Did you know?

Did you know?

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,675
1396253180380.jpg
 
Last edited by a moderator:
Hili jambo mimi ndo sifuri kabisaaaaaaa
Siwezi na sifikirii kuzitofautisha kabisaaaa!!!!!!!!


Mkuu Eiyer tupo wengi sana aise wenye huu udhaifu wa kutofautisha colours
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Rangi hizo ndio zenyewe... Unakuta mtu anavaa shati la kijani/njano/nyekundu/bluu kali akipita juani unaona tu anatoa miale ya mwanga... kulikoni????? wengine kuna mashati fali ivi yanakuwaga na tai zinazofanana kila kitu na rangi ya shati tena zinang'aa aje sasa... mtu anaendea kazini kiroho swaafi.
Mkuu Tized hata mimi colour za kung'aa huwa sizipendi napenda colour ambazo ukivaa mtu hawqezi kukurecognize mapema
Nakubaliana na wewe mkuu men are colour blind
 
Rangi hizo ndio zenyewe... Unakuta mtu anavaa shati la kijani/njano/nyekundu/bluu kali akipita juani unaona tu anatoa miale ya mwanga... kulikoni????? wengine kuna mashati fali ivi yanakuwaga na tai zinazofanana kila kitu na rangi ya shati tena zinang'aa aje sasa... mtu anaendea kazini kiroho swaafi.


Au kuna T-shirt za aina hiyo zinang'aa mbaya unakuta mtu kaitinga kati kati ya watu yaani ukiangalia umati wawatu unamuona tuu yeye na rangi yake ya kung'aa
 
Hahahaaaa. Kabisa aisee.
Nachukia attention. Huwa natamani kuwepo halafu kama sipo.
Wanaume sisi kuvaa ni simpo sana. ukiwa na kiatu chako cha maana cha ngozi, mkanda wa maana na saa ya maana.. hivyo vingine vinabaki tu kupangilia rang ya suruali na mashati....

Wanawake sasa?... wana vitu zaidi ya laki nane na hadi aje kujua anavaa nini au kipi siku hiyo... tayari ana headache... (sio wote lkn) wapendwa wangu miss neddy na Eshy m.s msije nipiga mawe. Excel najua ni mzee wa kulipuka mavito nini nini!!!
Au kuna T-shirt za aina hiyo zinang'aa mbaya unakuta mtu kaitinga kati kati ya watu yaani ukiangalia umati wawatu unamuona tuu yeye na rangi yake ya kung'aa
 
Last edited by a moderator:
hmm..!

kuna rangi nikiitaja hapa lazima ntapigwa BAN ya miezi mitatu!!
Invisible kama umestukia hiyo rangi, niambie! lols..

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom