Tigga Mumba
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 746
- 474
Nilishafeli sana na rangi hizi
nitakuganda ujue
nimekumiss hadi najisikia vibaya
Nimejipaka asali nateleza niaje..... Utaishia tu kujilamba.. LoL!!!
ha ha ha ha nitakulamba mpaka nitoe ngoozi
Afu wewe!!!!
Ha ha ha ha haaaaaa very true kabisa yaani kweli umetupata hapo
kwenye hili naona wanawake wa tanzania nzima wanafanana haijalishi ni Mndengereko , Mchagga msukuma au Mpare
hehehe inaonekana wasukuma bado hawajapata mwakilishi jf.Mkuu umetisha,ila kwenye msukuma imegoma,imeishia ku,ma imekataa.
charminglady naona neno jipya kabisa hapa aise
mimi nahitaji huo msaada.....!nitakusaidia
Am color blind Mkuu Mr Rocky. Napendelea rangi zinazofifia... za kung'aa hapana hata kwa nazi. miss chagga wangua anajua.
Wingi wote huo wa rangi kwangu naona karaha tu, napendelea tu misingi ya rangi kuu ambazo ni Cyan, Magenta, YellowandBlack, That is all I know, I can get any color kwa kuchanganya hizi rangi kuu za msingi. Hata uchapati full color mitamboni ndizo rangi za msingi. Vinginevyo ni kuendekeza kile moyo ukipenda.