategeana na aina ya program unayotaka kusoma. Kwa mfano udaktari wa binadamu/wanyama ni miaka 5-7, engineering ni miaka 4 n.k. Ila kwa mfumo wa elimu wa China muda wa chini kabisa kusoma degree ya kwanza ni miaka minne, hii ni kawaida na siyo jambo geni. Hata hapo Tanzania kuna program za shahada ya kwanza za miaka 4 nyingi tu.

  Na kwa china kama hujui lugha, kuna mwaka 1-2 wa kujifunza lugha. Labda kama unataka kusoma Hong Kong ambako wanatumia kiingereza vyuo vikuu.

  So, what is your problem.
   
 5. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Whats wrong with you?
   
 6. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #6
  Sep 11, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  mimi nataka kusoma bachelor of business administration, sasa napenda kujua kama vipo vyuo vinatoa bachelor degree kwa miaka mitatu ili nifanye application.
   
 7. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #7
  Sep 11, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Unayouliza yanaendana na upeo wako wa uelewa na muda ambao umekaa humu jamvini!
   
 8. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #8
  Sep 11, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Usiogope kwenda kukaa miaka minne ndugu, wenzio wengi wanakamua hadi miaka mitano huko. We nenda kama unaogopa si uende vyuo vya hapa hapa bongo au nchi jirani?
   
 9. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #9
  Sep 11, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Nenda hong kong mkuu,china ni pa kizushi
   
 10. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #10
  Sep 11, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  EAST Africa hakuna kozi hii?
   
 11. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #11
  Sep 11, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  zimejaa kila chuo,ila kwa kuwa mchzi anataka kuish china acha aende 2.
   
 12. M

  Marandura Senior Member

  #12
  Sep 11, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukirud utakuwa nouma wa karate. Karate kwao ni somo kama DS au GS la hapa bongo
   
Loading...