Digirii haitunzi mume

thanks ma broda!
ila nisamehe tu kwa leo as nataka nimwonyeshe huyu dada nini maana ya mume wa mtu.
inaumiza sana jinsi ambavyo mtu unaanza na mtu wako halafu ghafla shetani ka a huyu anaingia ni experience mbaya sana acha tu.


utakuta mtu umeanza maisha na mumeo kwenye chumba kimoja, wakati mwingine hata ugali wa kulumangia uliwashinda

eti leo baada ya miaka kadhaa, mumeshakuwa na majumba, gari n.k ndio kidudu mtu kinakuingilia
yaani ule wakati ambao sasa ndio mnatakiwa mkae muinjoi ndoa yenu anawaingilia bacteria wa ajabu

inauma kwa kweli tabia hii ni MBAYA akina mama/dada tuheshimu ndoa za wenzetu
 

AJABU KABISA my dear mtu mwenye akili timamu haezi chukua mume wa mwenzie
huyu ni wazimu tu lkn na yeye leo yanamkuta yaleyale aliyomfanyia mwenzie
ye alifikiri mume wa mtu mteremko, sasa anapanda kilima sijui km atafika popote
atabwaga manyanga tu nyie subirini atakuja na thread nyingine soon
 
Sikubaliani na wewe Da sophy siyo wote ambao wana degree hawaolewi wala hawatunzi ndoa. mm nina degree na namshukuru Mungu sina matatizo na Mume wangu. So sio wote.

yeye hana digrii mbona mume wa mtu kamshinda? karibuni mume atarudi kwa mkewe mwenye digrii

naye si akatafute digrii yake, mbona roho yamuuma atuwache tupumuwe na madigriii yetu, ala
 

asante mwaya
mkosi kidogo?, lazima atakuwa anamtembelea unafikiri mtu mwenye akili timamu kweli atatembea na lisichana kumbafu kama hili

utakuta huyo baba wala siyo akili yake labda hata kalishwa madubwana ya ajabu ajabu

hata yeye baadae akitoka hapo atashangaa
 
Si umtumie sms tuu!
Hivi kumbe zile digrii ndizo zilikuwa zina kuuma! Sasa mbona jamaa alipo kupa proposal akulipie urudi shule ulikataa?
Alaf siku akigongana malngoni na yule njemba itakuwaje?


 

Tena hawajui wanaume vizuri, tena atamwacha kama vile anavyoenda chooni kijisaidia hawezi beba ule mzigo, maana unanuka, na yeye atanuka hivyo hivyo, Chezea wanaume huyu Da sophy.l
 

Kaomba msamaha laaziz wangu na nimemswameh. We ulitaka nimsuse kama yule wa kule halaf akiharibikiwa ntapata faida gan? Sanasana ni wanangu wataumia roho babayao anateseka. Sina roho mbaya namna hiyo. Wenye roho mbaya wanajipoza na wine sa izi. Na mtazinywa sana!
 
Si umtumie sms tuu!
Hivi kumbe zile digrii ndizo zilikuwa zina kuuma! Sasa mbona jamaa alipo kupa proposal akulipie urudi shule ulikataa?
Alaf siku akigongana malngoni na yule njemba itakuwaje?

hebu mueleze bana hapana chezeya waume za watu, ala
 
hahahaha wewe subiri siku zako zahesabika,kama wewe unajiamini nipe usename ya jamaa uone kama hajarudi kwa mkewe.Tena nakuambia huyo mme anarudi kwa mkewe mwaka huu.Wwe sio GOD AND YOU WILL NEVER BE
 
hahahahaaa sasa hiyo digrii na ndoa inahuu...
 
mh

hallluufu, hallluuuuffffu....


hebu kaoge kwanza
huyu anaoga analowesha bafu tuuu!
wa kuoga anakuwa hivi! nishaingiza siku na degree zangu im here to stay!
mwali wangu @gfsonin piga shule mamaaa PHD ya chumbani tayri tunayo kamua mama tuongeze za makaratasi
 

ha ha haaaaaaaaaaaaaaa umerudi eeeeeeeee, nilikuwa nakusubirije??

sasa baada ya kuomba msamaha kibamia ndio kimerefuka?

baa alienda kufanya nini kama wewe ni mtaalamu wa mapenzi kweli?

mbona kakuchiti sasa wakati ulijidaaaaaaaaaaai kuwa amefika?

si ulijitia wewe unajua pa kumshika sasa amekupokonyokaje tena?

kwa taarifa yako huyo hajafika anakokwenda, na safari moja huanzisha nyingine upo hapo?

kama alivyomchiti mkewe na wewe kakuchiti vile vile

Na kama alivyomtelekeza wife basi nawe jiandae
kibaya zaidi atarudi kwa wife ili ujinyonge kabisa
 

Hakuna uchawi wala nini. Ufundi tu dada. Kama hujafundwa ndo bas tena watakucheka wenzio.
 
best hebu kunywa kahawa chungu, huu mtananhe uupite tu. kutunzwa huambiwi maneno, unatunzwa tu hadi unabloo mapigo. siyo huyu bibie anajitangazia anapendwa, tungeona matendo tu bwanaa. maneno matupu hayavunjagi mfupa atii!
Kwa taarifa yako mie situnzwi na ningependa kujua hicho kinachomtunza mume.
 
Wewe mwanaume unayetembea na hili jitu Sophy rudi kwa mkeo,naamini umo humu JF.Angalia umetoka wapi na mkeo,kweli unaharibu ndoa yako kwa sababu ya huyu kinuka mkojo.Jiulize juzi kakutukana sana humu.
 
kumbe ngumbaru wanakuwa cheated pia hahahha.

parefu!
 
Tena hawajui wanaume vizuri, tena atamwacha kama vile anavyoenda chooni kijisaidia hawezi beba ule mzigo, maana unanuka, na yeye atanuka hivyo hivyo, Chezea wanaume huyu Da sophy.l

mwache karibuni atawajua

yeye si aliona kuvunja ndoa ya mwenzie raha eeee sasa na yeye atakunya kwenye ndoo muda si mrefu

bora hata wife wa jamaa kajisomea na kazi yake katulia, da sophy sijui atamlilia nani na elimu yake ya std 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…