Did Nyerere admit he was a "failure"? Some say "Yes he did"...

Did Nyerere admit he was a "failure"? Some say "Yes he did"...

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
34,103
Reaction score
43,350
Nyerere admitted he was a "failure" not only mistakes. FAILED.

He never admitted to failure; the idea that he did is a pure conjugation of the people who hoped that he in fact did. Hajawahi kusema ameshindwa. I can challenge you to find it anywhere and you won't. I guarantee it.
 
Who are you to guarantee it? And you challenge me to go find it? Poor you, here it is, haya ichakachuwe kama unaweza:Nyerere farewell speech in 1985: "I failed. Let's admit it."
 
Nyerere admitted he was a "failure" not only mistakes. FAILED.
Bibie,
Nionyeshe ni wapi Nyerere alisema alikuwa failure. Ni ninyi tu mafisadi wa kisasa ambao hamna hata ruuya mnataka kutuaminisha kuwa Nyerere aliwahi kusema hivyo. Wapi? Nipe quote kama alivyofanya Mwanakjj.
 
It ain't gonna happen.
 
Bibie,Nionyeshe ni wapi Nyerere alisema alikuwa failure. Ni ninyi tu mafisadi wa kisasa ambao hamna hata ruuya mnataka kutuaminisha kuwa Nyerere aliwahi kusema hivyo. Wapi? Nipe quote kama alivyofanya Mwanakjj.
Hujaona post niliyomjibu Mkjj? Basi hii hapa na wewe itakusaidia:Nyerere farewell speech in 1985: "I failed. Let's admit it."
 
Umeshushuka shuu! Siku zingine msijidai ku "challenge" just kwa ubishi tu. Unanini babuwee? Unachekeshaa.
Tuletee hiyo quote ya failure ukate mzizi wa fitna. Hakuna cha kushushuka hapa.
 
Hujaona post niliyomjibu Mkjj? Basi hii hapa na wewe itakusaidia:Nyerere farewell speech in 1985: "I failed. Let's admit it."
Tuwekee hapa context au walau paragraph tu kuonyesha alikuwa anazungumzia alifeli wapi. Siyo maneno mawili tu " I failed. Let's admit it."
 
It ain't gonna happen.
Juu huko umekubali kwa kusema "yeah right" hapa unajidai "it ain't gonna happen", ikatea basi si hii hapa, sema kuwa hajasema nyerere maneno haya:Nyerere farewell speech in 1985: "I failed. Let's admit it."
 
We want the whole goddamn speech.
 
Tuwekee hapa context au walau paragraph tu kuonyesha alikuwa anazungumzia alifeli wapi. Siyo maneno mawili tu " I failed. Let's admit it."
Wewe kama huyapendi hayo weka wewe hiyo "context" ili uoneshe mimi nnavo mislead watu. Khaa, unanini babuwee? Kushindwa akubali mwenyewe halafu wewe utetee. Thummum Bukmun.
 
Wewe kama huyapendi hayo weka wewe hiyo "context" ili uoneshe mimi nnavo mislead watu. Khaa, unanini babuwee? Kushindwa akubali mwenyewe halafu wewe utetee. Thummum Bukmun.
Bibie,
Mimi hiyo spichi ya 1985 sijawahi kuisikia. Sijawahi kumsikia Nyerere akisema he was a failure. Wewe unashikilia kuwa alisema hivyo na kutuwekea hapa "quotes". Sasa nakuomba kitu kimoja tu, tukate mzizi wa fitna. Iweke hiyo spichi hapa. Au tuambie imechapishwa kitabu gani tukabukue wenyewe. Ukishaiweka hapa tutaisoma na ama kukubaliana na wewe au kuendelea kukuita mzushi wa kifisadi.
 
Bibie,Mimi hiyo spichi ya 1985 sijawahi kuisikia. Sijawahi kumsikia Nyerere akisema he was a failure. Wewe unashikilia kuwa alisema hivyo na kutuwekea hapa "quotes". Sasa nakuomba kitu kimoja tu, tukate mzizi wa fitna. Iweke hiyo spichi hapa. Au tuambie imechapishwa kitabu gani tukabukue wenyewe. Ukishaiweka hapa tutaisoma na ama kukubaliana na wewe au kuendelea kukuita mzushi wa kifisadi.
Kama wewe hujasikia ndio hujasikia, itafute utaipata. Kwani wewe Mungu hata uyajuwe yote?
 
Kama wewe hujasikia ndio hujasikia, itafute utaipata. Kwani wewe Mungu hata uyajuwe yote?
Kama huwezi kuiweka hapa, na huwezi kutuambia inapatikana wapi, tukubaliane kwamba hiyo spichi haipo. Tukubaliane kwamba wewe ni mzushi kwa lengo la kutetea uozo wa serikali ya fisadi.
 
Kama wewe hujasikia ndio hujasikia, itafute utaipata. Kwani wewe Mungu hata uyajuwe yote?

FaizaFoxy, tafadhali usianze kuharibu thread mkuu. Umeombwa ushahidi, leta au sema utauleta ukiupata, au kama hauna sema hivyo pia. Mambo ya Mungu this na kufananishana uyaache tafadhali.
 
Amini ukipendacho. Kuna ka site kanaitwa google, jifunze kukatumia.

Hako ka site nakajua na nimefanya hivyo sijaipata hiyo hotuba, wewe nisaidie tu kuniwekea hapa kama unayo kama huna sema tu sina na sio kutunga sentensi fupi yenye maneno hayafiki hata kumi halafu unataka kutuaminisha ilikuwa ni hotuba ya Mwalimu ya 1985, watu wameweka ya 1966 wewe kama unayo ya 1985 kwa nini unashindwa kuiweka?
 
Kama huwezi kuiweka hapa, na huwezi kutuambia inapatikana wapi, tukubaliane kwamba hiyo spichi haipo. Tukubaliane kwamba wewe ni mzushi kwa lengo la kutetea uozo wa serikali ya fisadi.
Wewe ndio kwanza ukatae kuwa haya sio maneno ya nyerere:Nyerere farewell speech in 1985: "I failed. Let's admit it."
 
Back
Top Bottom