Did he flee to Canada?

Did he flee to Canada?

Hivi alilipwa? Ushaguzi unakuja ajitolee bure kuwakomesha.
My son drink water-kunywa maji mwanangu -aliambiagwa shigongo na zhakia meghi alipoenda lumumba kudai hela zake alipokuwa anazungushwa na chama hahah
 
bado JK , Tulishawaambia tangu mapema hawa kwamba Mungu hataniwi , watadhalilishwa mpaka wakome , unawezaje kumpa ushindi mtu aliyepata mil 3 unusu ukamuamuacha wa mil 10 ?
Nasikia hata TB JOSHUA, naye aliwaambia hivyo pale alipokuja TZ Mara tu baada ya uchaguzi.....alisema "utawala huu utafitinika iwapo hamtatenda haki sawa kwa wote"
 
Hiyo ilikuwa zamani mkuu, sasa hivi wameacha, waliogopa kwa sababu kwa magaidi hizo pesa wanazo nyingi tu na walianza kutumia Kama fimbo ya kuwafanyia ugaidi, wakashtuka, sasa hivi hata uwe na $ mil 5 huwapiti uraia wa US wala Canada kirahisi tu, ni hadi ukae miaka mitano kamili bila kutoka nje ya nchi hizo hapo ndo wanakufikiria baada ya kukufanyia scrutiny na kujiridhisha kwamba huna crime record yoyote ile, kutoka nchini kwako hadi kwao kwa muda wote uliokaa huko.
Hizo $100,000 na $500,000 ni pesa ndogo mkuu, watu hizo pesa wanazo wengi wangezitumia kujazana huko, hizo ni nchi nzuri mno ki maisha.
Re-read please
 
Kwa Canada ukiwa na account balance ya $100,000 unapata citizenship ya uko, kwa case ya huyo mtu alikuwa na uwezo wa kuwa na hizo pesa na zaidi ya $10million kwenye account yake uko Canada. Hivyo siyo political asylum ni investor wa uko Canada, ndo maana wahindi wengi wanakimbizia pesa zao uko siku likubuma anapanda ndege na kuondoka, wahindi hawajengi hapa wanajenga canada7,UK na India tu. pia huyo comrade familia yake iko uko kitambo hapa alikuwa ana Chuma tu wanyama wetu, pesa zinakuwa transfered from East China, Hong Kong to Canada anapopeleka mzigo ukifika, pesa zilikuwa hazirudi Tanzania. Hivyo account zake zitakuwa zimenona sana uko Canada. Hata USA ukiwa na & 500,000 wanakupa uraia hiyo iko kwenye sheria zao ukiomba unakuwa granted.
Mkuu ni hivi
Uwekezaji Canada ukiwa na $300000 Canadian sio laki moja unapewa PR kwanza.
 
Kwa Canada ukiwa na account balance ya $100,000 unapata citizenship ya uko, kwa case ya huyo mtu alikuwa na uwezo wa kuwa na hizo pesa na zaidi ya $10million kwenye account yake uko Canada. Hivyo siyo political asylum ni investor wa uko Canada, ndo maana wahindi wengi wanakimbizia pesa zao uko siku likubuma anapanda ndege na kuondoka, wahindi hawajengi hapa wanajenga canada7,UK na India tu. pia huyo comrade familia yake iko uko kitambo hapa alikuwa ana Chuma tu wanyama wetu, pesa zinakuwa transfered from East China, Hong Kong to Canada anapopeleka mzigo ukifika, pesa zilikuwa hazirudi Tanzania. Hivyo account zake zitakuwa zimenona sana uko Canada. Hata USA ukiwa na & 500,000 wanakupa uraia hiyo iko kwenye sheria zao ukiomba unakuwa granted.
Then canada na us wanatumia akili zao vizuri, wahindi kuwekeza huko ni kutafuta usalama wa jasho lao. Hapa kwetu tuna sheria zinazo ruhusu mtu kudhurumu, tena si kudhurumu mali tu bali hata uhai!!!. Huyo kinana anaye tuhumiwa sasa hivi amefanya yote akiwa CCM tena akilindwa na wana CCM hakuulizwa, hakuzuiwa!.... Amini nakwambia kinacho fanywa na Magu sasa hivi kitakuwa kama alicho fanya kinana. Awamu hii tuna plastic transformation kwani hatujaweka msingi.
 
The regime will breed a lot political refugees who will later be united by a common agenda to seek political freedom and justice for all
Let's see,
Do you have any example of your say?

From my experiance, those you talking about are not political refegees, those are criminals runing away from charges done before whilst they in system
 
Jiwe anatengeneza Uhasama na Kila Mtu, Mwisho wa Yote atavuna anachokipanda kwa sasa!
 
Let's see,
Do you have any example of your say?

From my experiance, those you talking about are not political refegees, those are criminals runing away from charges done before whilst they in system
Can we sue the President of URT in court if allegedly to breached the law?
 
Kwa Canada ukiwa na account balance ya $100,000 unapata citizenship ya uko, kwa case ya huyo mtu alikuwa na uwezo wa kuwa na hizo pesa na zaidi ya $10million kwenye account yake uko Canada. Hivyo siyo political asylum ni investor wa uko Canada, ndo maana wahindi wengi wanakimbizia pesa zao uko siku likubuma anapanda ndege na kuondoka, wahindi hawajengi hapa wanajenga canada7,UK na India tu. pia huyo comrade familia yake iko uko kitambo hapa alikuwa ana Chuma tu wanyama wetu, pesa zinakuwa transfered from East China, Hong Kong to Canada anapopeleka mzigo ukifika, pesa zilikuwa hazirudi Tanzania. Hivyo account zake zitakuwa zimenona sana uko Canada. Hata USA ukiwa na & 500,000 wanakupa uraia hiyo iko kwenye sheria zao ukiomba unakuwa granted.
Ngoja niangalie mpango wa kwenda kuchukua uraia wa moja kati ya hizi nchi mbili. Ahsante kwa taarifa.
Nalog off
 
Back
Top Bottom