Did you know?

Did you know?

Wanasema ukipanga safari na mkeo au mpenzi wako kama mnaenda saa moja asubuhi mwamshe saa kumi mwambie tunawahi saa kumi na mbili
Mpe muda ajiandae na achague nguo ya kuvaa na kiatu na makeup zake na hereni na kidani na saa na pochi yaani mwachie nafasi maana kuoga atatumia nusu saa ila kuvaa sasa mpaka aje amalize nisaa mbili zitaisha
Anaweza kutoka ndani anaondoka mara akakumbuka kitu akarudi tena faster kumbe amesahau tuu kujua hereni yake inaonekanaje miss chagga na Preta msinipige ila ni ukweli Excel shikamoooo

kwenye hili naona wanawake wa tanzania nzima wanafanana haijalishi ni Mndengereko , Mchagga msukuma au Mpare
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa... They like varieties... Ndo maana wanakuwaga bored na wanaume wanaotabirika tabirika kirahisi... wanapenda tastes mbali mbali.. Ila kidume kawaida sana.

''Women and cats will set the thing, Men and dogs will get used to the idea'' nimesahau nimekoti nani.
CC Mr Rocky, Mndengereko, Ntunzu, Excel, afu we miss chagga bado sijabutua endelea kujificha.

mi nasubiri nione kwenye hili watajitetea vipi? maana wao kwa kujitetea nwdays ni mabingwa.
 
Last edited by a moderator:
Kaka wee Mr Rocky kusoma hakuishi tangu siku hiyo nami nikaijua sasa hiyo rangi....

Mkuu OLESAIDIMU mi nitajie hizo rangi ila mimi ukileta blue yoyote sijui dack blue au navy blue au sijui blue gani mi najua ni blue nakwa kweli mi huwa nasema wazi kwenye rangi ahh mtu asijisumbue
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
wanawake wanajua sana sababu ya makicheni party,masend off, mi harusi...mambo ya kutafuta sare

Mambo ya utupiaji pia....
 
Mimi nazijua vizuri rangi kila siku nacheza nazo kwenye graphics.......japo ndio sehemu ngumu maana unaweza ukachanganya marangi kinyonga mwenyewe akitia mguu hajui pa kuanzia.

Hahahaha mkuu nimecheka sana
 
mimi nazijua rangi chache sana
Black = rangi ya ngozi zetu
Red = rangi ya damu
Green = rangi ya majani
White = rangi ya ugali
Yellow = rangi ya watawala
ukiacha apo sina nyengine ninayoijua
 
Mkuu Mndengereko umeona eehhh ila ni hawa wa mjini bana yule wa kule Ikwiriri yeye akishaoga anajipaka zake Vaseline na gauni lake la sikukuu moja tuu alilo nalo na kikapu cha sokoni twende kazini
sure ila tuwaache wajirembe ndiyo mapambo yetu. ila sema tu wanazidisha na kutojua kwenda na wakati hasa unapokuwa na haraka na ukipanga nae kutoka wanapenda sana timepressure.
 
Hahahaaaa... They like varieties... Ndo maana wanakuwaga bored na wanaume wanaotabirika tabirika kirahisi... wanapenda tastes mbali mbali.. Ila kidume kawaida sana.

''Women and cats will set the thing, Men and dogs will get used to the idea'' nimesahau nimekoti nani.
CC Mr Rocky, Mndengereko, Ntunzu, Excel, afu we miss chagga bado sijabutua endelea kujificha.
Tized i have stress ma dia acha tu
 
Hahahaaaa. Kabisa aisee.
Nachukia attention. Huwa natamani kuwepo halafu kama sipo.
Wanaume sisi kuvaa ni simpo sana. ukiwa na kiatu chako cha maana cha ngozi, mkanda wa maana na saa ya maana.. hivyo vingine vinabaki tu kupangilia rang ya suruali na mashati....

Wanawake sasa?... wana vitu zaidi ya laki nane na hadi aje kujua anavaa nini au kipi siku hiyo... tayari ana headache... (sio wote lkn) wapendwa wangu miss neddy na Eshy m.s msije nipiga mawe. Excel najua ni mzee wa kulipuka mavito nini nini!!!

mpenziiii
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom