Hahahaaaa. Kabisa aisee.
Nachukia attention. Huwa natamani kuwepo halafu kama sipo.
Wanaume sisi kuvaa ni simpo sana. ukiwa na kiatu chako cha maana cha ngozi, mkanda wa maana na saa ya maana.. hivyo vingine vinabaki tu kupangilia rang ya suruali na mashati....
Wanawake sasa?... wana vitu zaidi ya laki nane na hadi aje kujua anavaa nini au kipi siku hiyo... tayari ana headache... (sio wote lkn) wapendwa wangu miss neddy na Eshy m.s msije nipiga mawe. Excel najua ni mzee wa kulipuka mavito nini nini!!!

Mkuu Tized ukiingia gari la mwanamke unakaribishwa na kama aina kumi za viatu, hapo bado nyumbani kwake....yaani hawa watu
Mi mwenzenu orange kwangu ni red...mpaka maji ya bahari nasema ya blue ...duh full maluelue kwenye rangi
Wanasema ukipanga safari na mkeo au mpenzi wako kama mnaenda saa moja asubuhi mwamshe saa kumi mwambie tunawahi saa kumi na mbili
Mpe muda ajiandae na achague nguo ya kuvaa na kiatu na makeup zake na hereni na kidani na saa na pochi yaani mwachie nafasi maana kuoga atatumia nusu saa ila kuvaa sasa mpaka aje amalize nisaa mbili zitaisha
Anaweza kutoka ndani anaondoka mara akakumbuka kitu akarudi tena faster kumbe amesahau tuu kujua hereni yake inaonekanaje miss chagga na Preta msinipige ila ni ukweli Excel shikamoooo
Umenichekesha sana Kaka.. hahaaaa experience matters. inaamana kwao kila siku ivo ivo hawapati tu uzoefu siku zinavyoenda?
Mkuu Tized kwao hakunaga kubadilika au sijui jana ifanane na leo
Yaani kila siku nakila tukio na maandalizi yake na kama ni mtoko ndio balaa maanaatataka asiwe nakasoro ya watu kumsema au kama ni kwenda kumtembelea rafiki nako inategemeaasije akaonekana yuko nyumaya fashion yaani ni balaa mkuu
Yaani siku sasa mnasafiri hata siku mbili tuu nje ya nyumbani wewe unajipinda jeans moja na boxer za kutosha na t-shirt moja au mbili yeye sasa duh mtafikiri safari ya mwezi mzima atakusanya kila aina ya nguo
Hahahaaaa... mkuu unawapa sana za usoni... ngoja waje....
Mkuu Tized nishaomba msamaha bana wanajua mambo yao na sio kwamba tunawasema ila ni kweli tupu
Siku naoa nilikomalia rangi ya blue lakini kila ikiletwa nagoma mpaka masista wakaleta kwa net maharusi kibao ndio nikawaonesha kumbe torquoise(spp) ndio kikaeleweka!!!!!!!
charminglady naona neno jipya kabisa hapa aiseNakushukuru kwa kuikubwisha hiyo picha........ Mwenyekiti wa #TeamWekaPicha ..........
Mkuu OLESAIDIMU siku ya harusi sijui nilivaa dark blue au navy blue ila mimi kwangu ilikuwa blue lakini wataalam wanakuambia ni navy blue